Kwanini Waisrael walikataa kuja Uganda?

Kwanini Waisrael walikataa kuja Uganda?

Kwao ni wapi? Yani wameishi egypt miaka 430 halafu warudi kwao kule walipo palestina!!! Hizi akili za wapi? Makafiri wa kiyahudi wamewaingiza chaka aise
Kwani kabla ya kuishi Egypt walitokea bongo au, unawaita makafiri wewe je umekamilika wakati kila kitu mme copy kutoka kwenye Bible?
 
Binafsi siungi mkono uonevu dhidi ya binadamu ila hili suala la middle east binadamu tumekubali kuacha utu na kukubali kugawanywa kwa misingi ya dini yaani wakristo tumejikuta tunaunga tu mkono hata kama miamba inatoa boko alikadharika waislamu wanatake side na kufurahia jambo lolote baya likalofanywa dhidi ya israel hata kama kwa watoto au mtu yeyote asiye na hatia kwahili kwakweli tumefeli sana kama binadamu
Saivi humu kuna nyuzi nyingi za middle east ilihali jirani zetu hapo msumbiji wanaendelea kuchinjwa kama kuku hatuongelei kabisa as if wao sio binadamu

Sikiliza mkuu, wapalestina ni waislamu wenzetu, hivyo ni ndugu zetu haswaa kuliko hata hao wa msumbiji wanaopigwa na islamic state, ambao hawajulikani wanatumika kwa maslshi yapi na kwa maagizo/mikono ya nani, maana uislamu haujafundisha kuuwa watu wasio na hatia, sasa hao sijui waislamu wa aina gani!

Hivyo we stand up with Palestinians!
 
Ok tukiamia kuufumbia macho ubinadamu kama unabyotaka hio ndio sababu wakristo pia wanasimama na Israel maana maandiko yamesema atakae ibarik Israel atabarikiwa na atakaye ilaani Israel atalaaniwa

Hivyo we stand up with Israel!
 
Mwarabu huyu huyu aliyeendesha biashara ya utumwa Pwani na bagamoyo na anaetesa wafanyakaz wa ndani huko saudia au mwingine/?kweli unamahaba na waarabu kijanaa, ungekuwa demu ungewapa tigo

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app

Acha chuki kwa waarabu wewe, walikufanya nini mpaka uwasingizie, tena bila ushahidi wowote!!!! Je! Una kithibisho chochote kinachoonesha walitesa babu zako, au ulikuwepo wakati wanatesa hao mababu zako utuwekee angalau kapicha!!!!

Lete ushahidi hapa!!!
 
Ok tukiamia kuufumbia macho ubinadamu kama unabyotaka hio ndio sababu wakristo pia wanasimama na Israel maana maandiko yamesema atakae ibarik Israel atabarikiwa na atakaye ilaani Israel atalaaniwa

Hivyo we stand up with Israel!

Ndio maana nikasema wanaouawa huko msumbiji hata kama ni makafiri lakini bado sio sawa, na wala hatusapoti kuuliwa kwao dhidi ya hao wanaotumika kwa kivuli cha dini. Uislamu unakataza kufanya huo unyama, uislamu unakataza kuuwa wasio na hatia, je! Utaamini vipi hao ni waislamu ilhali wanachokifanya kipo nje na mafundisho ya dini yetu!

Israel anachokifanya kwa wapalestina sio sawa, wamevamia ardhi ya watu halafu wao ndio waonekane wako kihalali kuliko waliowakuta/wenyeji, huo ni ushenzi kabisa, na isitoshe wanafanya mauwaji, kwa watoto, wamama, wazee n.k. hata kama ni huku utaruhusu hayo?? Acheni kutetea hao nguruwe pori

Uislamu ni amani, haipendi vita, hata huko msumbiji yanayotokea usidhani tunafurahia, huko south afrika wameuwa wageni usidhani pia tunafurahia. Lakini inapotokea waislamu wakionewa, kuteswa na kuuawa dhidi ya makafiri hatutaelewana mzee, lazima we stand on them sisi kama ndugu zao.

Allah awasimamie na aendelee kuilinda na kuwalinda wapalestina dhidi ya makafiri wa kiyahudi.
 
