Kwanini Waisrael walikataa kuja Uganda?

Kwanini Waisrael walikataa kuja Uganda?

nasikia ilipangwa na wakubwa kuwa waisrael watafutiwe eneo uganda na kuhamishiwa hapo. hilo ndo lingekuwa taifa lao. ajabu nasikia ni waisrael wenyewe walioanza kuukataa katakata mpango huo. wajuzi naomba mnijuze;

1. kwanini hawa jamaa walikataa kuhamia uganda kwenye mito na ardhi yenye rutuba tele na kukubali kule middle east kwenye joto kali na migogoro isiyokwisha?!!! au kuna kitu wanafahamu kuhusu afrika ndo maana wakajikimbilia zao?

2. mnafikiri kama wangepewa kipande flani cha ulaya, amerika au asia wangekataa pia? wajuzi naomba mnieleweshe kidogo maana sielewi elewi (nahisi kama afrika kuna jambo flani la giza hv (litatokea) na hawa jamaa weupe wanalijua vizuri).

karibuni kwa kutoa elimu!
wewe unaweza kwenda uganda mzee? Biblia huwa unasoma? tangu enzi ardhi ile middle east ni mali ya Ibrahim Isaka na Yakobo (israel), ni urithi walipewa na Mungu, waarabu uambao ni watoto wa Ishmael walipewa bara arabuni huko jangwani ambako kuna mafuta mengi na bado hawaridhiki. the Bible was very specific, Ishmael (ambaye waislam wanaita Ismaili) alikuwa mtoto wa kambo na alifukuzwa yeye pamoja na mama yake Hajir, na kuna baraka yao moja tu ambayo Mungu aliwapa, kwamba wangezaliana sana na wangekuwa taifa kubwa, ndio taifa la waarabu leo duniani. ila kwa ile ardhi kule israel, ni mali ya watoto wa Yakobo, na Mungu alikataa kabisa kumrithisha ishmael akampa Isaka ambaye ni bada wa waisrael. topic closed.
 
Kwahiyo unakubali pale palikuwa ni asili yao ila tu hawawezi rudi kwasababu waliondoka tena unwillingly kwa muda mrefu?
Haijalishi hata kama kweli ingekuwa ni asili yao, we watu waondoke miaka 100+ iliyopita halafu eti warudi baadae wakitaka kufukuza waliowakuta.
Nimekuuliza swali, leo hii wangoni wanaweza kurudi afrika kusini kudai eneo mababu zao walipokuwa wanaishi na dunia ikalikubali hilo?
 
nasikia ilipangwa na wakubwa kuwa waisrael watafutiwe eneo uganda na kuhamishiwa hapo. hilo ndo lingekuwa taifa lao. ajabu nasikia ni waisrael wenyewe walioanza kuukataa katakata mpango huo. wajuzi naomba mnijuze;

1. kwanini hawa jamaa walikataa kuhamia uganda kwenye mito na ardhi yenye rutuba tele na kukubali kule middle east kwenye joto kali na migogoro isiyokwisha?!!! au kuna kitu wanafahamu kuhusu afrika ndo maana wakajikimbilia zao?

2. mnafikiri kama wangepewa kipande flani cha ulaya, amerika au asia wangekataa pia? wajuzi naomba mnieleweshe kidogo maana sielewi elewi (nahisi kama afrika kuna jambo flani la giza hv (litatokea) na hawa jamaa weupe wanalijua vizuri).

karibuni kwa kutoa elimu!
Wangepotea
 
Siyo Uganda, ni maeneo ya Rift valley Kenya. Eneo lote lile la Kenya na Uganda lilikuwa ni koloni la waingereza wakiitwa Britrish East Africa Hakukuwa na Kenya au Uganda wakati huo.
Walipewa Rift valley baridi inge fit mayahudi wa ulaya ila hawakuwapenda wamasai na wanyama wengi porini.
 
wewe unaweza kwenda uganda mzee? Biblia huwa unasoma? tangu enzi ardhi ile middle east ni mali ya Ibrahim Isaka na Yakobo (israel), ni urithi walipewa na Mungu, waarabu uambao ni watoto wa Ishmael walipewa bara arabuni huko jangwani ambako kuna mafuta mengi na bado hawaridhiki. the Bible was very specific, Ishmael (ambaye waislam wanaita Ismaili) alikuwa mtoto wa kambo na alifukuzwa yeye pamoja na mama yake Hajir, na kuna baraka yao moja tu ambayo Mungu aliwapa, kwamba wangezaliana sana na wangekuwa taifa kubwa, ndio taifa la waarabu leo duniani. ila kwa ile ardhi kule israel, ni mali ya watoto wa Yakobo, na Mungu alikataa kabisa kumrithisha ishmael akampa Isaka ambaye ni bada wa waisrael. topic closed.
Kwahiyo mimi nikija na kitabu changu nikasema Mungu wangu kasema hilo eneo lako ni mali yangu utaondoka uniachie?
 
Mwarabu huyu huyu aliyeendesha biashara ya utumwa Pwani na bagamoyo na anaetesa wafanyakaz wa ndani huko saudia au mwingine/?kweli unamahaba na waarabu kijanaa, ungekuwa demu ungewapa tigo

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Hivi hii ya utumwa Bagamoyo mbona sijawahi kusikia hata mtu mmoja akajitokeza akasema mimi Babu yangu anaitwa Juma alichukuliwa na hatujui yuko wapi nasikia watumwa walichukuliwa je hawana majina au familia Bagamoyo huko. mbona story kama haijanyoka hivi.
 
Hakuna kitu kama hicho ulikoambiwa umedanganywa kabisaaa
Tunawajua
IMG-20210518-WA0047.jpg
 
Story zingine bwana hazina kichwa wala miguu,kwa miaka hiyo yote 1947 iliyopita walipo ondoka wake warejeshwe 1948 yani miaka yote 1947 hawakuona umuhimu wa kurudi kwao?
kwani unafikir waliondoka wote. walikuwepo sema wachache
 
Isa 43:1-7

Lakini sasa, BWANA aliyekuhuluku, Ee Yakobo, yeye aliyekuumba, Ee Israeli, asema hivi, Usiogope, maana nimekukomboa; nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu. Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza.

Maana mimi ni BWANA, Mungu wako; Mtakatifu wa Israeli, mwokozi wako, nimetoa Misri kuwa ukombozi wako; nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako. Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.

Usiogope; maana mimi ni pamoja nawe; nitaleta wazao wako toka mashariki, nitakukusanya toka magharibi; nitaiambia kaskazi, Toa; nayo kusi, Usizuie; waleteni wana wangu kutoka mbali, na binti zangu kutoka miisho ya dunia. Kila mmoja aliyeitwa kwa jina langu, niliyemwumba kwa ajili ya utukufu wangu; mimi nimemwumba, naam, mimi nimemfanya.

Now its time wanarudi kwao
 
Nasikia ilipangwa na wakubwa kuwa waisrael watafutiwe eneo Uganda na kuhamishiwa hapo. Hilo ndo lingekuwa Taifa lao cha ajabu nasikia ni Waisrael wenyewe walioanza kuukataa katakata mpango huo. Wajuzi naomba mnijuze;

1. Kwanini hawa jamaa walikataa kuhamia Uganda kwenye mito na ardhi yenye rutuba tele na kukubali kule Middle East kwenye joto kali na migogoro isiyokwisha? au kuna kitu wanafahamu kuhusu Afrika ndio maana wakajikimbilia zao?

2. Mnafikiri kama wangepewa kipande flani cha Ulaya, amerika au Asia wangekataa pia? wajuzi naomba mnieleweshe kidogo maana sielewi elewi (nahisi kama Afrika kuna jambo flani la giza hv (litatokea) na hawa jamaa weupe wanalijua vizuri).
Wahamie Uganda halafu Waganda waende wapi? Uganda ni nchi yao? Kwa msingi upi?
 
Mtu wa kwanza kaingiaje kwenye hoja kama hii?
Hata waisrael walipotawanyika huko duniani bado kulibakia waisrael wachache pale Israel.
Na pia historia yao hawakuwai kuisahau, daima walijiapisha kurudi kwao siku moja.
Mkuu kma ni hivyo kwanini waliwakataa wale waethiopia weusi ambao wana vinasaba na hao zionists?

Kibiblia mpaka wa nchi ya ahadi ni Mto nile hadi Tigres kule Syria ssa ni kwanini hawaendi Syria na Iraq kudai nchi yao ama waipore mto nile from misri ila wamekazana na hapo Tel Aviv??

Siku zote Nashukuru UN kutokubali Jerusalem iwe Mji mkuu otherwise ingejenga precedence mbaya duniani.
 
Hakuna kitu kama hicho ulikoambiwa umedanganywa kabisaaa
Wewe sasa ndio hujui kitu, kama huna habari na hilo, hata Museveni ashaliongelea hilo suala mbele ya Netanyahu, akasema wangepigana vita hadi mwisho wa dunia
 
Isa 43:1-7

Lakini sasa, BWANA aliyekuhuluku, Ee Yakobo, yeye aliyekuumba, Ee Israeli, asema hivi, Usiogope, maana nimekukomboa; nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu. Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza.

Maana mimi ni BWANA, Mungu wako; Mtakatifu wa Israeli, mwokozi wako, nimetoa Misri kuwa ukombozi wako; nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako. Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.

Usiogope; maana mimi ni pamoja nawe; nitaleta wazao wako toka mashariki, nitakukusanya toka magharibi; nitaiambia kaskazi, Toa; nayo kusi, Usizuie; waleteni wana wangu kutoka mbali, na binti zangu kutoka miisho ya dunia. Kila mmoja aliyeitwa kwa jina langu, niliyemwumba kwa ajili ya utukufu wangu; mimi nimemwumba, naam, mimi nimemfanya.

