Kwanini Vitu Vinadondoka? (Newton vs Einstein)

Kwanini Vitu Vinadondoka? (Newton vs Einstein)

Kwanini "vinaonekana" kudondoka au kwanini vinadondoka??.
Haya maneno yote yana maana sawa
Moja nimelitumia Ku avoid majibu ambayo nimesema hapo awali kuwa sio sahihi

Kuwa vitu vinadondoka kwasababu vinavutwa

Kiuhalisia hakuna chochote kinachovutwa hence hakidondoki

Sasa kuuliza hili swali kwa lugha ambayo Haito mchanganya MTU ambaye bado anatumia "Old school physics" ni kutumia hio sentensi ya "Kwanini vinaonekana kudondoka?"

Au "kwanini vinaonekana kushuka juu mpaka chini"

I hope hili swali nikiuliza "Quora" sitopata ugumu kama huu ninaoupata hapa

Kwasababu obvious wanao toa majibu Wenda hawajui chochote kuhusu General Relativity
 
Hili ndio tatizo..
Kwanini hamsomi kwanza swali kabla ya kujibu?

Hii sio issue ya Classical Mechanics

Utaona hapa maelezo yako yote yame assume uwepo wa "Gravitation force" notion ambayo sio sahihi kwasababu Gravitation sio force... Hence hakuna acceleration due to gravity
(Value "g" uliyo assume kuwa ni 9.8m/s^2 conceptually ni 0 kwa hoja hii)

Na hakika hapa namjibu MTU ambao hata General Relativity hajawahi kuisoma

Unaweza kunielezea "Equivalent Principle" kwa maneno yako?

Kweli Gravitation sio force na ili iwe force lazima u suffix neno force, na inakuwa "Gravitational force" ni sawa na useme friction sio force na ili iwe force nilazima u suffix neno force na inakuwa "frictional force".

Huna haja ya ku deal na Quantum mechanics wakati Newtonian mechanics (classical) bado ni valid na ndio maana satellites zinarushwa kila uchao na space missions zinafanywa kwa kuzingatia Newtonian mechanics.

"Vitu vinadondoka"--- kifupi sio kudondoka bali ni kuvutana na hii ni governed by the universal gravitation law, ni kwamba kitu chenye mass ndigo ndicho kinachoonekana kudondoka (kuvutwa) na kile chenye mass kubwa hakionekani kwasababu acceleration yake ni ndogo mno almost zero.

Ma=-mA, M is much greater than m and A is much greater than a.
 
We jamaa usiku wote huu unaleta hizo theorem za relativity dah nazichukia balaa enzi zile mechanics kwenye advance physics ilinifanye niachane na hiyo kitu nkahangaika na bios na chem now ndio zanipa ugali
Ni complicated sana japo zinakupa "complete" explanation ya "motion" na "Gravitation"

Tatizo nililoliona hapa ni lile lile unalolisema hapo

Zinachanganya sana,kwa mtu ambaye hajawa exposed na Special au General Relativity before na Mathematical Models zilizotumika

Anaweza kukuona wewe kama kilaza...
Kumbe the opposite is true

Swali kwanini "vitu vinaonekana kudondoka" ni gumu mno kama ukitambua Classical Mechanics haiwezi kujibu hili swali

Naamini watapatikana watu walio uelewa huu Uzi....hata kama ni mwakani
Na itakua faida kwa wengine

Kwanini vitu "vinaonekana kudondoka?"
 
Mm naona kwa sababu mawazo yako yanaona chupa itaganda basi tubaki tu na mawazo ya newton.
 
Kweli Gravitation sio force na ili iwe force lazima u suffix neno force, na inakuwa "Gravitational force" ni sawa na useme friction sio force na ili iwe force nilazima u suffix neno force na inakuwa "frictional force".

Huna haja ya ku deal na Quantum mechanics wakati Newtonian mechanics (classical) bado ni valid na ndio maana satellites zinarushwa kila uchao na space missions zinafanywa kwa kuzingatia Newtonian mechanics.

"Vitu vinadondoka"--- kifupi sio kudondoka bali ni kuvutana na hii ni governed by the universal gravitation law, ni kwamba kitu chenye mass ndigo ndicho kinachoonekana kudondoka (kuvutwa) na kile chenye mass kubwa hakionekani kwasababu acceleration yake ni ndogo mno almost zero.

MA=-ma, M is much greater than m.
Tatizo ni kwamba hujaelewa mzizi wa swali
Newton alichotupa ni Mathematical equation ambayo tunaweza kuitumia safely (bila hofu yoyote) Ku calculate trajectories of "every day objects" under influence of the so called "Gravitation force"

So ni kweli Equation ni accurate kwa kiasi Fulani kwa case rahisi kama Ku calculate escape velocity au Ku determine motions ya hizo satellites etc...

Cause Einstein field equations inakua reduced to "hio classical Equation ya newton" kwa cases kama hizo

Thus why tunaitumia....
Tuache Mathematics sasa tuje kwenye "Physical Interpretation" ya Gravitation hapa ndipo swali lilipo

Hapa ndio General Relativity ilivyo tofauti kabisa (kwa 100%) na Classical Mechanics

Classical Mechanics ya newton haijaelezea chochote kuhusu asili ya Gravitation na jinsi gani inafanya kazi

Ilichotupa ni "Formula"

General Relativity imetupa maelezo na Formula

Na Maelezo ya General Relativity ndio yamenifanya niulize hili swali hapa

Unaweza kuitumia classical Mechanics Ku calculate mda amabo kitu kitachukua kutoka chini mpaka juu na ukawa correct
(cause ni mathematics)
Hata Einstein Field Equations Unaweza kuzitumia na zikakupa jibu hilo hilo

Ila huwezi kutumia Classical Mechanics "kuelezea" kwanini sasa hicho kitu kinadondoka au kuonekana kudondoka

Kwa sababu haina maelezo na Newton mwenyewe ali "admit"

On other hand General Relativity imetupa Vyote "Explanation" na "Formula"

Classical Mechanics imetupa "Formula"

Sasa swali langu lilikua kivipi "vinaonekana kudondoka" kwa mujibu wa "GR"

Hili swali sio rahisi
 
Chukua jiwe rusha juu, litaenda juu na kurudi chini Kisha kutulia ,
Inamaa jiwe limeenda juu kwa kuapply external force lakini bila kuweka external force lisingeweza kwenda juu, kwa hiyo kila kitu kinarudi katika asili yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii karne ya 21....
Bado unatumia outdated theories za "Aristotle" kuwa vitu vinarudi chini kwa sababu ni "asili ya hivyo vitu"

Kuwa vitu "jiwe linadondoka" chini kwa sababu "chini ndio asili yake" na "ndege anapaa" kwasababu "juu ndio asili yake"

Huu upuuzi
 
Kama nimeelewa mfano wa chupa na maji........ ni kwamba ukiinyanyua na kuishikilia chupa yenye maji kisha ukaitoboa maji yataanza kutoka kwenye matundu na kwenda chini
Lakini ukiiachia tu chupa ikianza kwenda chini basi yale maji yaliokua yanatoka yanaacha kutoka..........NIMEELEWA SAHIHI?
 
Mm naona kwa sababu mawazo yako yanaona chupa itaganda basi tubaki tu na mawazo ya newton.
Haya sio mawazo yangu..
Unaweza kunielezea kwanini vitu vinaonekana kudondoka?
 
Tatizo ni kwamba hujaelewa mzizi wa swali
Newton alichotupa ni Mathematical equation ambayo tunaweza kuitumia safely (bila hofu yoyote) Ku calculate trajectories of "every day objects" under influence of the so called "Gravitation force"

So ni kweli Equation ni accurate kwa kiasi Fulani kwa case rahisi kama Ku calculate escape velocity au Ku determine motions ya hizo satellites etc...

Cause Einstein field equations inakua reduced to "hio classical Equation ya newton" kwa cases kama hizo

Thus why tunaitumia....
Tuache Mathematics sasa tuje kwenye "Physical Interpretation" ya Gravitation hapa ndipo swali lilipo

Hapa ndio General Relativity ilivyo tofauti kabisa (kwa 100%) na Classical Mechanics

Classical Mechanics ya newton haijaelezea chochote kuhusu asili ya Gravitation na jinsi gani inafanya kazi

Ilichotupa ni "Formula"

General Relativity imetupa maelezo na Formula

Na Maelezo ya General Relativity ndio yamenifanya niulize hili swali hapa

Unaweza kuitumia classical Mechanics Ku calculate mda amabo kitu kitachukua kutoka chini mpaka juu na ukawa correct
(cause ni mathematics)
Hata Einstein Field Equations Unaweza kuzitumia na zikakupa jibu hilo hilo

Ila huwezi kutumia Classical Mechanics "kuelezea" kwanini sasa hicho kitu kinadondoka au kuonekana kudondoka

Kwa sababu haina maelezo na Newton mwenyewe ali "admit"

On other hand General Relativity imetupa Vyote "Explanation" na "Formula"

Classical Mechanics imetupa "Formula"

Sasa swali langu lilikua kivipi "vinaonekana kudondoka" kwa mujibu wa "GR"

Hili swali sio rahisi

Wewe unaulizia mechanism ya gravitation ??, maana yake swali lako linafanana na unapona gari inatembea na unauliza kwanini gari hiyo inatembea (mechanism) gani inasababisha gari itembee, si ndio hivyo au sijakupata vyema???!;
 
Kwanini vitu vinadondoka?

Hili swali kwa muda mrefu nilikua nalichukulia poa (take for granted) lakini sasa nakili kuwa ni moja kati ya maswali magumu zaidi kuwahi kuulizwa na binadamu.

Ukiacha Programming kitu kingine ninachokipenda ni Modern Physics, nasoma basics tu niweze kuelezea ulimwengu ninao interact nao kila siku baada ya Computer

So nilikua naamini kabisa kuwa naweza kuelezea kwanini vitu vinadondoka? Kwanini jiwe linarudi chini ukilirusha juu?
Kwanini apple linaanguka juu ya mti?

Isaac Newton alitupa Formula sahihi(kiasi) ila maelezo ya "uongo" kuhusu kwanini vitu vinadondoka

Kwa mujibu wa Sir Isaac Newton, jiwe linadondoka kwasababu kwasababu ya nguvu ya uvutano kati yake na Dunia. nguvu hii ya uvutano ndiyo inayofanya jiwe livutwe chini kwa kasi ya mita 9.8 kwa kila sekunde ya kila sekunde (acceleration due to gravity)

Na hayo maelezo ya uongo nimekua nikiyaamini mpaka hapo juzi nilipopata nafasi ya kujifunza General Relativity. Na nilichogundua ni kuwa, siwezi tena kuelezea kwa nini jiwe au kitu chochote kinadondoka

Naamini kuna watu smart humu waliosoma General Relativity au kuielewa, wanaweza kutuelezea kwanini vitu vinaanguka..

Kwanini Newton hakua sahihi?

Newton hakua sahihi kwa sababu hii

Imagine umeshika chupa iliyojaa maji (umeinyanyua)
ukiachia hii chupa, itandondoka chini sio?

Hapana, chupa haitondondoka?

Unashangaa ulichosoma najua, yote hayo ni kwasababu wewe una IQ isiyozidi 100 so huwezi fikiria nje ya common sense

Chupa haitondoka kwasababu hakuna nguvu yoyote inayoivuta hio chupa. Ku prove hili, tutoboe matundu mawili katikati ya hio chupa
Kipindi tumeishikilia (maji yatamwagika chini kupitia yale matundu) ila tutakapo iachia maji hayatomwagika tena hata kama chupa ina matundu. so hakuna force yoyote inayovuta yale maji tena.

Kwa mjibu wa Newton first law of motion, hii chupa itaganda pale pale kwasabau kama F=ma , m=mass ya chupa ya maji , a= acceleration na F= 0 (kwasababu hakuna nguvu yoyote inayoivuta) basi a=0 (haitodondoka)
kumbuka m > 0 (chupa always ina mass)

Sasa swali linabaki kwanini hii chupa tunaiona ikishuka kutoka juu mpaka chini?
Au kwanini vitu vinaonekana kudondoka?

UPDATE:
Wazee naona kama baadhi hamjaelewa swali au lengo la huu uzi

Swali ni hili "Kwanini vitu vinadondoka?"

NOTE: usitumie classical mechanics kujibu hili swali thus why nimeanza kuonyesha hapo juu kwanini classical mechanics haiwezi kujibu swali hilo
Good thinking.

Ndio maana Theory of relativism imezidiwa nguvu na theory of everything.

More development ndio new invention based on new findings.
 
Kama nimeelewa mfano wa chupa na maji........ ni kwamba ukiinyanyua na kuishikilia chupa yenye maji kisha ukaitoboa maji yataanza kutoka kwenye matundu na kwenda chini
Lakini ukiiachia tu chupa ikianza kwenda chini basi yale maji yaliokua yanatoka yanaacha kutoka..........NIMEELEWA SAHIHI?
100% umeelewa!
Ni experiment ambayo ni rahisi kuifanya hata ukiwa nyumbani

The same na mtu ambaye yupo kwenye lift "elevator" inayoshuka chini
Kwa bahati mbaya hii cable au kama inayoshikilia hii elevator ikikatika kwa sababu yoyote ile ya kiufundi
Huyu mtu "ata feel weightless"
Ataelea ndani ya elevator pamoja ni vitu vyote vilivyopoa ndani

