Hatuvutwi kuja chini na Gravitiy bali tunakandamizwa

Radium

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2022
Posts
491
Reaction score
872
Gravity au gravitational force tunavyojua ni kuwa ni nguvu fulani iliyo kwenye almost kila kitu chenye uzito, ambapo kwa upande wa dunia sasa ni nguvu inayovuta kila kitu kuifuata yenyewe yaani towards itself.

Sasa bana kila nikifikiria hiyo force origin yake nashindwa kuelewa. Kuna nguvu ya usumaku kwenye core ya dunia labda ndio inatuvuta kutushikilia kwenye dunia kutokana na madini ya chuma kwenye damu zetu, bado sielewi kuhusu vitu visivyo na madini hayo.

Mtu anaposhuka kwenye kina kirefu cha bahari (Mariana trench) maji yanayokuwa juu yake mtu huyo yanakuwa na uzito wa tani 8 na hufanya ashindwe kuendelea na biological activities na kupoteza maisha. Imagine tumekuekea jiwe la uzito huo.

Mimi kuna wakati nafikiri labda mkandamizo wa atmosphere uliopo juu yetu ndio ulifanya lile Apple la bwana Newton lianguke chini sio kupaa na sio eti force inayovuta vitu kuja chini.

Yaani hatuvutwi kuja chini, bali tunakandamizwa.

Ni kweli kwamba kitu kikidondoka kutoka juu like 100miles kutoka ardhini kinaanguka kwa acceleration ya 9.8m/ss. Kwa madai yangu ningesema ni kwasababu kadiri unavyoshuka kuja ardhini unaongeza tabaka la atmosphere lililo juu yako na hivyo kuongeza mkandamizo na kisha speed*(by acceleration now) na sio kwa sababu eti unaposhuka kuja ardhini na pulling force ya gravity inaongezeka.
 
Nitafute nitakujibu maswali mengi kupitia jibu moja.
Ukiielewa gravity kama alivyoelezea Albert eisntain utaacha na haya maswali ya kitoto huku wengine tushatoka tunakula bia tu!..😀
 
Hiyo theory yako inasemaje kuhusu kitu au mtu aliyekuwa kwenye SPACE
 
Gravity au gravitational force tunavyojua ni kuwa ni nguvu fulani iliyo kwenye almost kila kitu chenye uzito, ambapo kwa upande wa dunia sasa ni nguvu inayovuta kila kitu kuifuata yenyewe yaani towards itself.

Sasa bana kila nikifikiria hiyo force origin yake nashindwa kuelewa. Kuna nguvu ya usumaku kwenye core ya dunia labda ndio inatuvuta kutushikilia kwenye dunia kutokana na madini ya chuma kwenye damu zetu, bado sielewi kuhusu vitu visivyo na madini hayo.

Mtu anaposhuka kwenye kina kirefu cha bahari (Mariana trench) maji yanayokuwa juu yake mtu huyo yanakuwa na uzito wa tani 8 na hufanya ashindwe kuendelea na biological activities na kupoteza maisha. Imagine tumekuekea jiwe la uzito huo.

Mimi kuna wakati nafikiri labda mkandamizo wa atmosphere uliopo juu yetu ndio ulifanya lile Apple la bwana Newton lianguke chini sio kupaa na sio eti force inayovuta vitu kuja chini.

Yaani hatuvutwi kuja chini, bali tunakandamizwa.

Ni kweli kwamba kitu kikidondoka kutoka juu like 100miles kutoka ardhini kinaanguka kwa acceleration ya 9.8m/ss. Kwa madai yangu ningesema ni kwasababu kadiri unavyoshuka kuja ardhini unaongeza tabaka la atmosphere lililo juu yako na hivyo kuongeza mkandamizo na kisha speed*(by acceleration now) na sio kwa sababu eti unaposhuka kuja ardhini na pulling force ya gravity inaongezeka.
Unajichanganya mwenyewe! Kama unadhani tunakandamizwa na hiyo hewa iliyopo kwenye atmosphere, je hiyo hewa nayo, ni nini kinailazimisha kushuka kwenye uso wa dunia tulipo mpaka itukandamize? Jibu ni hilo hilo - GRAVITATIONAL FORCE.
Tunavutwa sote kuelekea kwenye kiini cha dunia (Earth's core).
 
mbona sasa mtu anaweza kuzama chini ya maji na akarudi juu huku hayo maji tani 8 yasimgandamize chini
Ukishuka kina cha Mariana trench huwez kupanda kwa kuogelea kwasababu ya uzito ulio juu yako. Hizo tani 8 ni kwenye kina hicho pekee.
 
Atmosphere unamaanisha hewa?

Kama ndivyo, ni nini sababu ya atmosphere hiyokuikumbatia dunia?