Waisraeli asili yao ni Israel ndio nchi yao ya ahadi chimbuko lao na mtu kwao hata kama kunamazingira magumu kiasi gani, ndio maana wao walikataa kupelekwa Uganda kwenye ardhi yenye rutuba na mito na hiyo ilitokana na matendo walioyapata ugenini GERMANY kwa Hitler. Na hii sio ajabu mfano mdogo: Somalia 1991 vilivozuka vita MAREKANI iliamua kuwachukua wakimbizi wa Somalia wenye asili ya Tanzania(WAZIGUA) kuwapatia uraia wa marekani, baadhi yao wakakataa kwenda USA na kuomba warudi kwenye nchi yao ya asili Tanzania tanga, na mpaka sasa hivi wapo
Nchi ya ahadi kwa ushahid upi?? Usiseme biblia tafadhari maana iyo haitosh kuleta mantik, leta historical proof out of bible
 
Tunapozungumzia Historia ya PALESTINE na ISRAEL ...tumefanya tafiti za kutosha za kihistoria ......Sasa ninapomuona Mtu mmoja mweusi aliyejazwa mafundisho ya Visaasili ( Mythology) vya dini Kichwani na moyoni alafu MTU huyo anataka kuleta hoja za KIPUMBAVU na kitumwa naamua kupuuzia tu

Kwasababu PALESTINE sio Dini ... PALESTINE ni nchi yenye WAPALESTINA Wakristo , WAPALESTINA wayuda, WAPALESTINA Waislamu na WAPALESTINA wasio na Dini .
Kwahiyo hapa hoja Ni Hutu ( Conscience) ...

Sasa unapomuona Mtumwa wa Fikra ( kuku wa israel wa Afrika)...aliyejazwa mafundisho ya Visaasili vya dini na propaganda ili atumike kulinda maslai ya MAZAYUNI kupitia Wachungaji ( Walimu) wake inakuwa inafedhehesha bara letu la Afrika...

Huwezi kupinga,kuhoji au kutoa maoni kuhusu issue ya PALESTINE na ISRAEL Kama hujui kuhusu mambo YAFUATAYO

1.Khazaria Ashkenazi Jews

2.Historia ya Zionism movement na tabia zake

3.Azimio la BALFOUR DECLARATION OF 1917..

4.Uganda Scheme of 1903.

5.Proposals for a Jewish state ( Maeneo yaliyokoswa koswa kuwa israel na TANZANIA ilikuwa miongoni)

6.FAKE AND STAGED HOLOCAUST JEWS FROM 230000 TO 6.5 MILION JEWS ( LIES)

7. HISTORIA YA OTTOMAN EMPIRE AND MANDATE PALESTINE CHINI YA muingereza.

9.Nini maana ya "SS EXODUS ? ya 1947 ??

10.UNO Resolution 181(II) la 1947 tarehe 29th November Tukio lililofanyika lilikuwa linahusu nini??

11.14th may 1948 kulitokea Tukio gani ??

12. 1950s Israel na MAREKANI kwanini walianzisha neno UGAIDI na MAGAIDI ???

13.UKATIRI, UBAGUZI, MAUAJI , UBOMOAJI MAKAZI ,NA UKOLONI WA KUTUMIA JESHI uliofanyika Kuanzia 1948 Hadi leo

14. Tofauti Kati ya WAISRAEL ( watu weusi) na WAYAUDI ( Zionists yaani wazungu na walowezi kutoka ulaya)

15.Ni Kwanini MAREKANI ndo lilkuwa Taifa la kwanza kuitambua Israel ??

16. Kwanini Wanaharakati wote walioleta Uhuru barani Afrika WALIKATAA kuitambua Israel ....hata Mwl.Nyerere ????

Sasa Hapo unaweza kutoa hoja lakini Kama umejazwa chuki, Visaasili vya dini na Udini huwezi kujadili la maana kuhusu ISRAEL na PALESTINE ...sanasana utaishia kusema " ATAYEBARIKI ATABALIKIWA ATAKAYELAANI ATALAANIWA " as if Mungu ni Mkabira.

Jifunze Historia kupitia INSTAGRAM @tabarokaijage

au Whatsup kupitia 0757790650

Ahsante
 
“You will never be able to live here in peace, because you left here black and came back white” Gamal Abdel(1952) 2nd President of Egypt Gamal Nasser (Quote about fake jews currently in Israel) Gamal Nasser was the leader of Egypt from 1954 until his death in 1970.
Acha maneno ya kwenye kanga kijana
 
Kwani kabla ya kuishi Egypt walitokea bongo au, unawaita makafiri wewe je umekamilika wakati kila kitu mme copy kutoka kwenye Bible?
Achana na wahuni hawa ambao hawajui kuwa uislam umekuja miaka 700 baada ya ukiristo , wamenukuu vifungu kadhaa vya biblia na mwamedi wao alieoa jimama moja na wanawake nane na kisichana cha miaka. 9, yaaani waliibuka kama mtume mwamposa wahuni hawa
 
Nasikia ilipangwa na wakubwa kuwa waisrael watafutiwe eneo Uganda na kuhamishiwa hapo. Hilo ndo lingekuwa Taifa lao cha ajabu nasikia ni Waisrael wenyewe walioanza kuukataa katakata mpango huo. Wajuzi naomba mnijuze;

1. Kwanini hawa jamaa walikataa kuhamia Uganda kwenye mito na ardhi yenye rutuba tele na kukubali kule Middle East kwenye joto kali na migogoro isiyokwisha? au kuna kitu wanafahamu kuhusu Afrika ndio maana wakajikimbilia zao?

2. Mnafikiri kama wangepewa kipande flani cha Ulaya, amerika au Asia wangekataa pia? wajuzi naomba mnieleweshe kidogo maana sielewi elewi (nahisi kama Afrika kuna jambo flani la giza hv (litatokea) na hawa jamaa weupe wanalijua vizuri).
Nnai anahitaji magaidi na makaburu kama hawa karibu nasi na Afrika?
 
Tunapozungumzia Historia ya PALESTINE na ISRAEL ...tumefanya tafiti za kutosha za kihistoria ......Sasa ninapomuona Mtu mmoja mweusi aliyejazwa mafundisho ya Visaasili ( Mythology) vya dini Kichwani na moyoni alafu MTU huyo anataka kuleta hoja za KIPUMBAVU na kitumwa naamua kupuuzia tu

Kwasababu PALESTINE sio Dini ... PALESTINE ni nchi yenye WAPALESTINA Wakristo , WAPALESTINA wayuda, WAPALESTINA Waislamu na WAPALESTINA wasio na Dini .
Kwahiyo hapa hoja Ni Hutu ( Conscience) ...

Sasa unapomuona Mtumwa wa Fikra ( kuku wa israel wa Afrika)...aliyejazwa mafundisho ya Visaasili vya dini na propaganda ili atumike kulinda maslai ya MAZAYUNI kupitia Wachungaji ( Walimu) wake inakuwa inafedhehesha bara letu la Afrika...

Huwezi kupinga,kuhoji au kutoa maoni kuhusu issue ya PALESTINE na ISRAEL Kama hujui kuhusu mambo YAFUATAYO

1.Khazaria Ashkenazi Jews

2.Historia ya Zionism movement na tabia zake

3.Azimio la BALFOUR DECLARATION OF 1917..

4.Uganda Scheme of 1903.

5.Proposals for a Jewish state ( Maeneo yaliyokoswa koswa kuwa israel na TANZANIA ilikuwa miongoni)

6.FAKE AND STAGED HOLOCAUST JEWS FROM 230000 TO 6.5 MILION JEWS ( LIES)

7. HISTORIA YA OTTOMAN EMPIRE AND MANDATE PALESTINE CHINI YA muingereza.

9.Nini maana ya "SS EXODUS ? ya 1947 ??

10.UNO Resolution 181(II) la 1947 tarehe 29th November Tukio lililofanyika lilikuwa linahusu nini??

11.14th may 1948 kulitokea Tukio gani ??

12. 1950s Israel na MAREKANI kwanini walianzisha neno UGAIDI na MAGAIDI ???

13.UKATIRI, UBAGUZI, MAUAJI , UBOMOAJI MAKAZI ,NA UKOLONI WA KUTUMIA JESHI uliofanyika Kuanzia 1948 Hadi leo

14. Tofauti Kati ya WAISRAEL ( watu weusi) na WAYAUDI ( Zionists yaani wazungu na walowezi kutoka ulaya)

15.Ni Kwanini MAREKANI ndo lilkuwa Taifa la kwanza kuitambua Israel ??

16. Kwanini Wanaharakati wote walioleta Uhuru barani Afrika WALIKATAA kuitambua Israel ....hata Mwl.Nyerere ????

Sasa Hapo unaweza kutoa hoja lakini Kama umejazwa chuki, Visaasili vya dini na Udini huwezi kujadili la maana kuhusu ISRAEL na PALESTINE ...sanasana utaishia kusema " ATAYEBARIKI ATABALIKIWA ATAKAYELAANI ATALAANIWA " as if Mungu ni Mkabira.

Jifunze Historia kupitia INSTAGRAM @tabarokaijage

au Whatsup kupitia 0757790650

Ahsante
Acha kupotosha na uhuni , atakekufata huko wasap ni standard seven material mwenzio , kwanza aje huko wasap wakat cresible materials zipo , unaajenda gani huko wasap wew bwege , achaneni na huyu mpotoshaji na muhuni , the only credible source ni Biblia , vingine hivyo utopolo wako mpelekee mtume mwamedi
 
Eti wasap, boya kweli alafu vistory vyako vya kwenye internet utadanganya wa darasa la saba wenzio mliokutana shule ya kati mbuyuni
 
Ndio maana nikasema wanaouawa huko msumbiji hata kama ni makafiri lakini bado sio sawa, na wala hatusapoti kuuliwa kwao dhidi ya hao wanaotumika kwa kivuli cha dini. Uislamu unakataza kufanya huo unyama, uislamu unakataza kuuwa wasio na hatia, je! Utaamini vipi hao ni waislamu ilhali wanachokifanya kipo nje na mafundisho ya dini yetu!

