Kwanini Waisrael walikataa kuja Uganda?

Kwanini Waisrael walikataa kuja Uganda?

Albino wanakatwa viungo huu sio ukatili?

Vikongwe wanauliwa huu sio ukatili?

Baba anauwa mwanae kwa maagizo ya mganga wake huu sio ukatili?

Wafanyakazi wa ndani wanavyoteswa na waafrika wenzao, na wengine kuuawa huu sio ukatili? Refer yaliyotokea dar

Mwizi anachomwa moto huu sio ukatili?

Wa boda boda kuchinjwa, kupigwa nyundo za kichwa n.k huu sio ukatili?

Wake kwa waume wanakatana mapanga kisa mapenzi, mali n.k huu sio ukatili?


Watu wanauana kisa hela ndogo, huu sio ukatili?


Tarime watu wanauana kisa mashamba, wanawake, mali n.k huu sio ukatili?

Waendelee na wengine kuorodhesha ukatili wa huku........list bado inaendelea. Ila wewe umekuja na chuki zako hapa, na kulalia kwa waarabu tu, ya kwako huyaoni!!!
Ila hawawafanyii warabu wala wazungu wala wahindi, wakati wenyewe warabu wahind nk wapo dhid ya waafrika au kundi mojawapo hapo.
Hayo uliyoyataja ndio yanathibitisha waafrika ni no 1 kwa ukatili duniani ?
Hao wote uliotajs hspo wanaweza kufikia idadi ya warabu waliouwawa na wamarekani huko Iraq,Syria, Afghanstan nk, au waafrika waliouwawa na wazungu au warabu waliouwawa na warabu wenzao ?
Ukatili mdogo mdogo wa kuhesabu ndio ulinganishe na genocide wanazofanya wazungu.
 
Back
Top Bottom