Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,673
- 5,881
Tuna mtazamo tofauti yaani mimi hainiingii akilini et mtu anapata hamu ya mapenzi huku ana hali ngumu ya maisha,mi kwanza hali ngumu tyari kwangu ni psychological torture ,iyo ndio faraja pekee ya masikini