Kwanini waislamu wanapingana kuhusu uhalali wa Hadithi?

Zipo Hadithi za kweli na zipo Hadithi za uongo. Inasemwa nyingine zilitungwa na wayahudi na makafiri na kuingizwa kwenye hadithi za waislamu.

Kwa ivo unapotumia Hadithi kama rejea ya mambo ya kwenye Quran,uwe muangalifu usitumie zile feki ukadhani upo sahihi.
Kwanini uislamu una beef sana na wayahudi? Wayahudi waliingilia vipi ukusanywaji wa Hadith zao? Mwisho wa siku Quran inasema wakristo na wayahudi ndiyo watu wabaya kuliko wote duniani.

Quran 98:6
Verily, those who disbelieve (in the religion of Islâm, the Qur'ân and Prophet Muhammad (Peace be upon him)) from among the people of the Scripture (Jews and Christians) and Al-Mushrikûn will abide in the Fire of Hell. They are the worst of creatures.[]
 
Wewe unaona Mohamed alikuwa sawa kumlala mtoto wa miaka 9? Ambaye alikuja kubalehe alipofikisha miaka 14? Dini sometimes inaondoa common sense vichwani mwetu kwenye mambo ya msingi.
inategemea na muktadha, kwani alibalehe na miaka mingapi binti mwenyewe?

suala la common sense kwenye sidhani kama linazingatiwa, maana ukilizingatia tu hutokubali kuingia katika dini yeyote
 
Ukitumia common sense hata huu mjadala usingekuwepo,the fact that alioa mtoto na kuanza kumlala akiwa na miaka 9 ni red flag kubwa sana.

Huyu jamaa ni mfano wa kuigwa kwa nyakati zote,leo watu wanaoa watoto kwenye nchi nyingi za Kiislamu kama sunnah. Sunnah ni kuiga jinsi Mohamed alivyoishi, Tanzania tumeshindwa kupitisha sheria ya mpya ya ndoa kwa sababu hiyo.
 
naona mjadala ushakua mgumu, nakwambia kwa miaka hiyo hapo middle east hayo ndo yalikua mambo yao aisee na ndo maana shutuma kama hizi miaka hiyo hazikuwepo kwakua wote ndo walikua hivyohivyo

tukija kwenye suala la sheria ya ndoa --- nimekuuliza pale mwanzo 18 inatokea wapi msingi wake ni nini?
 
Soma historia yote uislamu,hakuna swahaba wa Mohamed alioa mtoto. Ukija kwetu wakristo hakuna nabii alioa mtoto. Kwanini Mohamed pekee ndiye ana record ya kuoa mtoto wa miaka 6?

Generation ya sasa imepima na kuona kwamba miaka 18 ni perfect kwa mtoto wa kike kuolewa na kuzaa. Sababu kuu kuna data ,a kutosha kuhusu athari za mimba za utotoni kwa wanawake, fistula na vifo .

Kama binadamu wa kawaida wamelijua hilo how come mtume wa Allah alishindwa kuonyeshwa hili? Mtu ambaye anatakiwa kuwa mfano wa kuigwa kwa vizazi vyote!!!.
 
safi kabisa nashukuru umetoa confirmation wewe ni mzee wa jumapili(or incase jumamosi) sasa mkuu kwenye jambo hili watu wa ijumaa huwezi cheka kinamna hiyo kwa sababu kadha wa kadha nilizokupa hapo juu

kuhusu suala la miaka hao watu wengine wa muda huo unaweza sema labda walikua wajanja miaka haikua inatajwa --- maana ukiulizwa haya ukristo unasema mtu aolewe na miaka mingapi, au wewe kama unanukuu hata ya kanisa lolote weka hapa jamvini

kwahiyo kama hivi sasa unavosifia 18 unakua hata manabii wako nao let say walioa 12yrs 13yrs 14 yrs - old girls huoni hoja ileile unayoishambulia na wewe upande wako umefanya hivyo --- ndo nakwambia dini za middle east kule zinafanana
 
Zipo Hadithi za kweli na zipo Hadithi za uongo. Inasemwa nyingine zilitungwa na wayahudi na makafiri na kuingizwa kwenye hadithi za waislamu.

Kwa ivo unapotumia Hadithi kama rejea ya mambo ya kwenye Quran,uwe muangalifu usitumie zile feki ukadhani upo sahihi.
Mimi nauliza hii ya shetani kuingia msikitini na kuwapuliza waislam nyuma ni ya kweli au fake? Vipi hii ya kuchukua mtoto wa miaka 6 kama bwana Jeffrey Epstein ni ya kweli au fake? Shida mkiona inasifa si nzuri mnaikimbia..mnasema Fake makafiri wamewapa😁😁😁Makafiri wananguvu hadi wanawatungia hadithi wanaziingiza kwenye dini yenu na wapo wanazitumia.
 
Muhammad alipokuwa akitoka choon, alikuwa akisema

“Ee Mungu, nisamehe kwa dhambi nilizo zifanya.”

Je, chooni kuna dhambi gani aliyokuwa akiifanya mpaka aombe msamaha, au alikuwa Mzee wa chaputa? Maana muhamad alikuwa hapitwi na kitu

Au alikuwa anafanya michezo na majini ?

FB_IMG_1770125745474.jpg
FB_IMG_1770125741729.jpg
 
safi kabisa nashukuru umetoa confirmation wewe ni mzee wa jumapili(or incase jumamosi) sasa mkuu kwenye jambo hili watu wa ijumaa huwezi cheka kinamna hiyo kwa sababu kadha wa kadha nilizokupa hapo juu

kuhusu suala la miaka hao watu wengine wa muda huo unaweza sema labda walikua wajanja miaka haikua inatajwa --- maana ukiulizwa haya ukristo unasema mtu aolewe na miaka mingapi, au wewe kama unanukuu hata ya kanisa lolote weka hapa jamvini

kwahiyo kama hivi sasa unavosifia 18 unakua hata manabii wako nao let say walioa 12yrs 13yrs 14 yrs - old girls huoni hoja ileile unayoishambulia na wewe upande wako umefanya hivyo --- ndo nakwambia dini za middle east kule zinafanana
Mimi kuwa mkristo hakuniondolei common sense kabisa,hata nabii wangu angeoa mtoto ningekuwa na shida ya nafsi . Wewe leo unaweza kumuoza binti yako wa miaka 9? Afghanistan, Pakistan, Somalia, Northern Nigeria ni jambo la kawaida kwa sababu ya dini.
 
mkuu sasa unapoelekea unaenda kua kilaza --- nimekwambia kwa miaka ya sasa jambo hilo kwa umrio wa miaka 9 haliwezekani.

kwa kutumia common sense siku yako ya kwanza kuisoma au kuliona agano la kale ungeshatoka huo upande uliopo
 
Mwaka jana Iraq wamepitisha Sheria mpya ya ndoa ni kuanzia miaka 9, Somalia serikali ilitaka kuweka miaka 18 mwaka jana . Maulamaa wakaandamana kwamba serikali inataka kwenda kinyume na dini. Leo bado inawezekana kabisa.
 
watu waliandamana kupinga hawakuandamana?
 
Wanawake wa Iraq waliandamana kwa sababu wao ndiyo victims. Kuandamana kwao ilikuwa ni kosa kwa sababu ndoa za watoto ni Sunnah ya mtume Muhammad.

nikikwambia kwamba walikua sahihi utakubali?
 
Back
Top Bottom