Kwanini wadada wengi wanapenda mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wadada wengi wanapenda mapenzi kinyume na maumbile?

Siyo wanaume tu hata wanawake mm girl friend wangu alinishawishi et nipitie kageti kadogo , akaanza baby naomba*3 Nilisema nini?, Mara tatu anasema naomba? alafu, anaelekeza chane yangu kwenye tigo, ww sitaki hiyo njia haipitiki, akasema baby unanipenda, ni kasema ninakupenda mm na moyo wangu, akasema, katika mwili wangu kuna geti kuu na dogo je nikifunga geti kuu huwezi kupitia geti dogo nikasma nitapita dogo nacho taka nipite tu kuja kwako, akasema Leo sijisikii upite geti kuu naomba upite geti dogo hili ni special for you my darling, nilisema mm sitaki, siku hiyo alifunga geti kuu sikuingia na ckutaka kupitia geti ndogo maana gari yangu itakwaruzwa na ni mpya maana kageti kake kalikuwa kadogo kwa hiyo nikasepa,nacho sema ni kuwa siyo wanaume tu hata wanawake, wa napenda mpaka Leo ananisisitiza nipitie kageti kadogo mm cpendi na nitamuaacha
Endelea na moyo huo huo pia mueleweshe madharadha ya hiyo kitu atakuelewa tuu
 
Mwanadamu fahamu Neno moja kuwa dunia hii inapita na walikuwepo wanadamu kabla yetu nao walipita lakini dalili kuwa mwisho wa mwanadamu umefika na mambo kama.haya ya kubadili uumbaji wa Mungu na kusudi la Mungu kwa mwanadamu.

Biblia inasema hata sodoma na gomora waliangamizwa kwa dhambi kama hizi hata malaika waliotumwa kwenda kuangamiza miji hiyo miwili nao watu wa miji hiyo walitaka kuwatenda kinyume na maumbile.
Mpaka Mungu alipoitetekeza kwa moto.
Wewe uliye na Yesu ndani uyaonapo haya tambua kuwa Yesu yuko mlangoni anakuja.
 
Mhhh mwanamke wa namna hiyo ukimkutana jua umeona garika[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Hivi neno wanawake kupenda limetumika vibaya. Napata shida sana naposoma kuwa anapenda wakati jambo lenyewe linalofanywa na watu wawili, kwa matakwa yao. Chimbuko la kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni Wanaume sio wanawake. Wanaume sisi ndio chimbuko na chanzo. Wewe huyo wako ndo anapenda, tena inawezekana alifundishwa na mwanaume.
La msingi ni kutokufanya wala kuliongelea hili jambo sana.
 
sisi wanaume ni chanzo kikubwa cha uchafu huu sishangai kabisa kuwa wanaume ndo tatizo kuu mwanamke akipenda haui kukataa hata umwambie nn wao sawa tu ili alinde penzi tu kumbe ndo kuharibiwa.wanaume tuache kuiga vitu visivyoo faa na kuvileta kwa wenzi na wake zetu tuwaheshimu maana sidhan km utafurah utakaposikia dada yk au ndugu yk wa kike anafanyiwa mambo hayo..
hakuna kitu , mademu wengi sana wanapenda huo mchezo wa tigo sema uwa wanazuga tu
 
Huu mchezo ni Mtambuka kwa sauti ya mh, ila poleni sana wanawake mnajiaibisha sana yaani mmekuwa kama vile mishetani kila ujinga nyie tu poleni sana.

Kwa wale wanajielewa hongereni sana.
 
Duh zamani tuliambiwa wazenj leo bara tanganyika wametoa walimu duh hatari
 
Nitafanya dhambi zote za ulimwengu ila hilo la tigo kamwe sitoruhus mwanaume anifanyie hivyo,kwanza kweny mahusian yang yote sijawahai kukutan n mwanaum wa haina hiyo..yani ht siku nikaja kukutan na mtu wa ain hiyo sitoendelea nae,naon ni dhambi kubwa sana,so upaswi kutujumuisha wote,labd huyo uliyekutan nae na baadhi yao
hujawahi kukutana na mwanaume wa kukuomba hayo mambo kwa kuwa we mwenyewe unajiweka ktk hali ya heshima....hebu fikirieni mwanaume umeoa unamfata mwanamke unamtongoza anakubali kabisa na anajua umeia na pengine anamjua mke wa huyo mwanaume ila anamkubalia, unadhani huyo mwanaume atamuheshimu vipi huyo mwanamke na angali anajua ameoa, ndo chanzo cha kutaka kumgeuza maana mwanamke mwenyewe hajithamini......
 
Habari zenu humu ndani.

Binafsi naichukia sana tabia ya wadada wanaopenda kuliwa 'tigo'. Yamenitokea sikuamini!

Siku chache zilizopita niliachana na mpenzi wangu kutokana na mambo flani flani ya kibinadamu. Cha ajabu ilifikia hatua akaniambia "mwanaume gani unajua kupakua kupika hujui"!!

Sasa wakuu sielewi hii michezo kwanini wanaipenda.
Hivi maumbile ni yapi na yasiyo maumbile. Hii lugha huwa hainiingii akilini
 
I believe kwamba SISI tukiacha kugusa iyo 071 tabia itaishaa (Kwa wanaokula lakini mimi situmii)
 
Habari zenu humu ndani.

Binafsi naichukia sana tabia ya wadada wanaopenda kuliwa 'tigo'. Yamenitokea sikuamini!

Siku chache zilizopita niliachana na mpenzi wangu kutokana na mambo flani flani ya kibinadamu. Cha ajabu ilifikia hatua akaniambia "mwanaume gani unajua kupakua kupika hujui"!!

Sasa wakuu sielewi hii michezo kwanini wanaipenda.
Sasa huyo mpenzi wako amekufanya uamini kuwa mabinti wengi wako hivyo? Hamna kitu kibaya kama dhana mbaya kwa mja.
 
Back
Top Bottom