Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Je unajuaje ni Kitenge? Yawezekana ni katibu mwingine. Ilitia mashaka baada ya picha yake kuondolewa kwenye tovuti!! Ngoja tusubiri picha ya katibu ili tujue kinachoendelea!! Kuna picha moja alionekana kwenye tovuti wakaandika "aliyekuwa katibu wa Sekretarieti.....". Hapo wengi wakaamini Kitenge amekandwa kimyakimya!!
Kitenge amestaafu. Hayupo tena PSRS
 
Sio pressure aisee

TRA
TFS
TANROAD

wameanza kuajiri wenyewe wengine wanafuata nafikri Serikali inataka taasisi zijitegemee.

PSRS wana mapungufu yao ila wamefanikiwa sana especially ngwe hii ya mwisho.
Wasio na ajira Waombe Mungu wapate mapema kinyume na hapo baada ya mwaka huu halafu utaratibu huu ukaanza na kupewa baraka ni lazima wengi watalimia meno kabisa!

PSRS wana mapungu yao kama taasisi lakini ukifanya utafiti utagundua kuwa rushwa na upendeleo umepungua sana sana katika upatikqnaji wa ajira kwenye kila taasisi bila kujuana na bila upendeleo zaidi ya kuomba Mungu na kufaulu mitihani yao….

Mimi nina watu wa karibu zaidi ya wawili waliopata kazi TRA kupitia utumishi na wala hatuna watu tunawajua uko TRA au utumishi!

Hivi ni nani kampa Rais wazo la kuwapa taasisi power tena ya kuajiri wenyewe? Kwanini utumishi wasiongezewe nguvu na kusaidiwa? Mimi bado naamini kuna watu hutoa ushauri mbaya sana na huu ni mmoja wapo

Kama wanachelwesha majibu kwanini wasiwezeshwe na wqkapewa kila rasilimali?
 
aliyemshauri raisi atakua ndio huyohuyo mchechuko aliyekua jipu la magufuli 🤣 🤣
 
Ukisikiliza vizuri hiyo video lengo ni zuri isipokuwa namna saili zitavyoendeshwa inatia shaka kulingana na mambo yalivyokuwa huko nyuma. Bado naona kuna faida zaidi ajira zikiwa CENTRALIZED.
Hili inabidi lipigiwe kelele Sana kwa mfululizo, vinginevyo ni vigumu kutoboa! Watu hawana aibu!! Kwa mfano unawezaje kumtaka mtu aombe ajira na deadline ni siku tatu tu halafu hutaki atumie email!
 
kwa s
Ukisikiliza vizuri hiyo video lengo ni zuri isipokuwa namna saili zitavyoendeshwa inatia shaka kulingana na mambo yalivyokuwa huko nyuma. Bado naona kuna faida zaidi ajira zikiwa CENTRALIZED.
kwa situation ya ajira ilivyo sasa hivi usitegemee haki itatendeka kwa hiyo system wanayotaka kufanya ndugu yangu.waache tu hii system ya PSRS maana imeshaonesha matumaini kwa vijana wengi wasiokua na ajira
 
Hongereni mnaoendelea kulamba Asali, mkawe watumishi wema.

Nimeona MSD wamechukua Database akiwemo classmate wangu wa Advance.

Through back those days, nilitamani sana kuingia MSD ila sikupata pa kuingilia, kuna wakati nilikuwa choka mbaya na jua la kitaa niliwahi kumtext DG wa MSD(alikiwa Laurean Rugambwa) kwenye DM ya Twitter ila hakunijibu. Niliuvaa ujasiri wa kumfungukia ili nipate hata pa kujitolea.

Baadae alikuja kutumbuliwa na kuwekwa yule mjeshi(Mhindize) hadi hapo matumaini ya kujibiwa DM yakayeyuka.

Joto la kitaa likishakolea huwa tunawaza mambo mengi sana ili tuweze kujinasua.

Wote mnaoendelea kupambana, msichoke ipo siku itakuwa historia, nyakati za aina zote(ngumu na furaha) huwa zinapita ila ni kutokana na juhudi ufakazoziweka ili kubadili hizo nyakati.
 
Ili kwa jobless wote humu tulipinge, PSRS waachiwe mchakato mzima wa uendashaji wa Ajira, mapungufu kwel wanayo hakuna sehemu palipokamilika asilimia 100% Ila angalau kwa PSRS yanarekebishika, Huku kuna haki na usawa, ukweli na uwazi, hili wanalilitaka hao wa uko juu ni Janja Janja Tu wanapigia Debe wapatishe mambo Yao uko watu wao wanaowajua, Ninaimani kubwa Sana na PSRS unapata Ajira kihalali
 
Watuache na PSRS wenzetu tu kwa sisi watoto wa Masikini kama Taasisi zitaanza kuajiri zenyewe... Tusahau kupata ajira Nepotism itakuwa ni kubwa bila connection huna chako... binafsi ni jobless ila Kazi ya PSRS naiona inaMatumaini kabisa.... mfano mzuri TRA juzi tu walitoa nafasi lakin mpaka leo watu hawajui kama wameitwa interview au vp haieleweki
 
Huku kutoka mikeka mfululizo napo sio bure, Ukimsikiliza vizuri msajili wa hazina anavyosema kuwa wanataka kuwaachia makampuni ya Umma kujiendesha bila ya kuingiliwa na Serikali! Napata mashaka muda si mrefu Taasisi zinazojitegemea kwa mapato zitarudi kuendesha saili kama mwanzo..

Kutolea mfano wa Vyuo vikuu, hii ni Greenlight huenda vyuo vikuu vikaanza kuendesha saili kama ilivyokuwa zamani..

Tuendelee na maombi..
 
Basi watoe mikeka yote na Data base yote tumalize biashara ,uanze huo mfumo
wao sasa , ijulikanee moja .Kuliko hivi watu hawaelewi kipi ni kipi .
 
Back
Top Bottom