Kwanini wadada wengi wanapenda mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wadada wengi wanapenda mapenzi kinyume na maumbile?

Wakaka ndo wamekubuhu kwenye huu mchezo. Mko kitandani mnavinjari unasikia kitu kinakupapasa kunako 0713.Ukistuka eti anakuambia samahani nimekosea njia, ila ukinyamaza tigo hiyo imeshaliwa! Moboifrend wawili nshawamwaga kwa kupenda huu mchezo mchafu!
Duh sasa uliyenaye ni wangapi ktk msurur
 
Wakaka ndo wamekubuhu kwenye huu mchezo. Mko kitandani mnavinjari unasikia kitu kinakupapasa kunako 0713.Ukistuka eti anakuambia samahani nimekosea njia, ila ukinyamaza tigo hiyo imeshaliwa! Moboifrend wawili nshawamwaga kwa kupenda huu mchezo mchafu!
haaaa!!!mbona unasema yote?
 
Nitafanya dhambi zote za ulimwengu ila hilo la tigo kamwe sitoruhus mwanaume anifanyie hivyo,kwanza kweny mahusian yang yote sijawahai kukutan n mwanaum wa haina hiyo..yani ht siku nikaja kukutan na mtu wa ain hiyo sitoendelea nae,naon ni dhambi kubwa sana,so upaswi kutujumuisha wote,labd huyo uliyekutan nae na baadhi yao
 
Kwani huyo dada alifanya peke yake? Au una uhakika gani kuwa si mwanaume aliyemshawishi na kumuingilia kwa Mara ya kwanza? Wanaume wenzangu tuache unafiki, sisi kwa idadi kubwa ndo waanzilishi wa huo mchezo.
 
Siyo wanaume tu hata wanawake mm girl friend wangu alinishawishi et nipitie kageti kadogo , akaanza baby naomba*3 Nilisema nini?, Mara tatu anasema naomba? alafu, anaelekeza chane yangu kwenye tigo, ww sitaki hiyo njia haipitiki, akasema baby unanipenda, ni kasema ninakupenda mm na moyo wangu, akasema, katika mwili wangu kuna geti kuu na dogo je nikifunga geti kuu huwezi kupitia geti dogo nikasma nitapita dogo nacho taka nipite tu kuja kwako, akasema Leo sijisikii upite geti kuu naomba upite geti dogo hili ni special for you my darling, nilisema mm sitaki, siku hiyo alifunga geti kuu sikuingia na ckutaka kupitia geti ndogo maana gari yangu itakwaruzwa na ni mpya maana kageti kake kalikuwa kadogo kwa hiyo nikasepa,nacho sema ni kuwa siyo wanaume tu hata wanawake, wa napenda mpaka Leo ananisisitiza nipitie kageti kadogo mm cpendi na nitamuaacha
MPE elimu ya kutosha kuhus madhara ya hilo tendo. Sio kumuacha
 
Nitafanya dhambi zote za ulimwengu ila hilo la tigo kamwe sitoruhus mwanaume anifanyie hivyo,kwanza kweny mahusian yang yote sijawahai kukutan n mwanaum wa haina hiyo..yani ht siku nikaja kukutan na mtu wa ain hiyo sitoendelea nae,naon ni dhambi kubwa sana,so upaswi kutujumuisha wote,labd huyo uliyekutan nae na baadhi yao

Dada yangu unaweza kukutana na mwanaume unampenda sana sana, yaani kupita kiasi unweza tu kulegeza msimamo
 
Dada yangu unaweza kukutana na mwanaume unampenda sana sana, yaani kupita kiasi unweza tu kulegeza msimamo
Sio wote nina penda na huwa nina kipimo chang cha kupenda sio nipende hd nimkosee mung wangu nikafany kinyume na maumbile,kwanz nina kitu kinyaa na kukinai yani siwezi kwa hili,
 
Habari zenu humu ndani.

Binafsi naichukia sana tabia ya wadada wanaopenda kuliwa 'tigo'. Yamenitokea sikuamini!

Siku chache zilizopita niliachana na mpenzi wangu kutokana na mambo flani flani ya kibinadamu. Cha ajabu ilifikia hatua akaniambia "mwanaume gani unajua kupakua kupika hujui"!!

Sasa wakuu sielewi hii michezo kwanini wanaipenda.
asa siwanaume ndo walaji?
 
Mkuu kauli hiyo sio lazima iwe na maana ya kula jicho (mtandao wa 071). Inaweza kuwa unajua kula papuchi tu lakini haujui kumuandaa mwanamke kabla ya tendo yaani foreplay hakuna may be unamuumiza au unamaliza kabla yeye hatafika climax. Au mbaili haumpi huduma (kuonga) lakini unataka kula mzigo kama kawaida.
 
Angesema haujui kupakua ningeogopa kidogo, maana kupakua inaweza kuwa kupakua choo..
Tatizo wewe mawazo yako yanawaza mambo mabaya tu kwa hivyo umemuelewa tofauti.
 
Unapata wapi ujasiri wa kuita kitendo hiki kuwa ni mapenzi?
 
Back
Top Bottom