gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,677
- 18,265
You're too fvcking low bro.. dizaini una umri na elimu ndogoUnaongea pumba
You're too fvcking low bro.. dizaini una umri na elimu ndogoUnaongea pumba
Umeacha hadithi moja ya ndoa za mikataba, hadi leo iko Iran... Yaani ukiiona pisi ukailewa unaenda nayo kwa Sheikh unafunga ndoa ya siku moja mkimalizana mnaachanaWameanza kupingana karne ya 20 mwishoni baada ya kuona hadithi zinaleta shida kwenye jamii za sasa. Mfano mmojawapo ni hadithi ya Mohamed kumuoa Aisha akiwa na miaka 6 na kuanza kumlala akiwa na miaka 9.
Inakuwa ngumu kumtetea mtume wao,mtume bora kuliko wote kwa kitendo kile . Option pekee inayobaki ni kuja na hesabu zisizo eleweka ili kumuoka Mohamed na ukakasi wa jambo lile.
Uoga wako tuu kwakua unaruka ruka toka mwanzo maana hata ishu ya swala 5 kwenye Quran haujaleta ushahidi mada imekuzidi uwezo.You're too fvcking low bro.. dizaini una umri na elimu ndogo
Nilikuuliza utanipa nini nikikuonesha?.. maana nilishaonesha wengi humu,hawakunilipa chochoteUoga wako tuu kwakua unaruka ruka toka mwanzo maana hata ishu ya swala 5 kwenye Quran haujaleta ushahidi mada imekuzidi uwezo.
Mkuu hii yashetani kupuliza matako ya waislam kiukweli sijapenda.Shetani hapa amepitiliza, siyo kwa ushetani huu wakuingia nyumba za ibada na kuwapuliza matakoni na anajua hwavaagi nguo ya ndani mda huo😀😀😀😀Shetani mshenzi kabisa..alaaniwe kwa kupuliza wenzio vinyeoKwa Uislamu, udhu hutenguka pale kinapotokea jambo linalobatilisha hali ya twahara. Kwa muhtasari, haya ndiyo yanayotengua udhu kwa mujibu wa wanazuoni wengi:
Kinachotoka katika tupu mbili
Mkojo
Kinyesi
Kujamba (hapa ndo kuna wakati shetani huwa anaenda kuwapuliza katikati ya Matako ili wahisi wamejamba)
Madzi (maji ya ute yanayotoka kwa sababu ya msisimko)
Wadi (maji mazito yanayotoka baada ya kukojoa)
DuuuhHadithi ni upotofu, baada ya wayahudi kushindwa kubadili Quran,wakapitia Hadith kuwatoa waislam toka kwenye Quran
Vipi?Duuuh
Kama una majibu jibu.Nilikuuliza utanipa nini nikikuonesha?.. maana nilishaonesha wengi humu,hawakunilipa chochote
Kasome sahihi Bukhari 5134 shehe.Wewe makende brain ulikuwepo kabla ya 20 ukaona wakikubaliana
Ashamedby nothing, Offended by everythingVipi?
qspirit.net
Buhari ni mzuka uliotengenezwa na mashoga ya vatikani na wayahudie sahihi Bukhari 5134 shehe.
Kwahiyo una uhakika mwaka huo huo akiwa na miaka 12 anapochumbiwa ndip uweza wa roho ulikuwa juu yake bosi? Thibitisha.Tamaduni za wayahudi ilikuwa kwamba binti anachumbiwa akiwa 12.
Kwahiyo Hadith za Bukhari unaziamini au huziamini?Bukhari katokea zaidi ya miaka 200 baada ya kifo cha mtume, bukhari mtu wa Kazakhstan akaenda ulimwengu wa kiislam kukusanya Hadith
Msome abdallah bin sabai aliyekuwepo kipindi cha mtume na baada ya kufa umjue ni nani na mchango wake
Wanadai miaka 9 ya kipindi kile cha mtume ni sawa na miaka 19 ya sasa hivi. 😆😆😆Wameanza kupingana karne ya 20 mwishoni baada ya kuona hadithi zinaleta shida kwenye jamii za sasa. Mfano mmojawapo ni hadithi ya Mohamed kumuoa Aisha akiwa na miaka 6 na kuanza kumlala akiwa na miaka 9.
Inakuwa ngumu kumtetea mtume wao,mtume bora kuliko wote kwa kitendo kile . Option pekee inayobaki ni kuja na hesabu zisizo eleweka ili kumuoka Mohamed na ukakasi wa jambo lile.
Yes sometimes ni hivyo shetani anaenda kuwapuliza katika matako ya waombaji ionekane wametoa ushuzi. Na harufu inasikikaKwa hiyo mtu akitoa ushuzi watasema ni shetani kapuliza au
Leta ushahidi wa maandiko ili kuthibitisha haya madai yako. Kuna Quran verses huwezi kuelewa maana yake mpaka ukamsome Bukhari.Buhari ni mzuka uliotengenezwa na mashoga ya vatikani na wayahudi