mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,771
- 81,012
Hata ukristoni kuna upuuzi mwingi. Ukisoma kitabu cha mambo ya walawi utaona. Eti adhabu ya kusaliti ndoa ni kifo...Hadith zote ni za uongo ila wanaangalia zile nzuri ndo wanasema sahihi. Quran na Hadith zote ni stori za kitoto sana