Wansakieki
Senior Member
- Mar 23, 2023
- 182
- 656
Aise we acha tu.so sad champ
Advertisement zimestop,
Katibu kawekwa pembeni,
Placements zinamiminika.
Ngoja tuone their next move.
Aise we acha tu.so sad champ
Update address yako mkuu.Habari naomba msaada inakuaje mtu anapangiwa Kufanya usaili dar au dodoma Yan unatakiwa ufanye nn ili upelekwe mahali unapoona patakua rahisi kwako? Pls nimeitwa hizo za Tanroads dar na mm Niko dodoma now nifanyeje?
kumbe walijitakia wenyewe 🤣 🤣Waliotaka taasisi ziwe zina ajiri zenyewe mmeoana wanachokifanya TRA kwa sasa..miezi miwili tangu deadline Lakini bado watu hawajaitwa kwenye interview.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww nenda kafanye usaili mengine yatafuat bdyHabari naomba msaada inakuaje mtu anapangiwa Kufanya usaili dar au dodoma Yan unatakiwa ufanye nn ili upelekwe mahali unapoona patakua rahisi kwako? Pls nimeitwa hizo za Tanroads dar na mm Niko dodoma now nifanyeje?
Kwamba kazi ya PSRS imeishaa?Aise we acha tu.
Advertisement zimestop,
Katibu kawekwa pembeni,
Placements zinamiminika.
Ngoja tuone their next move.
Maisha ni hesabu na kuishi tunaishi leo, Wengi wanaopenda Serikali ni waoga wa Changamoto lakini pia wengi wao hawaingii kwa malengo ya kuwajibika, inshort serikalini maisha ni marahisi, uwe mzembe, mvivu, utumie muda wa muajiri kwa issue zako nyengine ndiyo mambo ambayo wengi wanapenda tofauti na Sekta binafsi na Asasi za kiraia, Sekta binafsi na asasi za kiraia zimeajiri watu wengi kuliko serikali, Serikali ya sasa Msukumo wake ni kusaidia sekta binafsi ikiamini sekta binafsi ikiimarika itaisaidia serikali kwa mambo mengi kama kukuza uchumi na kuzalisha Ajira. Sekta binafsi unalipwa kulingana na unachozalisha au thamani unayoleta kwenye taasisi husika, juhudi, maarifa, ubunifu na uchapakazi wako ndio karata yako pekee ya kukufanya u survive kwenye sekta binafsi wakati serikalini ni utiifu kwa mamlaka na ujanja ujanja ndo utakufanya u survive, Mshahara unaoupata sasa hivi utakupa NSSF ambayo mtu wa serikalini ili akufikie itamhitaji miaka 6 hadi 10, Sekta binafsi unaweza kupata kazi ambayo kodi ya mapato unayokatwa kuna mtu yeye ndo analipwa mshahara. Hiyo 700k ya Halmashauri kuna watu ni Kodi wanayokatwa, kuna watu hiyo ni pesa ya mafuta au communication tu lakini serikalini inakuhitaji miaka 5 hadi 10 kuja kufikia channels zenye pesa nzuri. Maisha ni Hesabu, wapo watu maisha yao yote ya utafutaji ni Sekta binafsi, wapo waliojiajiri, wapo waliamua kuwa watumishi wa Umma. Ila ningekuwa mimi nimevaa viatu vyako katu nisingerudi kwenye 700k nikaacha 2m+ who knows unaishi leo, Job Security una assurance gani ya kuishi hadi miaka 60? Una makubaliano na Mungu kuwa hicho kibarua cha serikalini hakitaota nyasi? Hautasimamishwa? Rais Akibadikilika Je? Huwa ni kujipa uzembe usio na tija kwa kigez
Ni kweli hakika, Paye ya USD 1100 ni almost 505k which is gvt net salaryMaisha ni hesabu na kuishi tunaishi leo, Wengi wanaopenda Serikali ni waoga wa Changamoto lakini pia wengi wao hawaingii kwa malengo ya kuwajibika, inshort serikalini maisha ni marahisi, uwe mzembe, mvivu, utumie muda wa muajiri kwa issue zako nyengine ndiyo mambo ambayo wengi wanapenda tofauti na Sekta binafsi na Asasi za kiraia, Sekta binafsi na asasi za kiraia zimeajiri watu wengi kuliko serikali, Serikali ya sasa Msukumo wake ni kusaidia sekta binafsi ikiamini sekta binafsi ikiimarika itaisaidia serikali kwa mambo mengi kama kukuza uchumi na kuzalisha Ajira. Sekta binafsi unalipwa kulingana na unachozalisha au thamani unayoleta kwenye taasisi husika, juhudi, maarifa, ubunifu na uchapakazi wako ndio karata yako pekee ya kukufanya u survive kwenye sekta binafsi wakati serikalini ni utiifu kwa mamlaka na ujanja ujanja ndo utakufanya u survive, Mshahara unaoupata sasa hivi utakupa NSSF ambayo mtu wa serikalini ili akufikie itamhitaji miaka 6 hadi 10, Sekta binafsi unaweza kupata kazi ambayo kodi ya mapato unayokatwa kuna mtu yeye ndo analipwa mshahara. Hiyo 700k ya Halmashauri kuna watu ni Kodi wanayokatwa, kuna watu hiyo ni pesa ya mafuta au communication tu lakini serikalini inakuhitaji miaka 5 hadi 10 kuja kufikia channels zenye pesa nzuri. Maisha ni Hesabu, wapo watu maisha yao yote ya utafutaji ni Sekta binafsi, wapo waliojiajiri, wapo waliamua kuwa watumishi wa Umma. Ila ningekuwa mimi nimevaa viatu vyako katu nisingerudi kwenye 700k nikaacha 2m+ who knows unaishi leo, Job Security una assurance gani ya kuishi hadi miaka 60? Una makubaliano na Mungu kuwa hicho kibarua cha serikalini hakitaota nyasi? Hautasimamishwa? Rais Akibadikilika Je? Huwa ni kujipa uzembe usio na tija kwa kigezo cha Job Security unaishi leo hujui kama kesho utaamka. Fikiri kwa busara na hekima
Ni kweli hakika, Paye ya USD 1100 ni almost 505k which is gvt net salary
Tuendelee kujiuliza kwa pamoja afu washaingia mwezi wa 7😂Aisee mbona zile post za MDA and LGA za mwezi wa sita wametoa placement kidogo sana hivyo aisee , kuna fani nyingi wameita mtu mmoja au wawili ,Wtf is this ? ,
Kwa hizi Pdf za placements zinavyomiminika hata mimi sasa naanza kupata wasiwasi
UZI KUTOKA KWANN UTUMISHI WANACHELEWESHA KUWAPANGIA WATU VITUO, HADI LEVEL YA DUUH MBONA PLACEMENT DOUBLE DOUBLE MPKA NAOGOPA ,NA KUWANA WASI WASI🤣🤣. BOSS USIOGOPE HAO PSPRS WANAFANYA HIVYO MAKUSUDI KUWACHONGEA TRA KWA MAMA.... KUWA MBONA INAWEZEKANA WAO WAMEJITOA ILI WAPITISHE WATU WAO
hizi post zinaumiza zinaumiza sana watu vichwa.itabidi psrs waweke kambi kwenye hizo post aiseeAisee mbona zile post za MDA and LGA za mwezi wa sita wametoa placement kidogo sana hivyo aisee , kuna fani nyingi wameita mtu mmoja au wawili ,Wtf is this ? ,
hii ni zaidi ya active aisee.watu wako atention kulamba asali.Kuna pdf huko lingine mkachungulie
InashangazaTuendelee kujiuliza kwa pamoja afu washaingia mwezi wa 7😂
Vipi Kwa upande wako mkuuOya wakuu mikeka iteme kwa kasi mungu saidia wote walioingia oral wapate
15% ya basicKwan sisi tulosomeshwa na bodi wanakata shingap Kwa mwezi wakuu
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app