Kwanini vitanda vingi huwekwa pembeni mwa chumba?

Kwanini vitanda vingi huwekwa pembeni mwa chumba?

habar wana MMU?
Kwa uzoefu wangu asilimia kubwa ya nyumba nilizowahi kuingia hii ikiwemo na nyumba za kulala wagen nilikuta kitanda kikiwa pemben mwa chumba husika

Kwa nini vitanda haviwekwi katikati?
Badala yake huwekwa pembeni mwa chumba?
Pia ni kwa nini wanawake mara nyingi hulala ukutani [ pembeni mwisho wa kitanda]
Nawaslisha,,,,>
kwanza nimefurahi na kucheka kuona hii,ishaulizwa hii mada,majibu niliyoyasikia hiyo siku yote yana ukweli fulani ndani yake,kwanza kitanda kukaa katikati hiyo ni hulka ya sisi watu wa chini,kwakua nyumba zetu na vyumba vya kulala huwa vidogo kwaio kitanda hukaa ukutani kubana nafasi, lakini mfano mdogo kwenye mahoteli hata hapa hapa kwetu nyumbani kitanda huwekwa kati,sababu ni nafaasi kubwa, pili,kuhusu kwanini mwanamke hulala ukutani,hii sababu yake ndio iliniacha hoi zaidi, mwanamke hulala ukutani ili akiamka usiku mume ashtuke hahahhahaha
 
Ni namna ya flani ya kutojua mpangilio wa vyumba na nyumba...
Tizama nyumba nzuri zote ama hotel nzuri vitanda vimewekwa katikati ya chumba kwa style nzuri, unaweza panda kitandani kutoka upande wowote
Tutumiage hata Google tu ama TV stations kujifunza namna ya kupamba nyumba zetu

....Kwamba ni kutojua mpangilio wa vyumba siyo kweli, issue hapa ni kubana matumizi ili kuweka vitu kadhaa humo vyumbani. Kwa kuwa swali ni kwa nini vitanda vingi jibu ni simple tuu maisha ya watanzania wengi aidha wanaopanga au wenye nyumba zao tunayajua...Yaaani aweke kitanda katikati ya chumba, je kabati la nguo aweke wapi? meza ya TV aweke wapi? Redio/sub ufa aweke wapi? mabegi/masanduku ya nguo etc etc... Haya mtu amepanga ana 2 bedrooms, sebule etc kitanda ataweka katikati kweli? rooms zenyewe hizi za mita 3 kwa 3?
 
Kwa sababu ya maumbile yake
 
Chumba kimekuwa store, jiko, sebule, kila kitu kinawekwa humo hicho kitanda unakiweka katikati halafu vingine viwekwe wapi.

Maisha ya watanzania walio wengi yanajulikana.
 
kama chumba kikubwa huweki ukutani ila vyumba vidogo ukuta lazima
 
Chumba futi nane, kitanda upana futi 5, nikiweka katikati nabakisha futi 1.5 pande mbili, hazisaidii kitu ila nikibana ukutani inabaki futi 3 nzima naweza kuweka kabati.
 
Ukutani kuna Switch y'a fane, taa na kuchaji unapochat au kuwasha /kuzma fane au bulbs

Y'a Mwanamke Ukutani ntarudi [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Habari wana MMU?

Kwa uzoefu wangu asilimia kubwa ya nyumba nilizowahi kuingia hii ikiwemo na nyumba za kulala wageni nilikuta kitanda kikiwa pembeni mwa chumba husika.

Kwa nini vitanda haviwekwi katikati?Badala yake huwekwa pembeni mwa chumba? Pia ni kwanini wanawake mara nyingi hulala ukutani pembeni mwisho wa kitanda?

Nawaslisha
Mwanamke anatakiwa ukutani kwaninavyojua mm mime wake wakati anataka papuchi ssihangaike atumie mkono wa kulia ila wazee wetu wa zamani wanasema kwamba mwanamme ndiye anaye lala njian hata llikitokea tatizo lolite usiku awe faster kuamka......NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom