KAJOBO
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 407
- 348
Habari wana MMU?
Kwa uzoefu wangu asilimia kubwa ya nyumba nilizowahi kuingia hii ikiwemo na nyumba za kulala wageni nilikuta kitanda kikiwa pembeni mwa chumba husika.
Kwa nini vitanda haviwekwi katikati?Badala yake huwekwa pembeni mwa chumba? Pia ni kwanini wanawake mara nyingi hulala ukutani pembeni mwisho wa kitanda?
Nawaslisha