Kwanini vijana wengi wanakuwa ‘jobless’?

Kwanini vijana wengi wanakuwa ‘jobless’?

Kwa sasa hivi tanzania tupe ushauri tunaanzia wapi! Mkuu.. funguka tunakutegemea MAMA ANAKUSIKIA.. tupe muongozo
Ndani ya miaka 3 jinsi ya kuleta maendeleo na kumaliza tatizo la ajira nchini.

1.Ondoa futa kodi zote za kuingiza magari ya mizigo na abiria nchini kodi yake utaipata mara mbili yake kupitia indirect tax.Kwenye mafuta,leseni za udereva,fine za traffic, parking fee,ushuru wa stand,spare za magari,leseni na vibali mbalimbali.Gari moja uajiri si chini ya vijana 3.

2.Toa ruzuku kwenye viwanda vya kuzalisha matrekta wazalishe matreka mengi waje watuuzie wakulima kwa robo bei trekta moja uajiri zaidi ya watu wanne.

3.Jenga schemes za umwagaliaji KILA kijiji upitapo mto pande zote mbili watu walime mwaka mzima ni aibu sana kwa maji ya mito kumwaga maji yake baharini badala ya mashambani.Soko la mazao nje ya nchi lipo tele

4.Jenga vyuo vya ujuzi kila kata kopesha vijana ujuzi baada ya kumaliza darasa la saba wakapate ujuzi wautakao.

Kukopesha vijana waende chuo kikuu kisha warudi mtaani kuendesha bodaboda na kuwa machinga ni upotevu Mkubwa Sana wa kodi zetu na kuongeza idadi ya masikini nchini.

5.Fungua mipaka watu wauze watakapo nje ya nchi kuna masoko tele.Legeza masharti ya vibali Ili export ikue.

Ni sekta mbili tu zingine takataka hazifikii kilimo na madini kwa kuajiri vijana wote nchini na kuongeza pato la taifa bila kutegemea kukopa na kukamua kodi wananchi.

6.Peleka KILA kijiji mashine za kutengeneza interlocking block na vigae Ili watz wote wajenge nyumba bora kwa gharama nafuu kabisa.

7.Huwezi tenganisha machinga na stand,stand zote za mabus, daladala badala ya uzio kukaa bure vijengwe vibanda pande zote Ili machinga wapate pa kunadi bidhaa zao.Maana machinga utegemea abiria.

8.Sekta ya madini na kilimo pekee kama zitaboreshwa tatizo la ajira kwa vijana nchini ni historia,maana soko la mazao hayo ni unlimited.
 
Niseme tu ni tamaa ya wapigania UHURU wachache kwa maslai yao na familia ndio waliowadanganya waafrika wawafukuze wakoloni Ili wao wanufaike na familia zao, check familia zao zinavyoogelea kwenye utajiri huku waafrika wengi wakiwa fukara dhoofu hali. Mwafrika alikuwa na maisha mazuri Sana kabla ya UHURU, check mfano nchini kama zimbabwe, south africa, botswana, Namibia, nk ajira ngapi zimekufa baada ya UHURU. Waafrika ilitakiwa tuombe usawa na sio kujiendesha tumeproofu failer kabisa.
Kama tatizo dogo tu la njaa tumeshindwa limaliza nini tunaweza.
 
Ndani ya miaka 3 jinsi ya kuleta maendeleo na kumaliza tatizo la ajira nchini.

1.Ondoa futa kodi zote za kuingiza magari ya mizigo na abiria nchini kodi yake utaipata mara mbili yake kupitia indirect tax.Kwenye mafuta,leseni za udereva,fine za traffic, parking fee,ushuru wa stand,spare za magari,leseni na vibali mbalimbali.Gari moja uajiri si chini ya vijana 3.

2.Toa ruzuku kwenye viwanda vya kuzalisha matrekta wazalishe matreka mengi waje watuuzie wakulima kwa robo bei trekta moja uajiri zaidi ya watu wanne.

3.Jenga schemes za umwagaliaji KILA kijiji upitapo mto pande zote mbili watu walime mwaka mzima ni aibu sana kwa maji ya mito kumwaga maji yake baharini badala ya mashambani.Soko la mazao nje ya nchi lipo tele

4.Jenga vyuo vya ujuzi kila kata kopesha vijana ujuzi baada ya kumaliza darasa la saba wakapate ujuzi wautakao.

Kukopesha vijana waende chuo kikuu kisha warudi mtaani kuendesha bodaboda na kuwa machinga ni upotevu Mkubwa Sana wa kodi zetu na kuongeza idadi ya masikini nchini.

5.Fungua mipaka watu wauze watakapo nje ya nchi kuna masoko tele.Legeza masharti ya vibali Ili export ikue.

Ni sekta mbili tu zingine takataka hazifikii kilimo na madini kwa kuajiri vijana wote nchini na kuongeza pato la taifa bila kutegemea kukopa na kukamua kodi wananchi.

6.Peleka KILA kijiji mashine za kutengeneza interlocking block na vigae Ili watz wote wajenge nyumba bora kwa gharama nafuu kabisa.

7.Huwezi tenganisha machinga na stand,stand zote za mabus, daladala badala ya uzio kukaa bure vijengwe vibanda pande zote Ili machinga wapate pa kunadi bidhaa zao.Maana machinga utegemea abiria.

8.Sekta ya madini na kilimo pekee kama zitaboreshwa tatizo la ajira kwa vijana nchini ni historia,maana soko la mazao hayo ni unlimited.

