Kwanini vijana wengi wanakuwa ‘jobless’?

Kwanini vijana wengi wanakuwa ‘jobless’?

Ukweli 100% ni tanzania pekee unakoweza kukuta kijana hajui atakula nini jioni lakini wakati huo anawaza kula tunda kimasihara,hopeless kabisa yaani tena sisi wenye karama ya kusaidia wahitaji tunachoka yaani kila siku wenye shida wanaongezeka
Anaesaidia ajitangazi
 
Daah! Msiishie kusema kazi zipo nyingi mtaani.......Leteni hizo kazi ili kijana anaejielewa akazifanye

Msiishie kupiga Ngenga tu......mtaani ni pagumu hata kupata kazi itakayokupa pesa ya kula tu
 
Watu watakataa ila ukweli ni kwamba Siasa inayoendeshwa bongo inaaffect Maisha yao iwe direct au indirect.

Miaka 60 imagine!!! Its not too late though kubadilisha mfumo.
 
Bila kupepesa macho Sera za mwendazake zilitengeneza jobless wengi sana Kwa kisingizio cha kujenga nchi
 
Serikali makini uweka mipango bora ya watu wake kupitia kodi zao. Serikali iyofeli uacha vijana wake wanaelea elea. Hakuna mpango utoke wapi uende wapi

Maisha sio kutegemea maisha kutegemewa mkuu.. serikali ikufanyie yote hayo hao viongozi wenyewe wana watoto wao waache kuwaza watoto wao wakufikirie wewe.. khaaa
 
Yule bwana aliua uchumi,hata kazi za kubeba zege zimepotea,badala ya kujenga skimu za imwagiliaji,kaenda kujenga bwawa la umeme

Wewe unaona bwawa la umeme halina maana? Hiii duuuh
 
Huwa najiuliza hv inakuwaje Ukraine iweze kuzalisha ngano ya kuuzia nchi kadhaa Africa na yenyewe ijitosheleze kwa ngano lakini nchi yangu inashindwa hata kuzalisha ngano yake yenyewe tu hata isiuze wala kuagiza nje.

Nchi yetu ni jalala tu” hata pini tunashindwa kuzalisha
 
Maisha sio kutegemea maisha kutegemewa mkuu.. serikali ikufanyie yote hayo hao viongozi wenyewe wana watoto wao waache kuwaza watoto wao wakufikirie wewe.. khaaa
Nchi za weupe waarabu, wachina, wazungu wametengeneza mifumo ya vijana wao kufanikiwa,kufeli ni maamuzi yako binafsi.
 
"Ukweli 100% ni tanzania pekee unakoweza kukuta kijana hajui atakula nini jioni lakini wakati huo anawaza kula tunda kimasihara..."

Sahihi kabisa! Vijana wengi hawajielewi.

Inatubidi tuwasaidie kujielewa kilazima.. safari hii tutawanyoa mavumbi kwa chupa kwa ujinga huu wanaoutaka kuuleta
 
"...siwezi kwenda kukata watu mapanga kwa kusingizia serikali “ tabia zao mbaya tu na malezi mabovu..."

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] hiyo ndiyo point.

Kabsa kabsa Mkuu.. shukrani
 
Daah! Msiishie kusema kazi zipo nyingi mtaani.......Leteni hizo kazi ili kijana anaejielewa akazifanye

Msiishie kupiga Ngenga tu......mtaani ni pagumu hata kupata kazi itakayokupa pesa ya kula tu

Mkuu haupo tayari tu au ni nyie wale wakuchagua kazi
 
Watu watakataa ila ukweli ni kwamba Siasa inayoendeshwa bongo inaaffect Maisha yao iwe direct au indirect.

Miaka 60 imagine!!! Its not too late though kubadilisha mfumo.

Nzuri hii mkuu.. ni kweli kabsa
 
Bila kupepesa macho Sera za mwendazake zilitengeneza jobless wengi sana Kwa kisingizio cha kujenga nchi

Na uchumi ukapanda mpaka kati- uchumi wa kati
 
Nchi za weupe waarabu, wachina, wazungu wametengeneza mifumo ya vijana wao kufanikiwa,kufeli ni maamuzi yako binafsi.

Kwa sasa hivi tanzania tupe ushauri tunaanzia wapi! Mkuu.. funguka tunakutegemea MAMA ANAKUSIKIA.. tupe muongozo
 
Back
Top Bottom