kama Yesu angeoa mtoto wa miaka 6 hata waislamu wasingepiga kelele kwa sababu hata wao wanamuhesabu kama Nabii hivyo utetezi ungekua tu kama wa sasa unaotumika kwa Mtume --- and to be fair ufafanuzi wake upo reasonable tu, ndo maana nikakwambia shida labda iwe kulikua na ulazima gani kumuoa maana umri kwa miaka haikua kama sasa --- na kwasababu hiyo unaweza kuona japo la umri ni criticism ya miaka hii yetu
kwa miaka hii kufanya hivyo ni ngumu zama zinabadilika,,, kuhusu nani yupo sahihi au hayupo sahihi inategemea mtafsiri anaegemea angle gani , maana hapo middle east dini zote hazijatofautiana kivile
hili la miaka 18 ni debate kubwa zaidi, 18 inatokea wapi maana kuna nchi 18 kuoa + kuolewa marufuku pia, kuna nchi zingine mkoa mmoja 18 rukra mkoa mwingine wanasema 21
au we unasemaje 17 anatofauti gani na 18 au hata 19?
na kwenye hili mbona unataka kutupia lawama waislamu tu mkuu? miaka 100 nyuma tu hapahapa bongo ndoa according to kanisa/wakristo umri ulikua miaka mingapi? maana mikoani huko mpaka kesho kuna kundi kubwa baada ya darasa la saba watu wanakula pilau (huko wa mikoani hii ni wa dini zote hadi wasiokua nazo)