Safi sana mkuu.. utulivu mwingi sana humo ndani mkuu
 
Niseme tu ni tamaa ya wapigania UHURU wachache kwa maslai yao na familia ndio waliowadanganya waafrika wawafukuze wakoloni Ili wao wanufaike na familia zao, check familia zao zinavyoogelea kwenye utajiri huku waafrika wengi wakiwa fukara dhoofu hali. Mwafrika alikuwa na maisha mazuri Sana kabla ya UHURU, check mfano nchini kama zimbabwe, south africa, botswana, Namibia, nk ajira ngapi zimekufa baada ya UHURU. Waafrika ilitakiwa tuombe usawa na sio kujiendesha tumeproofu failer kabisa. Check ripot ya CAG upigaji KILA sekta kuanzia juu hadi chini hapa unaweza nishawishi vipi nilipe kodi hali inaenda kuliwa.

Matumbo ya watu wachache tu yanatutesa
 
Wewe unaona bwawa la umeme halina maana? Hiii duuuh
Umeme tunaozalisha Sasa ni mwingi kuliko tunaotumia,hayo matrilioni ya kujenga bwawa la umeme yangejengwa mabwawa ya umwagiliaji nchi nzima yangekua yameshaanza kutumika na vijana wangepata ajira
 
Umeme tunaozalisha Sasa ni mwingi kuliko tunaotumia,hayo matrilioni ya kujenga bwawa la umeme yangejengwa mabwawa ya umwagiliaji nchi nzima yangekua yameshaanza kutumika na vijana wangepata ajira

Point ni kwamba pesa tunayo na hicho unachokisema na pesa ya kujenga lile bwawa pia tunayo.. ujinga ni kwamba tunajitia kama hatuna akili tu ya kusimamia miladi na kuimalizia.. ila tuna kila kitu mkuu
 
Tanzania Haina ubavu wa kujenga mradi unaoanzia walau bil 800 kwa kutegemea pesa zake
 
Tanzania Haina ubavu wa kujenga mradi unaoanzia walau bil 800 kwa kutegemea pesa zake

Kwa sababu gani? Kuu ya msingi
1) hatuna pesa
2) masikini sana
3) viongozi hawawezi kusimamia miladi
4) nipe sababu ambayo unaifikiria kwenye mawazo yako
 
Hatuna fedha hiyo,uchumi wetu hauruhusu
Kwa sababu gani? Kuu ya msingi
1) hatuna pesa
2) masikini sana
3) viongozi hawawezi kusimamia miladi
4) nipe sababu ambayo unaifikiria kwenye mawazo yako
 
Habari zenu wakuu

Kumekuwa wimbi kubwa sana la vijana wasiokuwa na kazi wala vibarua mitaani zaidi ya kufanya day-work kwa kupata pesa ya kujikimu siku mbili tatu then ikiisha wanarudi tena kijiweni kwa kuangalia tena day-work na hawajui kama hilo ni tatizo kubwa sana la maendeleo yao.

Hiyo ndio inapelekea wingi wa vibaka na wapolaji wa mtaani kuanza tabia zisizofaa kwenye jamii na wazazi/walezi wao kuwaficha wanapofanya matukio kuto onyesha ushirikiano kwa polisi jamaii mpaka kwenye serikali kuu bila ya kujua kuwa mfuga mamba umtafuna mwenyewe.

Ndio haya mambo tunayoyasikia sasa hivi mara panya road mara sijui mamwitu na mawashawasha na makundi mengine ya ovyo ovyo na kupelekea kuwapoteza vijana wao kwa kuuliwa na raia wenye hasira kali kwa vitendo vyao visivyopendeza kwenye jamii mara wizi, uporaji mpaka uuaji na ubakaji.

Kazi/vibarua zipo nyingi sana ila vijana wengi wanapenda mafanikio ya haraka hawawezi kuvumilia mpaka siku za mishahara kupelekea kumuibia boss mpaka kufukuzwa makazini wamejawa na tamaa na hawajui kubana matumizi % ya vijana wengi mtaani kwenu ukiweza kuhesabu ni wajinga wajinga sana waelevu ni wachache sana wengi wavuta masigara, mabange mpaka kuwapelekea kuwa ma-adted wa maunga mpaka kuwapelekea kuwa na muonekana mbovu kushindwa mpaka kutoweza kuanzisha familia na kuilea uzuri.

Wanasababisha maisha yao kuwa magumu wao wenyewe kwa kukosa subra, uvumilivu.

Muhimu sana kuwatafuta watu wa kuwasaidia kujitambua kama wanajiona hawatoweza kujiongoza sio mpaka waharibikiwe.

Huruma sana kwa kijana/binti ukiwa haujielewi unaonekana kabsa anguko lako “ bila hata kutumia ramli au tambiko lolote.

Uwekezaji wetu hauna uwiano kati ya vitu tunavyozalisha na vitu tunavyovihitaji!! Tungekuwa tunazalisha vitu tunavyoagiza toka nje hata kama ni TOOTHPICKS tungeweza weka akiba ya fedha za kigeni ambayo tunazitumia kuagiza na fedha hizo zikatumika kuwekeza zaidi na hivyo kuongeza ajira!! Sasa tungefanya hivyo kwa bidhaa nyingi UCHUMI wetu ungekua na vijana wetu wangepata ajira!!!
Unfortunately , tunazalisha vitu tusivyotumia na tunatumia vitu tusivyozalisha; hilo ndio tatizo letu!!!
 
M-bora sasa naona unatusimanga
Siwasimangi mkuu lakini wabongo wamezidi,unashangaa mtu anasema eti hali ngumu hata kodi hana lakini anasema kuna mwanamke ana mimba yake,imagine unawaze kusimamisha wakati hata hela ya kodi huna inaingia akilini kweli?
 
iyo ndio faraja pekee ya masikini
 
Back
Top Bottom