Yeah !Hivi zile za MDAs & LGAs za mwezi wa sita kuna watu wameshapata?
namimi nahisi hii ni operation database pia na hili sakata la msajili wa hazina ni pasua kichwa balaa. kuna kitu huyu mnene anakilengaOperation safisha database...dah mungu jalia 🤲 na kina sie tupitiwee
Msajili wa hazina alisema nini?namimi nahisi hii ni operation database pia na hili sakata la msajili wa hazina ni pasua kichwa balaa. kuna kitu huyu mnene anakilenga
Bongo tabutupu
katangaza ujio wa taasis zenye kuijiendesha zenyewe pasipo support ya serikali ziwe na autonomy kwenye kilakitu ikiwemo kuendesha michakato ya ajiraMsajili wa hazina alisema nini?
Naomba nitag hiyo video mkuu kama unaweza kuipatakatangaza ujio wa taasis zenye kuijiendesha zenyewe pasipo support ya serikali ziwe na autonomy kwenye kilakitu ikiwemo kuendesha michakato ya ajira
Inapatikana wapi hiyo video?Ukiisikilize hiyo video ya msajiri wa hazina taasisi zinaenda kupewa mamlaka yote,mpk kupanga wajilipe vipi kadri wanavyo pata faida,watu wa huko watanawili vibaya sana,ole wetu sisi wa halmashauri
Hataree sana mkuu ngoja tuone Mwisho inakuaje maana itakua kuna kitu kinaenda kufanyika.namimi nahisi hii ni operation database pia na hili sakata la msajili wa hazina ni pasua kichwa balaa. kuna kitu huyu mnene anakilenga
Bongo tabutupu
hiyo hapo juu.Inapatikana wapi hiyo video?
pitia huu uzi kwenye comments za janaNaomba nitag hiyo video mkuu kama unaweza kuipata
kula chuma hicho little finger
Kwa hili mkuu, tutegemee miujiza Tu.Kwanini wameruhusu hili?!?this is so sad kwa sisi ma jobless alaf watt wa wazaz wenye hali mbaya na wasiomjua yoyote...MUNGU atusaidie..
Ahsante sanaaaaHongera champ
This is too bad.Kwanini wameruhusu hili?!?this is so sad kwa sisi ma jobless alaf watt wa wazaz wenye hali mbaya na wasiomjua yoyote...MUNGU atusaidie..
so sad champThis is too bad.
Hii n habari n mbaya sana kwa wenye matumain na PSRS.
Nawaza tu kama kwetu aliyetoboa n mwalimu wa primary, je naweza kupata kazi sehem kama BOT,TPDC,TBS,TANROAD N.k bila mkono wa psrs currently?
Tafadhari sana wenye mamlaka, tunaomba msiturudishe tulikotoka. Tumetoka kubaya sana.. nepotism..nepotism...nepotism..
Moja ya lengo la ku decentralize system nzima ya ajira za serikali ilikua ni kutackle tatizo la nepotism kweny ma taasisi ya gavo wakt wa kuajiri.
Sasa kwann wanataka kuturudisha huku? Why?
Au n kwasababu baadhi ya wakubwa wameona watoto wao hawana pumzi ya kupambania kombe utumishi, sasa wameona watupeleke huku, na Walianza mapema sana, kama mnakumbuka mwezi wa 4 bungeni kuna baadhi ya wabunge walipendekeza wanaojitoleaa wapewe kipaumbele na mara tu ya mapendekezo hayo tuliona TRA wakinyofoka utumishi immediately, walianzia huko na huku ndo walikua wanaelekea. Bila kumung'unya maneno huu n upuuzi aise.
Unajua kitendo cha baadhi ya watu kutoka familia za kawaida kupata kazi kwenye taasis nzuri za serikali kuna watu wanakereka, hawapendi kbsa wanatamani taasisi iwe km ya ukoo au kabila lao tu, sasa wanapambana ata kumpotosha mama.
NB: PSRS haina shda, ongeza nguvu kazi huko and everything gonna be ok. Hii nchi n yetu sote jamn mnapopata nafasi ya kula cake ya taifa bas mtuachie na wengne ata hii inayodondoka chini, kwann uikanyage? Roho mbaya tu.
Inafikirisha sanaaaa.......This is too bad.