El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,079
- 6,508
aliyemshauri raisi atakua ndio huyohuyo mchechuko aliyekua jipu la magufuli 🤣 🤣Wasio na ajira Waombe Mungu wapate mapema kinyume na hapo baada ya mwaka huu halafu utaratibu huu ukaanza na kupewa baraka ni lazima wengi watalimia meno kabisa!
PSRS wana mapungu yao kama taasisi lakini ukifanya utafiti utagundua kuwa rushwa na upendeleo umepungua sana sana katika upatikqnaji wa ajira kwenye kila taasisi bila kujuana na bila upendeleo zaidi ya kuomba Mungu na kufaulu mitihani yao….
Mimi nina watu wa karibu zaidi ya wawili waliopata kazi TRA kupitia utumishi na wala hatuna watu tunawajua uko TRA au utumishi!
Hivi ni nani kampa Rais wazo la kuwapa taasisi power tena ya kuajiri wenyewe? Kwanini utumishi wasiongezewe nguvu na kusaidiwa? Mimi bado naamini kuna watu hutoa ushauri mbaya sana na huu ni mmoja wapo
Kama wanachelwesha majibu kwanini wasiwezeshwe na wqkapewa kila rasilimali?