Kwanini mizimu pepo majini hushika watu masikini tu?

Kwanini mizimu pepo majini hushika watu masikini tu?

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
13,680
Reaction score
41,152
Kuna uhusiano gani kati ya masikini mwanake na mapepo mizimu majini na ulokole? Wanasaikolojia tusaidieni mtuhusishie hayo mambo na aina ya watu hao.

Sio rahisi kumkuta tajiri kama ameshikwa na majini au ananena kwa lugha, mbona wengi hao matajiri hawalogwi wanakufa kwa pressure kisukali moyo na ajali nk.

Wakati upande mgine kufa kwa uchawi madawa mapepo nk. Simanishi kwamba uchawi haupo upo kabisa lakini kwanini unabagua wakushika?

Screenshot_20241121-113156_WhatsAppBusiness.jpg
 
Kuna uhusiano gani kati ya masikini mwanake na mapepo mizimu majini na ulokole? wana saikolojia tusaidieni mtuhusishie hayo mambo na aina ya watu hao.

Sio rahisi kumkuta tajiri kama ameshikwa na majini au ananena kwa lugha, mbona wengi hao matajiri hawalogwi wanakufa kwa pressure kisukali moyo na ajali nk.

Wakati upande mgine kufa kwa uchawi madawa mapepo nk. Simanishi kwamba uchawi haupo upo kabisa lakini kwanini unabagua wakushika?View attachment 3157624
Kwani umeshawahi kusikia zeruzeru anajichubua?
 
Yale sio majini Ile inatwa kuchanganyikiwa hivyo ndugu zangu msijari kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake msiwe na haraka. Inasemekana mizimu na majini ndio chanzo cha umasikini kwenye familia nyingi maagano ya kishaitewani, mizimu na majini ambayo yalifungwa na wazee wao hapo kale ndio chanzo cha yote hivyo sio masikini wana majini ila umasikini ndio unabababishwa na majini, wanawake, mizimu, na mashaitwani n.k endapo tu hivyo vitu hautaishinavyo kwa akili na ukakubari vikufanye mtumwa. ASANTENI SANA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom