Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 7,811
- 10,819
So kulingana na Newton first law(f=ma), kama net force ni 0, basi hata acceleration ni 0 (cause mass haiwezi kuwa zero)
Hii ni kwa mjibu wa Classical Mechanics ambayo ina depicts gravitation as "force"
ila in reality hakuna force yoyote inayo act kwa kitu kinachoonekana kudondoka
Thus why sikutaka ili jibu la Classical Mechanics kwa sababu halipo sahihi
Gravitation sio force
Swali bado , kwanini vitu vinaonekana kudondoka
Kwa yoyote aliyenielewa
Usinge comment Mzee.....Mleta mada naona Kama bado una akili kidogo Sana ya ku argue na laws zilizochakatwa na kupitishwa na jopo la nguri wa sayansi, kama hizo "Newton law of Motion".
Nakuomba uendelee kujikinga na Covid19 tu sayansi bado u mweupe Sana hata Hilo swali tukikujibu bado hutaelewa Bali utazidi kuchanganyikiwa tu.
Naona kana nimeuliza swali la PHD kwa kundi la watoto wa Nursery
Nimetumia hio sentensi "vinaonekana kudondoka" kwasababu kiuhalisia "havidondoki" kwa maana ya kuvutwa chini ya dunia...Vitu vinaonekana kudondoka au vinadondoka?
Nimetumia hio sentensi "vinaonekana kudondoka" kwasababu kiuhalisia "havidondoki" kwa maana ya kuvutwa chini ya dunia...
Swali hili sio rahisi kama watu wanavyoliona
Ni moja kati ya maswali magumu mno kuyajibu
Newton alitupa formula ya Ku calculate Gravitation kati ya vitu viwili
(F=GM1M2/R^2)
Lakini hakutwambia chochote kuhusu Mechanism ya hii Force
Mechanism ipi inaiwezesha jua kuvuta dunia?
The famous "spooky action at distant"
So Newton alikiri mwenyewe theory yake haielezei asili ya Gravitation au nature
Aluchotupa ni Mathematical equation ambayo tunaweza kuitumia Ku calculate motion ya bodies under influence of the so called "Gravitation force"
Na ilikua accurate kwa kiasi Fulani,tatizo lilikuja iliposhindwa Ku elezea mzunguko wa sayari ya Zebaki kuzunguka jua
Einstein alipotaka Ku encapsulate accelerated motion kwenye special Relativity
Ndipo ilipo mbidi kuelezea nature ya Gravitation...
Na hapo ndipo uelewa wetu kuhusu Gravitation ulipo badilika
Once and for all
Kwa Einstein Gravitation sio tena "action at distant force" kama Newton alivyo assume anyway
Kwa Einstein Gravitation ni manifestation ya "Curved" spacetime
Na time component ya spacetime ndiyo inayofanya vitu "vionekane kudondoka"
Hili ndio lilikua swali langu "how?"
Yaani ningepata MTU aliyeelewa Gravitation (ya General Relativity) kunielezea hapo
Bahati mbaya najibiwa na watu ambao hata swali lenyewe wameshindwa kulielewa
Mkuu,unaweza kunielezea kwanini vitu vinadondoka?
Key point hapa ni "Explanation"I am Newtonian fan sababu nitaiishi maisha yangu yote down to earth na hiyo chupa in classical mechanics ukiiachia inaanguka
Usichanganye Newtonian Mechanics na General relativity
Newtonian mechanics is correct at its own merit and conditions thus Newton’s laws of motion explain gravity to particle level physics and are obeyed to a high precision for velocities much less than the velocity of light, it is useful in determine the gravitational force of things that are in velocity that is less than velocity of light like a falling apple.
While general relativity is sub atomic particle physics relates to speed of light and is the theory that formulates gravity in terms of the curvature of spacetime, Since light moves at the speed of light, it sees equal amounts of space and time curvature, so it bends twice as far as the Newtonian theory would predict, its only useful in things like determining the behaviour of the Black Hole, or the trajectory of the Mercury around the Sun which Newtonian mechanics failed to do so.
Duuh...
Kweli mfumo wa Elimu wa Tanzania ni takatakaWatu wa modern Physics wana tumia energy kubwa sana kutafta namna za kuzi pruv wrong fomular na law za mtaalam newton
Kwenye physcs ukiwasoma vizuri utagundua kua Eistain ni Negation ya Newton au unaweza sema Opposite
Mechanical Physics ni Opposite ya Modern na zile newtons law zinaenda oppsite na principle of reletivity hadi kufika kwenye time traviling zote zina pishana na law za Isaav newton
Kama unahisi hukubatiani na newton na alitoa maelezo ya uongo basi tambua wewe c wakwanza wala si wamwisho na hata Eistein kaacha theory nyingi za kupruv zile law kua ni wrong lakini hazijatoboa
Kwenye list ya binadamu walio badiri maisha ya binadamu kwa muda wote yangu dunia ianze asie nabii wa wa mungu ninyeye pekeake kwenye tatu bora kiwa na Muhammad S.A.W na Yesu massiah...
Dont mess with isaac he is more than jus a genius ndio maana kuna baadh ya makabila huko uguriki wanaamini alikua ni binadamu asie wakawaida ...
Soma vizuri principle pf releativity ilivyo eleze free fall ndio utajua kwanini newton anabaki kua newton.
Ni maneno yaleyale,moja tu lina tilia mkazo zaidi swali langu
Swali bado lipo pale pale kwanini vitu vinaonekana kudondoka?
Hapa hii formula si imetoholewa kutokea sehemu nyingine au.Nimetumia hio sentensi "vinaonekana kudondoka" kwasababu kiuhalisia "havidondoki" kwa maana ya kuvutwa chini ya dunia...
Swali hili sio rahisi kama watu wanavyoliona
Ni moja kati ya maswali magumu mno kuyajibu
Newton alitupa formula ya Ku calculate Gravitation kati ya vitu viwili
(F=GM1M2/R^2)
Lakini hakutwambia chochote kuhusu Mechanism ya hii Force
Mechanism ipi inaiwezesha jua kuvuta dunia?
The famous "spooky action at distant"
So Newton alikiri mwenyewe theory yake haielezei asili ya Gravitation au nature
Aluchotupa ni Mathematical equation ambayo tunaweza kuitumia Ku calculate motion ya bodies under influence of the so called "Gravitation force"
Na ilikua accurate kwa kiasi Fulani,tatizo lilikuja iliposhindwa Ku elezea mzunguko wa sayari ya Zebaki kuzunguka jua
Einstein alipotaka Ku encapsulate accelerated motion kwenye special Relativity
Ndipo ilipo mbidi kuelezea nature ya Gravitation...
Na hapo ndipo uelewa wetu kuhusu Gravitation ulipo badilika
Once and for all
Kwa Einstein Gravitation sio tena "action at distant force" kama Newton alivyo assume anyway
Kwa Einstein Gravitation ni manifestation ya "Curved" spacetime
Na time component ya spacetime ndiyo inayofanya vitu "vionekane kudondoka"
Hili ndio lilikua swali langu "how?"
Yaani ningepata MTU aliyeelewa Gravitation (ya General Relativity) kunielezea hapo
Bahati mbaya najibiwa na watu ambao hata swali lenyewe wameshindwa kulielewa
Sasa kitu asili yake ni kushikiliwa na ardhi , Sasa lazima kirudi kilipotokaKey point hapa ni "Explanation"
Ni true kuwa Einstein Field Equations ina reduce Newton Gravitation Equation kwa bodies ambazo masses zao sio kubwa sana
So tunaweza safely kutumia "Classical Equation ya Newton" kuelezea "their motions"
Kitu ambacho naona umeshindwa kuelewa hapa ni Physical Explanation ya Gravitation
Hapa ndipo tofauti ya Newtonian Gravity na General Relativity ilipo
Na hii Physical Explanation ya Gravity kulingana na General Relativity (Kwasababu ndio current interpretation ya Gravitation kwa sasa)
Iliyonifanya niulize ili swali
Kwanini vitu vinadondoka?
Narudia tena ili swali sio rahisi kama akitokea mtu wa kunielewa
Hili ndio tatizo..Duu ndiyo nini???
Maji yakiwa ndani ya chupa yana exert force (mg) kwenye floor ya chupa au kwa maneno mengine inaitwa reaction force R, hiyo force per unit area on the bottom surface of the bottle ndiyo pressure (pgh) rho, g, h, sasa unapoachia chupa lidondoke maana yake hiyo R =mg=ma, they are numerically equal but algebrically acts in opposite direction therefore -mg+ma=0, since, ndio maana maji yanashindwa kutoka kwenye matundu. R=0 the weightlessness phenomenon.
It is purely a classical mechanics issue.
Kushikiliwa kivipi?Sasa kitu asili yake ni kushikiliwa na ardhi , Sasa lazima kirudi kilipotoka
Sent using Jamii Forums mobile app