Kwanini Waisrael walikataa kuja Uganda?

Kwanini Waisrael walikataa kuja Uganda?

Why not? Historia inatambua hilo,kama hao Wangoni hawawezi rudi ni juu yao but wana haki maana hata wewe unajua asili yao ni wapi. Kushindwa kwa Wangoni kurudi South Africa hakuhalalishi Waisrael kutokurudi kwenye ardhi yao ya asili. Btw Ngoni hawana haja ya kurudi South Africa kwakuwa wamerdhika hapo walipo kwa sasa na wanakaa kwa amani,same as Bantu ambao wameridhika kukaa hapo walipo kwa sasa.Israel wao hawajaridhika walikokuwa ni haki yao kurudi kwao. Yani wewe kwa sababu umeshindwa kufanya jambo flani unataka na mwingine asilifanye kwakuwa wewe ulishindwa?
Basi sawa
 
Nasikia ilipangwa na wakubwa kuwa waisrael watafutiwe eneo Uganda na kuhamishiwa hapo. Hilo ndo lingekuwa Taifa lao cha ajabu nasikia ni Waisrael wenyewe walioanza kuukataa katakata mpango huo. Wajuzi naomba mnijuze;

1. Kwanini hawa jamaa walikataa kuhamia Uganda kwenye mito na ardhi yenye rutuba tele na kukubali kule Middle East kwenye joto kali na migogoro isiyokwisha? au kuna kitu wanafahamu kuhusu Afrika ndio maana wakajikimbilia zao?

2. Mnafikiri kama wangepewa kipande flani cha Ulaya, amerika au Asia wangekataa pia? wajuzi naomba mnieleweshe kidogo maana sielewi elewi (nahisi kama Afrika kuna jambo flani la giza hv (litatokea) na hawa jamaa weupe wanalijua vizuri).
Kwa sababu wana historia yao.
Historia haianzii mwaka 1900.

Inaananzia kipindi cha otoman empire na kabla ya huko
 
Acha chuki kwa waarabu wewe, walikufanya nini mpaka uwasingizie, tena bila ushahidi wowote!!!! Je! Una kithibisho chochote kinachoonesha walitesa babu zako, au ulikuwepo wakati wanatesa hao mababu zako utuwekee angalau kapicha!!!!

Lete ushahidi hapa!!!
Ushaidi wa kutesa wafanyikazi wa nyumba sana sana Waafrika, upo! Mpaka kuua washaua wale nyoko!
 
Huujui uislam funga kopo lako wew , unajua jino kwa jino wew? Unafaham koran imesemaje kwa atakaeacha uislam? Kwenda dini nyingine au unaropoka tu? Anagalia ukiristo umesemaje kuhusu atakeacha ukiristo ,
Am not a religious nigga am just a pure christ follower ninayeamin katika amri mpya ya upendo including kumpenda adui yako siamin katika crusade wars japo kinachoendelea middle east sio vita yakidin wala nini miamba inagombea aridhi na historia zao hayo masuala ya dini mnayowafia dini
 
Ushaidi wa kutesa wafanyikazi wa nyumba sana sana Waafrika, upo! Mpaka kuua washaua wale nyoko!

Kama kulalamika, kwanini basi wahindi, bangladeshi, Indonesian, Philippines, nepal wasilalamike wakiteswa!! Na ndio miaka na miaka wanafanya kazi kwa waarabu!!! Yani nyie kila siku kulalamika mara oh tunateswa!!! Wafanyakazi wa huku wengi wao lelemama, hawajiwezi, all the time kuchati na mabwana/marafiki/wambea, wapi utaweza kufanya kazi!!! Ndio maana mataifa hayo niliyoyataja wanadumu kwenye hizo nchi coz hawana mambo ya uswahili na ulelemama, kazi kazi 💪🏽
 
Ngozi nyeupe zile wewe, wanaelewana wenyewe. Wewe Mwafrika na mwarabu wapi na wapi? Dada zenyu wanaumia kule, wewe ati oh ni wazembe, wana uswahili, hamna lolote, wanateswa na kidogo sana ndio wako kwenye familia tulivu zisizo kero.
Alafu hao sijui Wahindi, wapakistani, Nepal nk, wanateswa mkuu, usiambiwe kitu. That's a fact, ila ni waoga kupindukia, ako radhi apokee mshahara mdogo na kazi abandikiziwe nyingi lakini hasifukuzwe kazi au kurudishwa kwao. Hawaongei wale. Waafrika hawana time na maonevu, ndio maana unasikia malalamishi mengi kutoka kwao. Yuko radhi arudi nyumbani lkn asiwe mtumwa kwa hela ndogo.
 
Kuna kipindi Waingereza walivyochukua German East Africa walitaka kuwaleta Wayahudi huku kwetu ilipo Tanzania leo.