Israel anachokifanya kwa wapalestina sio sawa, wamevamia ardhi ya watu halafu wao ndio waonekane wako kihalali kuliko waliowakuta/wenyeji, huo ni ushenzi kabisa, na isitoshe wanafanya mauwaji, kwa watoto, wamama, wazee n.k. hata kama ni huku utaruhusu hayo?? Acheni kutetea hao nguruwe pori

Uislamu ni amani, haipendi vita, hata huko msumbiji yanayotokea usidhani tunafurahia, huko south afrika wameuwa wageni usidhani pia tunafurahia. Lakini inapotokea waislamu wakionewa, kuteswa na kuuawa dhidi ya makafiri hatutaelewana mzee, lazima we stand on them sisi kama ndugu zao.

Allah awasimamie na aendelee kuilinda na kuwalinda wapalestina dhidi ya makafiri wa kiyahudi.
Uislam. Wako ni wakukariri wew , shida yenu hata quran huwa hamuisomi mnaleta ushabiki mandazi tu hapa na kupotezeana muda, kuna vifungu vingi soma vinavyoidhinisha uozo wote wa akina boko harama na kujitoa muhanga , tatizo mna ule islam wakukaririshwa na kutokuosoma elimu yenyewe ya uislam , hebu soma vifungu vifuatavyo kwanza wew bwege IBN ISHAQ 675-676, soma. Pia Bukhari 6161, Tabari 8-27 , bukhari 3175
Hapa kuna sehemu Mwamedi anasema atakaeacha uislam. Achinjwe soma Bukhari6878
 
Ok tukiamia kuufumbia macho ubinadamu kama unabyotaka hio ndio sababu wakristo pia wanasimama na Israel maana maandiko yamesema atakae ibarik Israel atabarikiwa na atakaye ilaani Israel atalaaniwa

Hivyo we stand up with Israel!
Huujui uislam funga kopo lako wew , unajua jino kwa jino wew? Unafaham koran imesemaje kwa atakaeacha uislam? Kwenda dini nyingine au unaropoka tu? Anagalia ukiristo umesemaje kuhusu atakeacha ukiristo ,
 
Haijalishi hata kama kweli ingekuwa ni asili yao, we watu waondoke miaka 100+ iliyopita halafu eti warudi baadae wakitaka kufukuza waliowakuta.
Nimekuuliza swali, leo hii wangoni wanaweza kurudi afrika kusini kudai eneo mababu zao walipokuwa wanaishi na dunia ikalikubali hilo?

Why not? Historia inatambua hilo,kama hao Wangoni hawawezi rudi ni juu yao but wana haki maana hata wewe unajua asili yao ni wapi. Kushindwa kwa Wangoni kurudi South Africa hakuhalalishi Waisrael kutokurudi kwenye ardhi yao ya asili. Btw Ngoni hawana haja ya kurudi South Africa kwakuwa wamerdhika hapo walipo kwa sasa na wanakaa kwa amani,same as Bantu ambao wameridhika kukaa hapo walipo kwa sasa.Israel wao hawajaridhika walikokuwa ni haki yao kurudi kwao. Yani wewe kwa sababu umeshindwa kufanya jambo flani unataka na mwingine asilifanye kwakuwa wewe ulishindwa?
 
Kwahiyo mimi nikija na kitabu changu nikasema Mungu wangu kasema hilo eneo lako ni mali yangu utaondoka uniachie?

Njoo na kitabu kinachoeleweka Duniani na kina ainisha in detail Historia ya hilo eneo lako,usije na kjarida chako wewe binafsi,ulichokwenda kuchapisha kwenye stationary za pale Mwenge.
 
Acha kupotosha na uhuni , atakekufata huko wasap ni standard seven material mwenzio , kwanza aje huko wasap wakat cresible materials zipo , unaajenda gani huko wasap wew bwege , achaneni na huyu mpotoshaji na muhuni , the only credible source ni Biblia , vingine hivyo utopolo wako mpelekee mtume mwamedi

Jamaa anazurura kila sehemu na comment yake hii,nimesoma nilivyoona tu twende Whattsup nikaona utapeli sasa umeshaanza kuja hadi JF
 
Njoo na kitabu kinachoeleweka Duniani na kina ainisha in detail Historia ya hilo eneo lako,usije na kjarida chako wewe binafsi,ulichokwenda kuchapisha kwenye stationary za pale Mwenge.
Unapimaje kuwa ni kitabu kinachoeleweka wakati kimeandikwa na binadamu, mfano waandishi wa agano jipya hakuna hata mmoja aliyekuwa na Yesu
 
Back
Top Bottom