Mkuu mi nakujibu kupitia classical physics hyo hyo na jibu linajibika. Kinachoproduce acceleration na direction ya acceleration ni net force sio one force. Kwahyo kama hakuna force inayoact upward dhidi ya chupa means kuidrive upward basi net force itakuwa ma-mg( g= acceleration due to gravity)=mA( net acceleration). Sasa tunakuja hapo a=0 hence mA=-mg( free fall)
Comment yako ni mfano mzuri wa watu walioshindwa kabisa kuelewa swali langu
Swali ni "kwanini vitu vina appear kudondoka"?
Newton's law of gravitation haiwezi kujibu hili swali
Kwanini ?
Kwasababu haiwezi kuelezea " Gravitation " ni nini?
So inabidi I "assume" gravitation kwanza ili ijibu ili swali?
Nikiuliza kwanini "vitu vinadondoka?"
Utasema ni kwasababu ya "Gravitation pull ya dunia"?
Nikiuliza tena source ya hio "gravitation pull ya dunia" ni nini?
Utanambia ni "mass ya dunia"
Nikikwambia kivipi mass ya dunia inatengeneza hio "Gravitation pull" ?
Hapa ndipo Newton aliposahau kukujibu
Sasa kama hatuwezi kujibu "Gravitation" inatoka wapi,tuna hakika gani kuwa tunaweza kujibu "kwanini vitu vinadondoka"
Tuna hitaji complete theory inakayo tupa jibu kwanza "hio Gravitation" ni nini kabla haijaelezea "kwanini vitu vinadondoka"
Point nyingine uliyoshindwa kuielewa ni "Free falling body"
Ni mfano mzuri wa inertial frame of reference
Imagine umeshika simu yako na unadondoka kwenye ghorofa refu mno (mwendo wa siku 2 mpaka unafika chini)
Ndani ya "hio moment" hakuna "physical experiment" yoyote ile utakayo Fanya "ignore air resistance" ambayo itatofautiana na "physical experiment" hio hio itakayo fanywa na "physics lab" iliyo kwenye "outer space" ambapo hakuna force yoyote ile inayo act...
Implication ya hio "thought experiment" ni nini?
Ni Ku prove kuwa "free falling man" hana tofauti na "floating astronaut in deep space" wote hawa "experience any force" thus why wana feel "weightlessness"
Hakuna "pull" wala "acceleration"
Tunahitaji maelezo tofauti ya why kina appear kushuka chini wakati hakuna force yoyote inayoivuta
Haya sio tafiti wala maneno yangu
Ni Equivalent principle ya "General Relativity"
Kama ungeelewa points hizo usingeangaika tena na Classical mechanics
Aidha ungenijibu kwa kutumia GR au ungekaa kimya