Baadaye wazo lile likakataliwa.

Lingekubaliwa huu mgogoro wa Wapalestina leo ungekuwa wetu.
 
Nasikia ilipangwa na wakubwa kuwa waisrael watafutiwe eneo Uganda na kuhamishiwa hapo. Hilo ndo lingekuwa Taifa lao cha ajabu nasikia ni Waisrael wenyewe walioanza kuukataa katakata mpango huo. Wajuzi naomba mnijuze;

1. Kwanini hawa jamaa walikataa kuhamia Uganda kwenye mito na ardhi yenye rutuba tele na kukubali kule Middle East kwenye joto kali na migogoro isiyokwisha? au kuna kitu wanafahamu kuhusu Afrika ndio maana wakajikimbilia zao?

2. Mnafikiri kama wangepewa kipande flani cha Ulaya, amerika au Asia wangekataa pia? wajuzi naomba mnieleweshe kidogo maana sielewi elewi (nahisi kama Afrika kuna jambo flani la giza hv (litatokea) na hawa jamaa weupe wanalijua vizuri).
Wanazo nyaraka na kumbukumbu za taifa lao na bizaza vyao, hawajapoteza hawezi kukubali kuzulumu watu wengine kwani wamepitia maumivu ya kuzulumiwa,pale walipo ndio taifa lao
 
Before the state of palestine, there was a country called Israel but the Nazi, Russians, and Allied members killed and pushed jewish out of their land that was located around mt. Zion, later After the defeat of Germany and it's Nazi allies, USA, Britain, France and it's Triple Entente decided to give Jewish people their original land at mt Zion, infact Jerusalem is situated on Mount Zion, so if we're to truly look at this issue with archaeological, Anthropological and any other Scientific facts we'll find that initially there was no country called Palestine.

Palestine was a province in syria, but the Assyrian empire took control of Babylonian empire and all Israelites were taken into captive, Assyrians extended their territorial boundaries into a Israel that what brings contention around East Jerusalem.

This is but a few, many historical facts can prove. Then finally the MOSSAD can infiltrate any country in the world and assassinate anybody they want particularly those supporting their opponents so I do advice that even if we may be at liberty to comment, we should be neutral particularly we citizens of Africa because our governments can't protect us whenever Israeli mossads decides to capture.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Kwa maelezo yako.Warabu wamevamumia ardhi ya mababu zetu huko Moroco, Libya,Misri nk.
Je nasi tuwafukuze warabu warudi mashariki ya kati kwa sababu Afrika sio ardhi yao.
 
wewe unaweza kwenda uganda mzee? Biblia huwa unasoma? tangu enzi ardhi ile middle east ni mali ya Ibrahim Isaka na Yakobo (israel), ni urithi walipewa na Mungu, waarabu uambao ni watoto wa Ishmael walipewa bara arabuni huko jangwani ambako kuna mafuta mengi na bado hawaridhiki. the Bible was very specific, Ishmael (ambaye waislam wanaita Ismaili) alikuwa mtoto wa kambo na alifukuzwa yeye pamoja na mama yake Hajir, na kuna baraka yao moja tu ambayo Mungu aliwapa, kwamba wangezaliana sana na wangekuwa taifa kubwa, ndio taifa la waarabu leo duniani. ila kwa ile ardhi kule israel, ni mali ya watoto wa Yakobo, na Mungu alikataa kabisa kumrithisha ishmael akampa Isaka ambaye ni bada wa waisrael. topic closed.
Ibrahim hakuwa mwarabu? Na waisrael sio waarab?
 
J
Acha chuki kwa waarabu wewe, walikufanya nini mpaka uwasingizie, tena bila ushahidi wowote!!!! Je! Una kithibisho chochote kinachoonesha walitesa babu zako, au ulikuwepo wakati wanatesa hao mababu zako utuwekee angalau kapicha!!!!

Lete ushahidi hapa!!!
Jomba sawa unawapenda waarabu lakini ni watu wa hovyo kuwai kutokea hapa duniani. Google slavery in Saudi Arabia( youtube), slavery in Libya(youtube) tena hii haina hata miaka mingi na shahidi kibao za watu weusi kuuliwa huko Mashariki ya kati. Wakurdi na wayazidi ambao ni minorities wanateswa na kuuliwa na waarabu hadi leo ( najua utabisha ila google kuthibitisha). Kifupi hawana utofauti na hawa wanaojiita wayahudi.

Alafu unapowaita waarabu ni ndugu zako kwa kuwa upo nao kwenye dini moja unakosea sana sababu hao waarabu kwao wewe ni takataka tu kwahiyo usijipendeze. Hao unaowaita ni ndugu zako katika dini Mtume mwenyewe alikuwa na watumwa weusi, waarabu walikuja kuchukua watumwa pia, libya hadi leo kuna biashara ya utumwa, hivi unapata wapi nguvu za kuwaita ndugu zako
 
Ngozi nyeupe zile wewe, wanaelewana wenyewe. Wewe Mwafrika na mwarabu wapi na wapi? Dada zenyu wanaumia kule, wewe ati oh ni wazembe, wana uswahili, hamna lolote, wanateswa na kidogo sana ndio wako kwenye familia tulivu zisizo kero.
Alafu hao sijui Wahindi, wapakistani, Nepal nk, wanateswa mkuu, usiambiwe kitu. That's a fact, ila ni waoga kupindukia, ako radhi apokee mshahara mdogo na kazi abandikiziwe nyingi lakini hasifukuzwe kazi au kurudishwa kwao. Hawaongei wale. Waafrika hawana time na maonevu, ndio maana unasikia malalamishi mengi kutoka kwao. Yuko radhi arudi nyumbani lkn asiwe mtumwa kwa hela ndogo.

Hivi kuna jamii katili duniani kama waafrika na wahindi?? Sio wote lakini!. Hata waarabu, wazungu nk pia wako baadhi yao wana roho mbaya,., lakini waafrika na wahindi ni zaidi ya ukatili. Hapa kwetu housegirl anapewa manyanyaso, anapigwa hadi kuuawa alafu mshahara mdogo chini ya laki moja.refer yule housegirl wa dar alichofanyiwa na mama wa nyumbani na kupelekea umauti, hiyo kesi mpaka wa leo kimya sijui ilifikia wapi. Uarabuni mishahara wanapata zaidi ya laki tano na wengine mpaka laki tisa, akirudi huku anakujengea nyumba nzuri sana, hata mfanyakazi wa Bank/Polisi/Traffic wa huku sizani kama anapata hiyo hela.

Mabinti wa kiafrika ni wavivu sana, especially wakwetu sio watu wa kazi. Mimi nimefanyanao kazi aise inataka uwe na roho ya chuma. Tena vibinti vya kijijini vimekua na viburi sana, tangu wazijue smart phone ni mwendo wa kisirani mzehe!
 
Acha kupotosha na uhuni , atakekufata huko wasap ni standard seven material mwenzio , kwanza aje huko wasap wakat cresible materials zipo , unaajenda gani huko wasap wew bwege , achaneni na huyu mpotoshaji na muhuni , the only credible source ni Biblia , vingine hivyo utopolo wako mpelekee mtume mwamedi
Only credible source ni Bible !!!

Leta source za kihistoria kuthibitisha pale walipo wapalestina sio kwao na sio kuja na bla bla bla kila saa.

Tu assume wewe ni reasonable man, Ni jamii gani hapa duniani ambayo imepoteza kabisa race( physical a appearance)yake kwa kuwa wanaonewa na kuteswa na jamii nyingine? Rohingya Muslims, Yazid, kurdi, red indians hizi jamii zote zimepitia mateso miaka nenda rudi hakuna iliyobadilika na kuwa race nyingine ila hili limewezekana kwa ashkenazi jews tu.

Kwa wapalestina kuna wakrito pia na ni wengi tu, Yesu alifanana na wapalestina wa leo zaidi kuliko majority jews wa leo kwahiyo unaposhangilia kuuwawa kwa wapalestina ukumbuke hili pia.
 
Walikiwa waje kati ya Tanzania na Uganda nchi zoye mbili ziliwakataa katakata......
Walicho wakataa mnakiona na kusikia kule Palestina..
 
Ibrahim hakuwa mwarabu? Na waisrael sio waarab?
Ibrahim asili yake ni Misopotamia (Iraq) ndio iliitwa Uru ya Ukaldayo. alihamia maeneo yale kwasababu Mungu alimpa yeye na kizazi chake cha ahadi. alipozaliwa Ishmael alimuuliza Mungu kama ndio mrithi wake, Mungu akasema HAPANA, hadi alipozaliwa Isaka ndio Mungu akamwambia ndio mrithi. wakati huo Ishmael alikuwa ameshafukuzwa kwenda kwenye jangwa huko, and mind you, sio waarabu wote wanaoishi huko alikokimbilia ishmael ni wazao wa ibrahim, wengine sio, ila cha msingi kujua ni kwamba ishmael alizaliwa na mama Mmisri ambaye hakuwa mwupe sanaaa kama waajami n.k, kwahiyo waarabu wale wa Saudia ambao sio weupe kama wazungu ndio wazao wake na Mungu alimpa baraka ya kuzaliana kwa wingi baada ya Ibrahim kumwuliza Mungu kama urithi ni wa Isaka Ishmael atapata nini sasa, Mungu akamwambia huyo atazaa sana, ndio maana waarabu ni wengi sana.

Ukija kwa Isaka, alizaliwa na mama wa kabila moja na Ibrahim, hivyo ni mzungu kidogo kama walivyo wairaq, sio sura ya waarabu, na uzao wake akamzaa Yakobo na pacha wake, na Yakobo ndio Mungu akawa ameahidi ahadi yake (Yesu Kristo) itapitia kwake na Yakobo n dio alibadilishwa jina na kuitwa Israel tangu enzi hizo.

cha kuelewa ni kwamba, tangu Ishmael afukuzwe na Sarai baada ya Isaka kuzaliwa, koo hizi mbili zimekuwa na visa na ugomvi, hawapendani tangu enzi hizo. hata sisi wanaume tujitahidi, ukimfukuza mtoto wa kambo unayekaa naye usitegemee watakuja kupatana. kwa Ishmael ndiko alikokuja kuzaliwa Mood, na tunajua alichoifanyia Biblia ili kupindisha tu kile ambacho Mungu wa Israel (mjukuu wa mdogo wake Isaka) alichoamrisha kwenye Biblia. na ugomvi huo hautakuja kuisha.

kuhusu Gaza, tangu enzi za Mfalme Daudi, Gaza ilikuwa mali ya WAfilisti (wapalestina), kaeneo kale ka gaza tu kalikuwa kanakaliwa na watu wanaoitwa wafilisti ndugu zake Goliath aliyepigwa na Daudi mtoto wa nchi ya Israel. Gaza kwenye Bible ipo.

kosa walilofanya wayahudi ni kumuasi Mungu, Mungu akawaadhibu kwa kuchukuliwa utumwani Baabeli ili wajifunze, walipoondoka (pamoja na kwamba hawakuondoka wote), Waarabu na wazao wengine wa Gaza wakaenda kuvamia maeneo hayo 400 years baadaye Mungu alikuwa ameahidi kwamba lazima atawarudisha kwenye ardhi yao, na kweli kwa hesabu ya miaka, ilipofika walirudi mmoja mmoja na 1948 wakadeclare nchi yao iliyokuwa imevamiwa na waarabu imerudi mikononi mwao. huu ndio ukweli mchungu.
 
Hivi kuna jamii katili duniani kama waafrika na wahindi?? Sio wote lakini!. Hata waarabu, wazungu nk pia wako baadhi yao wana roho mbaya,., lakini waafrika na wahindi ni zaidi ya ukatili. Hapa kwetu housegirl anapewa manyanyaso, anapigwa hadi kuuawa alafu mshahara mdogo chini ya laki moja.refer yule housegirl wa dar alichofanyiwa na mama wa nyumbani na kupelekea umauti, hiyo kesi mpaka wa leo kimya sijui ilifikia wapi. Uarabuni mishahara wanapata zaidi ya laki tano na wengine mpaka laki tisa, akirudi huku anakujengea nyumba nzuri sana, hata mfanyakazi wa Bank/Polisi/Traffic wa huku sizani kama anapata hiyo hela.

Mabinti wa kiafrika ni wavivu sana, especially wakwetu sio watu wa kazi. Mimi nimefanyanao kazi aise inataka uwe na roho ya chuma. Tena vibinti vya kijijini vimekua na viburi sana, tangu wazijue smart phone ni mwendo wa kisirani mzehe!
Waafrika wangapi wanauwawa katika nyumba wanazofanya kazi?
Yaani unauthibitishia ulimwengu waafrika ni makatili kuliko warabu.
Hata warabu wenyewe wanaweza kukushangaa.
 
Waafrika wangapi wanauwawa katika nyumba wanazofanya kazi?
Yaani unauthibitishia ulimwengu waafrika ni makatili kuliko warabu.
Hata warabu wenyewe wanaweza kukushangaa.

Albino wanakatwa viungo huu sio ukatili?

Vikongwe wanauliwa huu sio ukatili?

Baba anauwa mwanae kwa maagizo ya mganga wake huu sio ukatili?

Wafanyakazi wa ndani wanavyoteswa na waafrika wenzao, na wengine kuuawa huu sio ukatili? Refer yaliyotokea dar

Mwizi anachomwa moto huu sio ukatili?

Wa boda boda kuchinjwa, kupigwa nyundo za kichwa n.k huu sio ukatili?

Wake kwa waume wanakatana mapanga kisa mapenzi, mali n.k huu sio ukatili?

Watu wanauana kisa hela ndogo, huu sio ukatili?

Tarime watu wanauana kisa mashamba, wanawake, mali n.k huu sio ukatili?

Waendelee na wengine kuorodhesha ukatili wa huku........list bado inaendelea. Ila wewe umekuja na chuki zako hapa, na kulalia kwa waarabu tu, ya kwako huyaoni!!!
 
Back
Top Bottom