Ni kipi kinaikandamiza atmosphere kuendelea kuiganda dunia?
Tabaka moja la atmosphere ndilo linakandamiza tabaka jengine hivyo kuifanya iwepo. Ndio maana usawa wa bahari mkandamizo ni 100kPa na juu ya mlima Kilimanjaro ni 50kPa.
 
Ngoja tuanze kwa kutoa ufafanuzi wa maneno, ndipo mjadala uendelee...

Kandamiza/Kandamizwa/Kandamizo - Pressure
Vuta/Vutwa/Vutana - Force, hapa ndipo effect ya gravity inapoangukia

Kifizikia kuna uhusiano baina ya pressure na force, kukiwa na kiwango fulani cha force katika eneo fulani, matokeo yake huwa ni pressure...

Sasa swali ni je, tunakandamizwa au tunavutwa?
1. Kama ni kuelekea kilipo kiini cha dunia basi, jibu ni kuwa tunavutwa na sio kukandamizwa...
Ingelikuwa hakuna kuvutwa, basi zile spaceship zinaporudi duniani toka anga ya mbali zisingeweza kuingia katika tabaka la dunia kwa sababu huko zitokako (out space) hakuna kabisa mkandamizo...

2. Mkandamizo wa atmosphere husaidia kuzuia damu na fluids nyingine ndani ya mwili kutoka nje ya ngozi au vijishipa vya damu...
 
Ngoja tuanze kwa kutoa ufafanuzi wa maneno, ndipo mjadala uendelee...

Kandamiza/Kandamizwa/Kandamizo - Pressure
Vuta/Vutwa/Vutana - Force, hapa ndipo effect ya gravity inapoangukia

Kifizikia kuna uhusiano baina ya pressure na force, kukiwa na kiwango fulani cha force katika eneo fulani, matokeo yake huwa ni pressure...

Sasa swali ni je, tunakandamizwa au tunavutwa?
Kama ni kuelekea kilipo kiini cha dunia basi, jibu ni kuwa tunavutwa na sio kukandamizwa...
Ingelikuwa hakuna kuvutwa, basi zile spaceship zinaporudi duniani toka anga ya mbali zisingeweza kuingia katika tabaka la dunia kwa sababu huko zitokako l (out space) hakuna kabisa mkandamizo..
Kuvutwa namaanisha unaelekea source ya force ilipo.
Kukandamizwa inamaana force inakupeleka mbali na chanzo chake.

Kuhusu spaceship kurudi duniani huwa ni lazima wawashe kwanza chombo chenyewe ndipo waingie kwenye anga la dunia halafu baada ya hapo hata chombo kikizimwa kinashuka tu kwa pushing force na sio kwa pulling force.
 
Nitafute nitakujibu maswali mengi kupitia jibu moja.
Ukiielewa gravity kama alivyoelezea Albert eisntain utaacha na haya maswali ya kitoto huku wengine tushatoka tunakula bia tu!..[emoji3]
Mwezi ni mkubwa kabisa unaotosha ku exert gravity inayoweza kumshikilia mtu anayetua kwenye uso wake, lakini kukosekana kwa atmosphere kwenye mwezi kunafanya watu kuelea mwezini. Sasa kwanini unapinga kuwa atmosphere ndo ingemkandamiza mtu kwenye uso wa mwezi.
 
Kuvutwa namaanisha unaelekea source ya force ilipo.
Kukandamizwa inamaana force inakupeleka mbali na chanzo chake.

Kuhusu spaceship kurudi duniani huwa ni lazima wawashe kwanza chombo chenyewe ndipo waingie kwenye anga la dunia halafu baada ya hapo hata chombo kikizimwa kinashuka tu kwa pushing force na sio kwa pulling force.

Kandamiza au mkandamizo hiyo ni pressure (mkandamizo) mkuu na sio force (kani)...

Kwa sababu force ni vector, uelekeo wowote uwe kuelekea katika chanzo au mkabala, haibadilishi jina na kuwa mkandamizo...force simply ni ama push au pull towards a certain direction...

Kuhusu spaceships huwa zinavutwa na gravity na sio kusukumwa...(kama umesoma fizikia A level ya bongo) utakuwa unakumbuka namna gani calculations za trajectory zilivyokuwa zikifanyika...

Au kama umefuatilia missions za Jeff Bezos juu ya utalii wa anga, ukiplot trajectory ya kile chombo wanatumia utaona ni sawa na jiwe tu lililorushwa juu na kurejea ardhini...

Kuvutwa na gravity ndio kuanguka kwenyewe
 
Nakubali kuwa pressure sio force ila ili kuwe na pressure lazima kuwe na force. Ninaposema spaceship inasukumwa na sio kuvutwa usinikosoe kwanza kwasababu ni kweli huwa wanawasha chombo ili kuingia kwenye anga na kadiri chombo kinavyoshuka freely kinaongezeka speed na ninasema ni kwa sababu kila inch kinayopita kinaongeza tabaka la hewa juu yake ambayo ita exert push na sio pull (gravity only pulls).

