Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nawashukuru sana, wakati wa Mungu ni sahihi kabisa, mi nilifanya oral mwezi wa pili mwaka huu zile nafasi za mda na lga, status both selected for oral interview, kitaani tangu mwaka 2009, kwahyo msikate tamaa ndugu zangu, maombi yenu kwa Mungu anayasikia na muda ukifika utapokea kilicho sahihi.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hapo umemaanisha 2009 au ni 2019? Yaani nimekusudia kuuliza umesaka ajira kwa miaka 14 au 4?
 
DUCE inakatisha tamaa. Tangia January Oral wakati watu wa June wanaitwa
😄😄😄 Alafu ukipiga simu kuuliza wanasema hakuna usaili uliokaa miezi tisa bila matokeo ya oral kutoka ukiona watu wameitwa baada ya miezi tisa ujue ni watu wa database. Sasa sijui jamaa wamepoteza matokeo au wameifuta. PSRS tunawakubali lkn kuna vitu wanazingua vya ajabuuuuuuu.
 
Kama wamefuta watuambie hata kwa sms
 
Nawashukuru sana, wakati wa Mungu ni sahihi kabisa, mi nilifanya oral mwezi wa pili mwaka huu zile nafasi za mda na lga, status both selected for oral interview, kitaani tangu mwaka 2009, kwahyo msikate tamaa ndugu zangu, maombi yenu kwa Mungu anayasikia na muda ukifika utapokea kilicho sahihi.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Duh, hongera sana.. umepambana kweli kweli tangu 2009 sio mchezo

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Namshukuru Mungu sana, hatimaye namimi leo nimelamba asali, tuendelee kumuomba Mungu.

Nitazidi kuwaombea ndugu zangu na nyie mpate ajira mi baada ya kusubiria kwa mda mrefu sasa ni zamu yangu ya kuingia kwenye kula keki ya taifa.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app

Hongera sana kaka,

Hakika ni habari njema kabisa, nakutakia kila la kheri ktk maisha yako mapya ya Utumishi wa umma.
Furahia taarifa hii pamoja na ndugu na jamaa zako wa karibu. Pia, kumbuka kutoa Shukurani kwa hatua hiyo uliyofikia.
Namshukuru Mungu sana, hatimaye namimi leo nimelamba asali, tuendelee kumuomba Mungu.

Nitazidi kuwaombea ndugu zangu na nyie mpate ajira mi baada ya kusubiria kwa mda mrefu sasa ni zamu yangu ya kuingia kwenye kula keki ya taifa.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Wakuu Kuna ambao Tulofanya Foreign Service January wakaita wachache Kati ya waliofika final Juzi tumeona nafasi mpya la nafasi zile zile zimetangazwa ila wakaondoa Tangazo. Ukiingia status imeandika SELECTED FOR ORAL ya kijani halafu yanayofata n meusi .
Je hapo kuja database au kitaendelea kuturamba...

Andaa suti na nauli mkuu ya kufata barua ya kazi.
 
Mkuu naomba unieleweshe.... mtu amefanya oral na hajapata placement mpaka leo, ila account yake ya ajira portal inasoma "SELECTED FOR ORAL", je huyu anapaswa aendelee kusuburi au ndo imeisha hiyo.?
Hizi status muda mwingine hazina maana mnamo mwaka 2019 nilifnya interview nikafanikiwa KWENDA oral,nikapiga Pepa nafasi zilikuwa 52 na sikupata,ila status mpaka Leo 2023 imeandika selected for oral
 
Nathani ni kwa sababu hakukuwa na mfumo wa database kwa kipindi hicho
 
Back
Top Bottom