HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu Kuna ambao Tulofanya Foreign Service January wakaita wachache Kati ya waliofika final Juzi tumeona nafasi mpya la nafasi zile zile zimetangazwa ila wakaondoa Tangazo. Ukiingia status imeandika SELECTED FOR ORAL ya kijani halafu yanayofata n meusi .
Je hapo kuja database au kitaendelea kuturamba...
 
" National sugar institute " hahaaaaa nyieee ,chuo cha taifa cha sukari
Manina ,sisi tunataka chuo cha taifa cha asali ,
Please utumishi mtuelewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Namshukuru Mungu sana, hatimaye namimi leo nimelamba asali, tuendelee kumuomba Mungu.

Nitazidi kuwaombea ndugu zangu na nyie mpate ajira mi baada ya kusubiria kwa mda mrefu sasa ni zamu yangu ya kuingia kwenye kula keki ya taifa.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hongera sana kwako... Ukawe mtumishi mwema
 
Back
Top Bottom