Ngoja waje...ila sidhani kama wanapenda kuwa majobless
Yeah,sureWasituue sisi basi kajamba nani! Sisi kama wao tu
Mifano ya kipuuzi hii.Mkuu sio mpaka ukae bungeni kama hao unawaowaona mkuu.. bakharesa alianza kushona viatu tu mkuu.. usijidharau
Cooper &white 1994 walikuja na theory ya Reform, wanasema bijana wanaathiriwa na mazingira wanayo ishi sambamba na malezi vitu ivi vinawasababisha kuwa na tabia isiyofaa ktk jamii
Sasa cooper na whites wanasema pia ni jukumu la jamii i kuja na interventions zitakazo wabadilisha hawa vijana ili wawe vijana wenye tija ktk jamii yao