Kwanini vitanda vingi huwekwa pembeni mwa chumba?

Kwanini vitanda vingi huwekwa pembeni mwa chumba?

Mwanamke kulala ukutani ni njama tu, tume wa brainwash kama kinga dhidi ya wahalifu na kujihisi salama zaidi, ila ukweli ni mwanaume akitaka kwenda kuchepuka au kufanya mazungumzo siri, ni rahisi kuamka kitandani bila kumwamsha au kumbugudhi patner, kwa hiyo safari za usiku kwenda kwa Mwajuma utamu, au Asha (umeme fundi ktk simu) zinakuwa rahisi.😀😀😀😀
 
Kuweka kitanda katikati inategemea na mazoea pia, nikiweka kitanda katikati ya chumba nahisi nimelala barabarani😀
 
Mwanamke Anapenda sana enclosure from Men Yaan wanapenda ile hali men anamkumbatia bcoz kitu inaitwa Aural energy ikiflow kucompletey cycle.... Yaan ni natural
 
Kitanda - kwenye jukwaa la Mahusiano Mapenzi na Urafiki( MMU)

Sawa.
 
Vitanda kuwekwa pembeni ni kusave space tu hakuna kingine
Ni kweli. Mara nyingi ni kwa vile vyumba vyenye nafasi ndogo, lkn kwangu miye mwenye chumba kikubwa cha kulala kitanda kipo katikati kwa raha zangu hata nikitaka kwenda kujisaidia silazimiki kumruka mwenzi wangu.
 
Mwanamke kulala ukutani ni njama tu, tume wa brainwash kama kinga dhidi ya wahalifu na kujihisi salama zaidi, ila ukweli ni mwanaume akitaka kwenda kuchepuka au kufanya mazungumzo siri, ni rahisi kuamka kitandani bila kumwamsha au kumbugudhi patner, kwa hiyo safari za usiku kwenda kwa Mwajuma utamu, au Asha (umeme fundi ktk simu) zinakuwa rahisi.😀😀😀😀
Thubutu
Labda kama umelala na marehemu

[emoji252] [emoji479]
 
Ni namna ya flani ya kutojua mpangilio wa vyumba na nyumba...
Tizama nyumba nzuri zote ama hotel nzuri vitanda vimewekwa katikati ya chumba kwa style nzuri, unaweza panda kitandani kutoka upande wowote
Tutumiage hata Google tu ama TV stations kujifunza namna ya kupamba nyumba zetu

Mkuu mimi nililiona hili lakini kama pazia zako ni much transparent wakati mwengine mwanga wa jua unakupiga machoni
 
Mkuu mimi nililiona hili lakini kama pazia zako ni much transparent wakati mwengine mwanga wa jua unakupiga machoni
Basi inabidi kucustomize kulingana na chumba kilivokaa...pazia zito liweke juu ya transparent ufunge ukihitani
Umenikumbusha jua la mchana sijalala mchana in my room mudaaa sanaa
 
Ili tulale ukutani[emoji12]
 
Nimefurahi kupitia Michango yote ya WADAU walionitangulia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom