Kwanini wadada wengi hampendagi kutuunganisha Kimapenzi, sisi wakaka na rafiki zenu wa kike?

Nikajua ni wadada wa tumbo moja hawa hawanaga shida kabisa.
Anakutafutia zigo chuoni kwao huko analitongoza bila kukuambia, wikiendi anakuletea nyumbani analitelekeza kwako ujiongeze mwenyewe halafu badae analiuliza viph kaka kakwambia chochote!

Wewe unajiona kama kidume kumbe imepigwa asist moja hatari ya kisigino na dada yako lakini wewe unajiona umepiga free kick na ku-score.

Mungu awabariki sana dada zetu wa tumbo moja. kwanza tukiwa wadogo huwa mnatutunza kama mama zetu.
 
Utakuta nimekutongoza umenikataa ukasema tuwe marafiki na nikakubali, au hata sijawahi kukutongoza ila sisi Ni mabesti, una rafiki wa kike uko karibu naye kuliko mimi

nilivo karibu nae, hivyo mm kukutana nae kumtongoza inakua sio rahisi Kutokana na ugumu wa kimazingira, kwanini tukiwaomba msaada wa kutuunganisha nao kimapenzi mara nyingi hua mnatukatalia?

REAL LIFE STORY:
Kuna mdada nilichukua namba yake, tulichat vizuri tu na kupigiana simu, ila akawa ananiletea head games Na usumbufu, nkiomba tuonane (Aje ghetto) anasema yuko bize, mara aniombe hela ile Siku za mwanzo mwanzo nlivochuka namba, nikaona hapa nimeshakataliwa, sina mtu, nlivotaka kumpotezea full, nikakumbuka huyu mdada ana urafiki na mdada ambaye namuona ana shape kuliko yeye, nikasema sifuti namba yake acha awe kama mshkaji wangu, Nliendelea kuchat naye kisela badae nikamwomba aniunganishie kimapenzi na huyo rafiki yake wa kike, kwasababu mazingira ya mm kukutana na huyo rafiki yake Face to face ni magumu, nimemuahidi hadi kumpa hela nzuri kama akinisaidia hilo jambo, nashangaa nimenuniwa, sms sijibiwi tena, simu zangu hapokei tena, pamoja na kuwa nimemwahidi na kumpa hela akinisaidia kwenye hilo.

Wana-Jf wenzangu, especially dada Zangu wa humu jf, msaada tutani mtu kama huyo nimweleweje?, mbona sisi marafiki wa kiume tunapeana namba za wadada? Na tunaunganishiana Kirahisi?? Depal Kalpana Lenie Demi Cillah Numbisa Kelsea Saint Anne
Mhhhhh
 
Mimi niliwahi kumtongoza mwenzake mbele yake hivi anaona aisee huo ugomvi uliozuka hapo sio wa nchi hii, wewe nimakutongoza umakataa naanza kumsaundisha mwenzio unaanza kunimind na ugomvi juu tena sio ugomvi mdogo, unamind nini sasa kisa nimekutongoza ukakataa au kunakuaga na kanini kawivu au karoho mbaya?
Wanawake huwa hawatukatai ila wanaletaga pozi tu, atakuambia NO ila bado upo kwenye akili yake ndo walivyoumbwa. Kwahyo ukitongoza kwingine anaona kabisa anaenda kukukosa na anaona kama mwenzake atafaidi sana
 
Wanawake wana wivu sana

Hata kwenye 3some utakuta mimi kidume niko tayari demu wangu amlete shoga ake tujipigie 3some

Ila mwambie demu wako atafute mwenzake tupige huo mchezo hawakubaligi wana wivu sana hawa viumbe
 
Back
Top Bottom