Ni wazi kwamba effect yoyote inayosababishwa na pulling by gravity inaweza kuelezeka kuwa si pull bali ni pushing by atmosphere.

Kusipokuwa na atmosphere hakuna gravity sas kwànin tusiseme hakuna hyo pull bali kuna push.
 
Kandamiza au mkandamizo hiyo ni pressure (mkandamizo) mkuu na sio force (kani)...

Kwa sababu force ni vector, uelekeo wowote uwe kuelekea katika chanzo au mkabala, haibadilishi jina na kuwa mkandamizo...force simply ni ama push au pull towards a certain direction...

Kuhusu spaceships huwa zinavutwa na gravity na sio kusukumwa...(kama umesoma fizikia A level ya bongo) utakuwa unakumbuka namna gani calculations za trajectory zilivyokuwa zikifanyika...

Au kama umefuatilia missions za Jeff Bezos juu ya utalii wa anga, ukiplot trajectory ya kile chombo wanatumia utaona ni sawa na jiwe tu lililorushwa juu na kurejea ardhini...

Kuvutwa na gravity ndio kuanguka kwenyewe
Kuhusu projectile, proof inaweza kupatikana vilevile kwa kuzingatia pushing force na kupuuza pulling force(ambayo nasema haipo) kwasababu effect of action of force(pushing) is downward and magnitude is the same.
 
Gravity au gravitational force tunavyojua ni kuwa ni nguvu fulani iliyo kwenye almost kila kitu chenye uzito, ambapo kwa upande wa dunia sasa ni nguvu inayovuta kila kitu kuifuata yenyewe yaani towards itself.

Sasa bana kila nikifikiria hiyo force origin yake nashindwa kuelewa. Kuna nguvu ya usumaku kwenye core ya dunia labda ndio inatuvuta kutushikilia kwenye dunia kutokana na madini ya chuma kwenye damu zetu, bado sielewi kuhusu vitu visivyo na madini hayo.

Mtu anaposhuka kwenye kina kirefu cha bahari (Mariana trench) maji yanayokuwa juu yake mtu huyo yanakuwa na uzito wa tani 8 na hufanya ashindwe kuendelea na biological activities na kupoteza maisha. Imagine tumekuekea jiwe la uzito huo.

Mimi kuna wakati nafikiri labda mkandamizo wa atmosphere uliopo juu yetu ndio ulifanya lile Apple la bwana Newton lianguke chini sio kupaa na sio eti force inayovuta vitu kuja chini.

Yaani hatuvutwi kuja chini, bali tunakandamizwa.

Ni kweli kwamba kitu kikidondoka kutoka juu like 100miles kutoka ardhini kinaanguka kwa acceleration ya 9.8m/ss. Kwa madai yangu ningesema ni kwasababu kadiri unavyoshuka kuja ardhini unaongeza tabaka la atmosphere lililo juu yako na hivyo kuongeza mkandamizo na kisha speed*(by acceleration now) na sio kwa sababu eti unaposhuka kuja ardhini na pulling force ya gravity inaongezeka.
Kwani kinachosababisga acceleration due to gravity (g) iweze kuwepo ni nini? Ni rotational effect of the Earth. Everything under rotation possess a force (centripetal / centrifugal force) that pulls every of its point towards its center; and so everything ON it.
"g" huwa inasabishwa na mzunguko wa dunia kwenye orbit yake na hivyo is a pulling force and not a pushing force.

Bila rotation of the earh, "g" isingekuwepo na possibly tungekuwa tunaishi kwa kuelea tu huko hewani sijui wapi

Kule chini kwenye kina cha Mariana Trench kuna watu waishawahi kwenda huko na wakarudi salama. Documentary ipo youtube
 
Mwezi ni mkubwa kabisa unaotosha ku exert gravity inayoweza kumshikilia mtu anayetua kwenye uso wake, lakini kukosekana kwa atmosphere kwenye mwezi kunafanya watu kuelea mwezini. Sasa kwanini unapinga kuwa atmosphere ndo ingemkandamiza mtu kwenye uso wa mwezi.
Mkuu acha kuhangaika huku kwanza kasome nadharia ya Albert kwanza imejibu vitu vingi sana itakushangaza!.
Bado unafikiria kitoto Sana ktk ulimwengu wa sayansi hii ya anga!

Maana nikiangalia hapa tu hii theory yako haijibu majibu kama dunia inazungukaje jua! Ili uelewe gravity inatakiwa kwanza uelewe nature na behavior za space!.

Nachokiandika hapa vimeshatendewa kazi na kufanyiwa practical.. ukielewa hivyo ndo turudi kwenye theory yako
 
Kwenye space mtu anaelea tu kwasababu ni vacuum hakuna atmosphere.
Kijana hebu kaongeze upana wa maarifa kwanza ndo ulete hoja utakazoweza kuzitetea vyema.. unatudharirisha sana..😂
 
Back
Top Bottom