Kwamba ajira zipo nyingi ila vijana wana tamaa wanamuibia boss badala ya kusubiri mshahara wao ?
Either unaishi miaka hamsini iliyopita (wakati demand ya human resources ilikuwa kubwa) au haujawahi kusikia kitu kinaitwa unemployment au upo out of touch...
Sijui ni kipi ila ulichoongelea hakina uhalisia...
Hakuna kipindi hapa Tanzania vijana hawachagui kazi kama sasa..., kuna kipindi kama miaka ishirini tu iliyopita watu walikuwa wanachagua kazi mtu kwenda ualimu, uaskari, jeshi au kuwa nurse mpaka ashikiwe bakora na kulazimishwa.., Tatizo sio vijana wa sasa bali watunga sera wa sasa wameshindwa kubadilika na wakati ili kuweza kutumia hii human resources ambayo ni future time bomb
Bila shaka wali-suggest interventions kadhaa.Cooper &white 1994 walikuja na theory ya Reform, wanasema bijana wanaathiriwa na mazingira wanayo ishi sambamba na malezi vitu ivi vinawasababisha kuwa na tabia isiyofaa ktk jamii
Sasa cooper na whites wanasema pia ni jukumu la jamii i kuja na interventions zitakazo wabadilisha hawa vijana ili wawe vijana wenye tija ktk jamii yao
Jamaa wanakunywa tu chochote kilichopo mbele yao...wanaita fursaJamaa ana mrija si anakunywa mikojo huyo
Mkumbushe Mwanao kuwa Njia yake ikishanyooka Asithubutu kuwanyooshea vidole ambao Njia zao bado zina KONA.Habari zenu wakuu
Kumekuwa wimbi kubwa sana la vijana wasiokuwa na kazi wala vibarua mitaani zaidi ya kufanya day-work kwa kupata pesa ya kujikimu siku mbili tatu then ikiisha wanarudi tena kijiweni kwa kuangalia tena day-work na hawajui kama hilo ni tatizo kubwa sana la maendeleo yao.
Hiyo ndio inapelekea wingi wa vibaka na wapolaji wa mtaani kuanza tabia zisizofaa kwenye jamii na wazazi/walezi wao kuwaficha wanapofanya matukio kuto onyesha ushirikiano kwa polisi jamaii mpaka kwenye serikali kuu bila ya kujua kuwa mfuga mamba umtafuna mwenyewe.
Ndio haya mambo tunayoyasikia sasa hivi mara panya road mara sijui mamwitu na mawashawasha na makundi mengine ya ovyo ovyo na kupelekea kuwapoteza vijana wao kwa kuuliwa na raia wenye hasira kali kwa vitendo vyao visivyopendeza kwenye jamii mara wizi, uporaji mpaka uuaji na ubakaji.
Kazi/vibarua zipo nyingi sana ila vijana wengi wanapenda mafanikio ya haraka hawawezi kuvumilia mpaka siku za mishahara kupelekea kumuibia boss mpaka kufukuzwa makazini wamejawa na tamaa na hawajui kubana matumizi % ya vijana wengi mtaani kwenu ukiweza kuhesabu ni wajinga wajinga sana waelevu ni wachache sana wengi wavuta masigara, mabange mpaka kuwapelekea kuwa ma-adted wa maunga mpaka kuwapelekea kuwa na muonekana mbovu kushindwa mpaka kutoweza kuanzisha familia na kuilea uzuri.
Wanasababisha maisha yao kuwa magumu wao wenyewe kwa kukosa subra, uvumilivu.
Muhimu sana kuwatafuta watu wa kuwasaidia kujitambua kama wanajiona hawatoweza kujiongoza sio mpaka waharibikiwe.
Huruma sana kwa kijana/binti ukiwa haujielewi unaonekana kabsa anguko lako “ bila hata kutumia ramli au tambiko lolote.
Ni kujidanganya kama taifa kudhani kwamba kujiajiri ni rahisi, self employed / business inahitaji zaidi ya knowledge discipline na kutokukata tamaa jambo ambalo ni wachache wanalo, ndio maana wachache wanacreate employment kwa wengine (jambo ambalo kwa karne ya sasa linazidi kuwa gumu sababu labor force haiitajiki kama hapo awali kutokana na technology).., Fanya research kidogo tu utagundua kwamba a good number of business startups zinafail within first year...Tujiajiri basi mkuu kama hajira hakuna
Ni kujidanganya kama taifa kudhani kwamba kujiajiri ni rahisi, self employed / business inahitaji zaidi ya knowledge discipline na kutokukata tamaa jambo ambalo ni wachache wanalo, ndio maana wachache wanacreate employment kwa wengine (jambo ambalo kwa karne ya sasa linazidi kuwa gumu sababu labor force haiitajiki kama hapo awali kutokana na technology).., Fanya research kidogo tu utagundua kwamba a good number of business startups zinafail within first year...
Na hapo kwa Bongo bado biashara hazijawa saturated pale yatakapokuja ma-giants na ma-corporations hali itazidi kuwa tete (competition itaendelea kuwa stiff) hivyo kupelekea watu wengi zaidi kuchanganyikiwa na kuwa na mastress yasiyoisha...,
Watunga Sera wanahitaji to do better than what they are doing especially kwa nchi yenye vyanzo kama hii, na sio kumuachia kila mtu kivyake au kutegemea Hisani za Wamerakani.... (wakati nao wana matatizo yao)
Ukweli 100% ni tanzania pekee unakoweza kukuta kijana hajui atakula nini jioni lakini wakati huo anawaza kula tunda kimasihara,hopeless kabisa yaani tena sisi wenye karama ya kusaidia wahitaji tunachoka yaani kila siku wenye shida wanaongezeka
Kwamba ni wauza karanga wangapi wanaweza ku-sustain maisha yao na kubaki na disposable income ? Na unaongelea wauza karanga wapi wenye mashamba kule kijijini ambao wateja sometimes ni wa kubahatisha na wakija walanguzi wanachukua mzigo kwa bei hafifu pesa ambayo haimalizi mwaka..Bro uza hata karanga usitake uanzie na mtaji wa mill-200
Dah!..Na uwakumbushe wapunguze mabenge na maunga kwa kuzisingizia stress kumbe wanachanganywa na mapenzi ya ovyo ovyo
🤣🤣🤣Ukweli 100% ni tanzania pekee unakoweza kukuta kijana hajui atakula nini jioni lakini wakati huo anawaza kula tunda kimasihara,hopeless kabisa yaani tena sisi wenye karama ya kusaidia wahitaji tunachoka yaani kila siku wenye shida wanaongezeka
Kashone na wewe kama ni kazi rahisi,kijana kumbatia sana kazi uliyonayo isije kukutoroka mtaani maisha ni magumu watu wanaishi kwa mkateMkuu sio mpaka ukae bungeni kama hao unawaowaona mkuu.. bakharesa alianza kushona viatu tu mkuu.. usijidharau