mabala family
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 230
- 261
Ila kumbuka one side if not two itakuwa upande wa ukuta tu na si sawa na meza ya chakula!?Sababu ni kujaribu kubakiza nafasi kubwa zaidi.
Ila nahisi hii ni common kwetu waafrika labda na waasia.
Ila kwa Wazungu na katika mahoteli makubwa mengi wanaweka vitanda katikati ya chumba then unakuta chumba kina madirisha makuubwa kwaajili ya hewa safi.
Nimeona kwenye movies nyingi za marekani wanaweka vitanda katikati ya chumba.
Sent using Jamii Forums mobile app