Kama yupo juu sana..."imagine anachukua Siku Siku mbili kutoka juu mpaka chini"
Basi experience ya huyu mtu haitokua tofauti na mtu aliye kwenye "outer space" ambayo tunajua "Hakuna Gravity"

Hapa ndipo "Principle of Equivalent" ilipokuja kama hakuna namna ya kutofautisha hizi "situations" mbili

Yaani "Weightlessness" ya mtu anayeanguka kwenye elevator na "Weightlessness" ya mtu aliye kwenye outer space ambapo hakuna Gravitation (F=0)
..
Basi hizi situations mbili ni sawa,means pote F =0

Kama F=mg na F=0 basi g=0 pia kwasababu only parameter ambayo haiwezi kuwa 0 ni mass(m)

Hii principle ndio msingi wa General Relativity
Kama Hakuna Force yoyote inayo act katika Frame of reference ya elevator

Inabidi tuje na maelezo mengine kwanini huyu tunamuona "akidondoka kutoka chini"

Na Haya maelezo ndio "New Physical interpretation ya Gravitation"
From "force" to "Curvature of spacetime"

So swali langu lilikua ni hilo kwanini vitu vinaonekana kudondoka kulingana na hii interpretation mpya ya GR...(ambayo ndio standard Interpretation kwa sasa)

Bahati mbaya sijapata jibu till now

"Kwanini vitu vinaonekana kudondoka"?
Hili swali sio jepesi kama linavyonekana

General Relativity inanambia ni " time component " ya spacetime ndiyo inayofanya vitu vionekane kudondoka
"Cause they are moving forward into the future"
Very confusing

Nilikuja hapa kupata guide kwa walisoma Relativity bahata mabaya nimejikuta nafundisha Relativity tena
 
Good thinking.

Ndio maana Theory of relativism imezidiwa nguvu na theory of everything.

More development ndio new invention based on new findings.
At least nimeona comment ya mtu tunayoweza kuelewana

Still watu wana struggle kujibu hili swali kwa kutumia "Classical Mechanics"
Ni ngumu sana kuelewana
 
Wewe unaulizia mechanism ya gravitation ??, maana yake swali lako linafanana na unapona gari inatembea na unauliza kwanini gari hiyo inatembea (mechanism) gani inasababisha gari itembee, si ndio hivyo au sijakupata vyema???!;
Hapa unaanza kunielewa mkuu
Badala ya kunipa "equations" za Ku calculate "motion" ya hili gari

Nakuuliza hili gari "linaweza vipi kutembea in the first place"

Na hapa ndipo tofauti ya Classical Mechanics na General Relativity ilipo

Classical Mechanics imetupa "Formula" ya ku calculate trajectories ya hizi bodies under influence of "Gravitation"
Lakini haija twambia "How Gravitation inaweza Ku influence hizo bodies in the first place"

Mechanism au nature ya Gravitation ni nini

Ni sawa na mfano wa Gari, unaweza kunipa "equations" lakini ukashindwa kunipa "mechanism" ya how gari linaweza "move"

General Relativity imetupa vyote
"Equation na Mechanism"

Na Mechanism yake ndio iliyonichanganya na kuja hapa kuuliza ili swali

Ni hope lijibiwe na watu walioielewa General Relativity
 
Hii karne ya 21....
Bado unatumia outdated theories za "Aristotle" kuwa vitu vinarudi chini kwa sababu ni "asili ya hivyo vitu"

Kuwa vitu "jiwe linadondoka" chini kwa sababu "chini ndio asili yake" na "ndege anapaa" kwasababu "juu ndio asili yake"

Huu upuuzi
Ndo ivyo ndege amekudesign kuruka juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechanism au nature ya Gravitation ni nini

Swali lako lilitakiwa uliweke hivyo na sio jinsi ulivyoliweka pale mwanzo.

Hata hivyo bado Einstein naye yupo kwenye nadharia; "the General theory of relativity" hiyo kwa jina jingine inaitwa "the Theory of gravitation" .
 
Swali langu nimeuliza hivi hivi tangu mwanzo

Nilichofanya ni kukupa maelezo marefu ya kitu hicho hicho

Bado hujajibu "kwanini vitu vinaonekana kudondoka?"

Halafu usitumie hii dhana potofu kuwa "Hii bado ni theory"
Most of what we know kuhusu ulimwengu tumetoa from the theories

Thus why huwa zinakuwa replaced na better theory as time goes on

Lakini hio haindoi uwezo wa "theory" Ku "explain" na "Ku predict"

General Relativity ni "theory" ila imeweza kuelezea "Oribit ya mercury" na Ku "predict" uwepo wa "Gravitational waves"

Swali bado lipo pale pale "kwanini vitu vinaonekana kudondoka?"
 
Kaa ukifahamu maji hayana shepu yanachukua shepu ya kitu kilichotumika kuhifadhia maji, Sasa wewe umeshika chupa maji lazima yatafute way out .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
100% umeelewa!
Ni experiment ambayo ni rahisi kuifanya hata ukiwa nyumbani

The same na mtu ambaye yupo kwenye lift "elevator" inayoshuka chini
Kwa bahati mbaya hii cable au kama inayoshikilia hii elevator ikikatika kwa sababu yoyote ile ya kiufundi
Huyu mtu "ata feel weightless"
Ataelea ndani ya elevator pamoja ni vitu vyote vilivyopoa ndani

Kama yupo juu sana..."imagine anachukua Siku Siku mbili kutoka juu mpaka chini"
Basi experience ya huyu mtu haitokua tofauti na mtu aliye kwenye "outer space" ambayo tunajua "Hakuna Gravity"

Hapa ndipo "Principle of Equivalent" ilipokuja kama hakuna namna ya kutofautisha hizi "situations" mbili

Yaani "Weightlessness" ya mtu anayeanguka kwenye elevator na "Weightlessness" ya mtu aliye kwenye outer space ambapo hakuna Gravitation (F=0)
..
Basi hizi situations mbili ni sawa,means pote F =0

Kama F=mg na F=0 basi g=0 pia kwasababu only parameter ambayo haiwezi kuwa 0 ni mass(m)

Hii principle ndio msingi wa General Relativity
Kama Hakuna Force yoyote inayo act katika Frame of reference ya elevator

Inabidi tuje na maelezo mengine kwanini huyu tunamuona "akidondoka kutoka chini"

Na Haya maelezo ndio "New Physical interpretation ya Gravitation"
From "force" to "Curvature of spacetime"

So swali langu lilikua ni hilo kwanini vitu vinaonekana kudondoka kulingana na hii interpretation mpya ya GR...(ambayo ndio standard Interpretation kwa sasa)

Bahati mbaya sijapata jibu till now

"Kwanini vitu vinaonekana kudondoka"?
Hili swali sio jepesi kama linavyonekana

General Relativity inanambia ni " time component " ya spacetime ndiyo inayofanya vitu vionekane kudondoka
"Cause they are moving forward into the future"
Very confusing

Nilikuja hapa kupata guide kwa walisoma Relativity bahata mabaya nimejikuta nafundisha Relativity tena
Mkuu mimi ni kilaza tu wa haya makitu niliyakimbiaga kitambo olevel

Sijawahi kuisikia hiyo theory yako na wengi wetu humu labda ndio tunaanza kuisikia............Kama ya Newton yenyewe ilituchanganya darasani itakua hii umeigusia tu hapa
Labda aje mjuzi anayielewa

Lakini......
Kama law ya Newton inasema vitu vinavutwa chini na gravity, na hii chupa ikiwa imeshikiliwa huoni kwamba ina maanisha ukitoboa chupa maji yatapata pakuvutwa na na hiyo gravity?

Na unapo iachia chupa itamaanisha sasa maji na chupa vyote vina vutwa na gravity kwenda chini.......kwa muktadha huo inamaana sasa gravity haita vuta tena maji kupita matundu ya chupa kwakuwa chupa na maji vyote sasa vinavutwa chini

Hapa twende ki layman layman kama itawezekana

Wewe unatumia hoja gani kwamba kwakuwa maji yanaacha kutoka kwenye matundu kuhalalisha hayavutwi na gravity?
Hatuwezi kuikwepa kuirejea gravity kwasababu ndio inayojulikana kwa sasa

Kwa mujibu wa Newton mvuto wa kwenda chini unategemea na uzito wa kitu mfano wa lift iwapo lift itafeli na kuanza kuvutwa kwenda chini itategemea ndani ya lift kuna nini
Kama kuna vitu vyepesi kuliko lift inamaana kadiri umbali ulivyo ndivyo hivi vitu vitaonekana vinaelea kwenye lift kwasababu lift itavutwa kwa speed kubwa kuliko vitu vyepesi
Na ikiwa ndani ya lift kuna vitu vizito kuliko lift basi vitaongeza speed ya lift kwenda chini na havitaonekana kuelea

Sioni ni wapi huu mfano wako unapingana na law ya Newton
Nisaidie kuelewa ni nini kilipaswa kutokea kwa mujibu wa mifano yako ili sasa kuthibitisha gravity ipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom