Kwanini waislamu wanapingana kuhusu uhalali wa Hadithi?

Kwanini waislamu wanapingana kuhusu uhalali wa Hadithi?

Muongozo ni Quran tu, hadithi ni kama vitabu vya agano jipya,zimekuja miaka mingi baada ya mtume kuondoka kama vitabu vya agano jipya vilivyoandikwa miaka mingi baada ya yesu kuondoka
Wewe sio Muislam...utatambuje kuswali swala 5 kama sio Hadith?
 
Haya nimefika hivi nyie wagalatia mnadhani ni nyie peke enu mlioanza kupinga hii dini na kuzusha? Kuna kina abu lahab nyie Bado watoto Elimu hamna kichwa debe tupu si bible Wala Quran mnayoelewa ndio maana huwa tunawasindikiza tuu Kwenye hoja maana Hata tukijibu hamuelewi nyie mmezoea kupigwa kamba na wachungaji wanawake eti kaenda mbiguni karudi kuwabarik zumarid
Wewe hadi ufuate maelezo ya wanazuoni ndio ujibu hoja ila uwezi kutumia uelewa wako kuchambua verse za Quran yaani unapingana na Quran yenyewe inavyosema katika sura ya 12:1
 
Hili suala kwasasa limekuwa tatizo kwa Waislam, wengi wanakuja na yao na si ya yale yaliyoabdikwa katika Quran Tukufu
katika Hadith leo nimemsikia Sheikh wa kishia mmoja kwa TikTok anazungumza kama asiyekuwa na Ilmu yoyote ile na amejaa uzushi kweli...Inna llilah
Sijui tunakoelekea lakini
Hadithi ni upotofu, baada ya wayahudi kushindwa kubadili Quran,wakapitia Hadith kuwatoa waislam toka kwenye Quran
 
Wewe hadi ufuate maelezo ya wanazuoni ndio ujibu hoja ila uwezi kutumia uelewa wako kuchambua verse za Quran yaani unapingana na Quran yenyewe inavyosema katika sura ya 12:1
Nani kakwambia nafuata wanazuoni? Quran Iko wazi Haina maelezo mengi Wala haitaji Roho mtakatifu ili ieleweke Kama wachungaji wanavyowatia kamba
 
Nani kakwambia nafuata wanazuoni? Quran Iko wazi Haina maelezo mengi Wala haitaji Roho mtakatifu ili ieleweke Kama wachungaji wanavyowatia kamba
Quran haijitoshelezi nambie Mke wa Adam ni nani kwa mujibu wa Quran hili ni swali dogo sana.
 
Muongozo ni Quran tu, hadithi ni kama vitabu vya agano jipya,zimekuja miaka mingi baada ya mtume kuondoka kama vitabu vya agano jipya vilivyoandikwa miaka mingi baada ya yesu kuondoka
Kuzuia maiti isiwekwe Mortuary au kukataa kusafirisha maiti na mfumo mzima wa maziko inatokana na Quran ama ni kufuata Hadithi?
 
Nani kakwambia nafuata wanazuoni? Quran Iko wazi Haina maelezo mengi Wala haitaji Roho mtakatifu ili ieleweke Kama wachungaji wanavyowatia kamba
Quran 9:30 inaposema Wayahudi wanasema Uzair ni mwana wa Mungu kihistoria wayahudi wapi umesikia wanatamka haya maneno na huyo Uzair ni nani kihistoria maana hapa Quran imedanganya
 
Kuzuia maiti isiwekwe Mortuary
Muislam gani aliziwia maiti kukaa mortuary au kukataa kusafirisha?..muwe mnatafuta taarifa za kweli siyo ukilisikia tu kwenye vikao vya ulevi basi unalibeba
au kukataa kusafirisha maiti na mfumo mzima wa maziko inatokana na Quran ama ni kufuata Hadithi?
Q
Kuzuia maiti isiwekwe Mortuary au kukataa kusafirisha maiti na mfumo mzima wa maziko inatokana na Quran ama ni kufuata Hadithi?
Quran haijaelekeza kumkafini wala kumvika sanda marehem
 
Hadithi ni upotofu, baada ya wayahudi kushindwa kubadili Quran,wakapitia Hadith kuwatoa waislam toka kwenye Quran
Bukhari na kina Muslim ,Dawood ,ni wayahudi ?

Hadith zenu zikiwaumbua mnasingizia dhaifu ,wengine mnasingizia Wayahudi

Yaani hamkosagi sababu 😂
FB_IMG_1770062935411.jpg
 
Context huelewi na unaweza ukaona kitu kidogo maana yangu Quran haijitoshelezi inarukia rukia mambo.
Quran ni muongozo wa namna gani binadam ahusiane na mola wake,na namna gani ahusiane na viumbe wenzie,siyo kitabu cha kutaja ndoa,nasaba na Koo za watu
 
Bukhari na kina Muslim ,Dawood ,ni wayahudi ?

Hadith zenu zikiwaumbua mnasingizia dhaifu ,wengine mnasingizia Wayahudi

Yaani hamkosagi sababu 😂View attachment 3538146
Bukhari katokea zaidi ya miaka 200 baada ya kifo cha mtume, bukhari mtu wa Kazakhstan akaenda ulimwengu wa kiislam kukusanya Hadith
Msome abdallah bin sabai aliyekuwepo kipindi cha mtume na baada ya kufa umjue ni nani na mchango wake
 
Quran ni muongozo wa namna gani binadam ahusiane na mola wake,na namna gani ahusiane na viumbe wenzie,siyo kitabu cha kutaja ndoa,nasaba na Koo za watu
Umedanganywa madrasa na maneno ya Uongo kwa Allah sema Astaqafullah soma Quran 12:1
 
Back
Top Bottom