Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
- Thread starter
- #41
Nenda kanisani au msikitini wapi mabikira.
Msikitini kuna mabikra??
Nenda kanisani au msikitini wapi mabikira.
Ninaye mmoja anayakuchonga na limau unamtaka
Nahisi nikikutana na Wewe sitajuta..
Ana akili sana.
Mkuu kwa hiyo wewe ni kitombi?
Jiandae basiHuweziiiii jutaaaa ma Boss mie tena
Mkuu kwa hiyo wewe ni kitombi?
Jiandae basi
Wana wa mmu.Tangu ndoa yangu ivunjike nimekuwa na juhudi kubwa za kutafuta mke hasa kwenye mitandao cha ajabu ni kwamba nakutana na watu waliokubuhu katika mapenzi,wenye watoto tiari,walioachika au wenye umri mkubwa au wenye matatizo ya kimaisha na anataka atumie mapenzi ya kuwa mke ili atatue matatizo yake,kwakweli sijawahi kukutana na bikra.Nilidhani naweza kupata mchumba mzuri kwa kukutana na watu wapya nisiowajua lakini zoezi ni GUMU KAMA CHUMA.
Mimi nna moyo wenye upendo..nasambaza upendo
njoo mtaani kwetu ujichagulie wote ni under 20 with tight mark halafu ni user friendly
Ww mwenyewe mtumba grade 3 alafu unataka brand new Mbona Hauko fair??
Du mwanamke wewe inaelekea wewe ni mcheza mdundiko,mbona maneno yako machafu namna hiyo? haya mimi mtumba njoo unichukue buree basi.
We umeita wenzako wamekubuhu Mbona inakuuma kuambiwa wewe pia ni mtumba? Kumbe ukweli mchungu
Mimi nimesema ukweli ila wewe umeongopa ndio tofauti.
We umeita wenzako wamekubuhu Mbona inakuuma kuambiwa wewe pia ni mtumba? Kumbe ukweli mchungu
Ww mwenyewe mtumba grade 3 alafu unataka brand new Mbona Hauko fair??