ndengisivilii
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 713
- 882
Kama Quran ni kitabu kinachoelezea vitu kwa uwazi kwanini kishindwe kujua mambo?Hoja gani sasa?😃😃
Kama Quran ni kitabu kinachoelezea vitu kwa uwazi kwanini kishindwe kujua mambo?Hoja gani sasa?😃😃
Kwa hiyo mtu akitoa ushuzi watasema ni shetani kapuliza auShetani huja kwa mmoja wenu wakati wa swala na hupuliza kwenye makalioni mwake (at his backside), kiasi cha kumuacha adhani ametoa upepo, ilhali hakujitoa.”
Na kama hilo litokee, haumwachagi kuacha swala mpaka asikie sauti ya kweli ya upepo au apate harufu yake.
— Hadith hii imeorodheshwa kwenye kitabu cha Bulugh al‑Maram (riwaya kutoka kwa Ibn ‘Abbas na Abu Sa’id) kuhusu suala la wasiwasi wa upepo wakati wa swala.
Mambo yenyewe ndoa za watu!?Kama Quran ni kitabu kinachoelezea vitu kwa uwazi kwanini kishindwe kujua mambo?
Quran 9:30 inasema wayahudi wanasema Uzeir ni mwana wa Mungu kihistoria wayahudi hawajawahi kusema hayo maneno hata kimaandiko pia Hata Huyo Uzeir ni nani Quran inashindwa kujibu.Hoja gani sasa?😃😃
Wewe sio Muislam!Mambo yenyewe ndoa za watu!?
Wayahudi walikua wakiishi na mtume Madina,akifanya nao mijadala,kupeana vyakula,aliona ibada zao, alijua imani YaoQuran 9:30 inasema wayahudi wanasema Uzeir ni mwana wa Mungu kihistoria wayahudi hawajawahi kusema hayo maneno hata kimaandiko pia Hata Huyo Uzeir ni nani Quran inashindwa kujibu.
Hilo halikuhusuWewe sio Muislam!
Big show na wenzako, hii mnasemaje na ina ukweli au?majibu tafadhariNapendaga ile hadith mudi alikuwa akinyonya ndimi za wanaume wenzake na kulamba midomo yao akiwa uchi msikitini.
Hii Hadith inawaumizaga kobaz.
Kuna ile shetani anawapulizia matakoni wakiswali. Yani kobaz inamuuma balaaa.
adriz de mbusii
Kwanza huu mjadala sitaki uwe unajadiliwa kwa midadi. Sisi ni watu wenye uislamu kwenye Koo na familia zetu.Muislam gani aliziwia maiti kukaa mortuary au kukataa kusafirisha?..muwe mnatafuta taarifa za kweli siyo ukilisikia tu kwenye vikao vya ulevi basi unalibeba
Quran haijaelekeza kumkafini wala kumvika sanda marehem
Unatumia siasa kujibu ninahisi wewe sio Muislam, Sasa Mtume Mohammad aliyekuja miaka 570 baada ya Yesu ni nani wa kumwamini kati ya mafundisho ya Yesu au Mohammad?Wayahudi walikua wakiishi na mtume Madina,akifanya nao mijadala,kupeana vyakula,aliona ibada zao, alijua imani Yao
Wewe upo kinyerezi maji hakuna,umejaa fangasi kwenye korodani unabisha mambo yaliyofanyika Madina miaka 1500+ iliyopita, tumia kichwa chako vizuri
Kwamba hapajawahi kuwa na maiti ya muislam mochwari wala kusafirishwa?Kwanza huu mjadala sitaki uwe unajadiliwa kwa midadi. Sisi ni watu wenye uislamu kwenye Koo na familia zetu.
Mambo ya kusema sijui vikao vya pombe siyo sawa. Siyo mara Moja Wala Kwa familia Moja. Mara kadhaa waislamu wamekataa maiti zao kuwekwa mortuary au kusafirishwa.
Kama si muongozo wa Quran kuhusu maziko sema tu bila ya kumkerehesha mtu anayeuliza.
Maana wengi wetu maisha yetu tumejua mambo manne yampasayo maiti ni haya:
1. Kuoshwa
2. Kuvikwa sanda
3. Kuswalia
4. Kuzikwa.
Sasa kama wewe kama una maarifa tofauti tueleze bila ya kuleta taharuki. Hii ni mada ya kuelimishana.
Mafundisho ya yesu na Muhammad ni yaleyale, Mungu mmoja,hafanani na chochote,hana mshirikaUnatumia siasa kujibu ninahisi wewe sio Muislam, Sasa Mtume Mohammad aliyekuja miaka 570 baada ya Yesu ni nani wa kumwamini kati ya mafundisho ya Yesu au Mohammad?
Ni njia yako ya kuficha identity kule kwenye siasa.Hilo halikuhusu
Wewe kila kitu kwako siasa!Mafundisho ya yesu na Muhammad ni yaleyale, Mungu mmoja,hafanani na chochote,hana mshirika
Mohammad alienda tofauti na mafundisho ya Yesu .Mafundisho ya yesu na Muhammad ni yaleyale, Mungu mmoja,hafanani na chochote,hana mshirika
Hapana, labda unazungumzia mafundisho ya pauloMohammad alienda tofauti na mafundisho ya Yesu .
Wewe 60 Kijakazi 200 which is which nyinyi wauminiHadith nyingi zimeandikwa takriban miaka 60 hadi 100 baada ya Mtume
na kwa bahati mbaya zipo hadidhi feki nyingi zilizo andikwa na wale waliokuwa wanauchukia uislam.
Watu hasa wale ambao sio waislam au waislam wachache ambao hawana elimu; hushindwa kutofautisha ni hadithi ipi waiamini na ipi ni Feki lakini pia baadhi ya hadith zimeandikwa kwa tamaduni za kiarabu sasa zikiletwa huku, mambo yakaonekana tofauti na kwetu; wale wapinzani wa Uislam hulazimisha watu waamini kuwa ni mafundisho ya Uislam...kumbe ni tamaduni za kiarabu
Na ndio sababu Waamini; wakitofautiana kwenye Uislam, hutumia Quran na sio Hadithi; Hadithi ni za kusherehesha tu...
Makashfa ya hovyo hovyo dhidi ya Uislam utayasikia kwenye hadithi nyingi FEKI!
Tafuta wa kujadiliana naeWewe kila kitu kwako siasa!
Kwani paulo na Muhammad nani anatofautiana na Yesu?Hapana, labda unazungumzia mafundisho ya paulo
Unaongea pumbaTafuta wa kujadiliana nae