Mwamba rinyungu
Senior Member
- Nov 4, 2022
- 195
- 525
Hongera sana mwamba.Namshukuru Mungu sana, hatimaye namimi leo nimelamba asali, tuendelee kumuomba Mungu.
Nitazidi kuwaombea ndugu zangu na nyie mpate ajira mi baada ya kusubiria kwa mda mrefu sasa ni zamu yangu ya kuingia kwenye kula keki ya taifa.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app