Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,195
- 5,486
Basi watoe mikeka yote na Data base yote tumalize biashara ,uanze huo mfumoHuku kutoka mikeka mfululizo napo sio bure, Ukimsikiliza vizuri msajili wa hazina anavyosema kuwa wanataka kuwaachia makampuni ya Umma kujiendesha bila ya kuingiliwa na Serikali! Napata mashaka muda si mrefu Taasisi zinazojitegemea kwa mapato zitarudi kuendesha saili kama mwanzo..
Kutolea mfano wa Vyuo vikuu, hii ni Greenlight huenda vyuo vikuu vikaanza kuendesha saili kama ilivyokuwa zamani..
Tuendelee na maombi..
wao sasa , ijulikanee moja .Kuliko hivi watu hawaelewi kipi ni kipi .