Now its time wanarudi kwao
Uzao upi huo? Wakati waliopo Israel pale kitakwimu 70% ni Ashkenazi ambao walishachangamana na makafiri!! Hiyo purity ya kizazi ni ipi maana kibiblia Israel ni kabila la Judah na Benjamin pekee hao wengine waliitwa wasamaria na walitengwa coz walijimix na makafiri so kizazi kikapotea.

So nisaidie hapo hao waliorudi ni kwanini 70% ni kizazi kilichochafuka au msimamo umelegezwa?? Na unipe kifungu cha biblia.
 
Kwahiyo mimi nikija na kitabu changu nikasema Mungu wangu kasema hilo eneo lako ni mali yangu utaondoka uniachie?
ukija Biblia, sio kitabu chako. kuna watu wanaiamini Biblia, wewe hauiamini Biblia? hiyo imani yako pia si inawatambua Wayahudi (ambao mnawaita "mayahudi"), mliyajuaje kama yalikuwa hayakai pale middle east?
 
Mkuu kma ni hivyo kwanini waliwakataa wale waethiopia weusi ambao wana vinasaba na hao zionists?

Kibiblia mpaka wa nchi ya ahadi ni Mto nile hadi Tigres kule Syria ssa ni kwanini hawaendi Syria na Iraq kudai nchi yao ama waipore mto nile from misri ila wamekazana na hapo Tel Aviv??

Siku zote Nashukuru UN kutokubali Jerusalem iwe Mji mkuu otherwise ingejenga precedence mbaya duniani.
Wamechukua walichoweza kuchukua, walichoshindwa basi.
 
Story zingine bwana hazina kichwa wala miguu,kwa miaka hiyo yote 1947 iliyopita walipo ondoka wake warejeshwe 1948 yani miaka yote 1947 hawakuona umuhimu wa kurudi kwao?
Kiuhakika hasa na wala siyo kwa kuwasema vibaya lakini Jews walikuwa hawapendwi katika mataifa mengi sana ya Ulaya. Kila walipokuwepo basi biashara zote walikuwa wanazihodhi wao, yaani mfano, mabenki ambayo yaliyokuwa yanakopesha kwa riba kubwa sana na biashara nyingi za kilaghai laghai hivi.

Jaribu kusoma historia nyingi za Europe utakumbana na jamaa hawa na biashara zao zisizoeleweka. Hata hapo Ujerumani, Poland na Urusi mfano, chuki zilianza dhidi ya Jews kwa mtazamo kwamba wao ndiyo wanaoleta umasikini kwa wananchi (sawa na kwetu hivi sasa tunavyosema wahindi ndiyo wanaotusababishia umasikini).
 
Siyo kweli kuwa ilikuwa Uganda, bali walikuwa wamepewa kule kwenye nyanda za juu za rift valley huko Kenya. Walikataa kwa sababu waliitaka ardhi ya Israeli ya King David. Kuna sehemu nyingine nzuri zaidi ya Israel wakati huo walizopewa lakini wao waliitaka hiyo hiyo Kanaan yao. Kwa mfano walipewa sehemu fulani ya Urusi, sehemu fulani ya Australia, sehemu fulani Argentina, sehemu fulani ya Japan, Sehemu fulani ya Ethiopia, na sehemu fulani Guiyana lakini zote wailizikataa wakaamua kurudo kwao jangwani.
Uganda pia ilikuwemo katika moja ya maeneo waliyoambiwa wapewe.
 
Before the state of palestine, there was a country called Israel but the Nazi, Russians, and Allied members killed and pushed jewish out of their land that was located around mt. Zion, later After the defeat of Germany and it's Nazi allies, USA, Britain, France and it's Triple Entente decided to give Jewish people their original land at mt Zion, infact Jerusalem is situated on Mount Zion, so if we're to truly look at this issue with archaeological, Anthropological and any other Scientific facts we'll find that initially there was no country called Palestine.

Palestine was a province in syria, but the Assyrian empire took control of Babylonian empire and all Israelites were taken into captive, Assyrians extended their territorial boundaries into a Israel that what brings contention around East Jerusalem.

This is but a few, many historical facts can prove. Then finally the MOSSAD can infiltrate any country in the world and assassinate anybody they want particularly those supporting their opponents so I do advice that even if we may be at liberty to comment, we should be neutral particularly we citizens of Africa because our governments can't protect us whenever Israeli mossads decides to capture.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Nadhani wewe unasoma historia ambayo ni modified by the Jews to fit their purpose.
 
Wamechukua walichoweza kuchukua, walichoshindwa basi.
Kuna waarabu million 2 Israel... Yaani kuna wapalestina million 2 wenye passport ya Israel na ni raia kabisa. Sasa kivp ukatae jews wenzio afu uwakubali Palestines??
 
Back
Top Bottom