UdsmTaasisi gn
UdsmTaasisi gn
Nafasi 800 si mchezoWashushe mkeka wa CDOs hata page 50 hivi
Mkuu upo? umeadimika sana, bila shaka unasongesha majukumu ipasavyoHabari zenu wapendwa katika bwana
usijari zamu yako itafikaAlipata jamaa
Ramd ni idara ya kutunza nyaraka za serikali...nsi Nadhani ni chuo kipo moroIT apewe maua yake...
Kumbe kuna taasisi zinaitwa RAMD, NSI. sikuwa nazifahamu.
Chuo cha sukariRamd ni idara ya kutunza nyaraka za serikali...nsi Nadhani ni chuo kipo moro
" National sugar institute " hahaaaaa nyieee ,chuo cha taifa cha sukari
Manina ,sisi tunataka chuo cha taifa cha asali ,
Please utumishi mtuelewe
" National sugar institute " hahaaaaa nyieee ,chuo cha taifa cha sukari
Manina ,sisi tunataka chuo cha taifa cha asali ,
Please utumishi mtuelewe
Mpe Hongera....Akawe Mtumishi mwema katika majukumu yake ya kazi......Dah kuna jamaa ang kapata kakaa databse zaidi ya mwaka
Kila la heri...Ukawe mtumishi mwema mkuuNamshukuru Mungu sana, hatimaye namimi leo nimelamba asali, tuendelee kumuomba Mungu.
Nitazidi kuwaombea ndugu zangu na nyie mpate ajira mi baada ya kusubiria kwa mda mrefu sasa ni zamu yangu ya kuingia kwenye kula keki ya taifa.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app