zoga
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 780
- 1,532
Hawa watu data base yao ni kuzidi kusogea mbele za Mungu neema ikushukie baada ya kutoka oral....Awe mpole mpaka mwezi Feb 2024 database ndio ina expire.
Kuna taasisi week iliyopita ilitoa watu database 50+ mara ya mwisho interview ilikuwa mwaka 2021 tena nafasi moja tu....
Naona Kuna mabadiliko wamefanya aliyokuwa anayazungumza N/Waziri maana wakandwaji miaka ya nyuma walipita kwenye kaa la moto kali sana Lakini Mungu ni mwema,
N/waziri Kikwete&PSRS wanawapa haki zao za Utumishi wa Umma ....
Tusichoke Kuomba kila siku