HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Figisu figisu za taasisi kuajiri zenyewe ni kama inavyoonekana hapa TANROADS:
Tangazo la kazi limeandikwa tarehe 04/08/2023. Lakini linakuwa posted kwenye tovuti ya tanroads ili "walengwa" walisome tarehe 13/08/2023, lakini deadline ya maombi ni tarehe 17/08/2023. Halafu hauruhusiwi kutuma maombi kwa kutumia Email, itabidi ukaitumbukize posta!! Yaani kama ulifanikiwa kuliona tangazo siku linabandikwa unakuwa na siku 3 tu kabla ya deadline!! Na mwisho hata kama ukiomba watakaopewa taarifa kibinafsi ni wale watakaokuwa shortlisted tu, wengine mnabaki mnaulizana "vipi tanroads wameitisha interview au?" Kazi kwako!!! Jiridhishe mwenyewe hapa:


Lengo kama si kuwawekea vikwazo waombaji wasifanikiwe kuomba lengo lao ni nini? Karne ya 21 hutaki mtu aombe online na hutaki atume maombi kwa email!
 
Pharmacy Council pia kwenye tovuti yao walitangaza ajira, wakaita watu kwenye usaili, wakatoa matokeo (bila kuonesha marks) na sasa wameita watu kwenye oral. Hii inaonesha kabisa PSRS wataachiwa kushughulika na posts za MDA & LGA tu!! mwisho wa siku PSRS inaweza kusambaratishwa na watumishi kusambazwa sehemu zingine (Mungu apishe mbali). Tukifika huko kupata ajira bila connection itakuwa next to impossible!
 
Yawezekana kabisa na huko TRA mambo yako hivyo!!! walioomba huko TRA watasubiri hadi wachoke!!
Ninavyohisi hayo matangazo ya kazi kwa izo taasisi wanavyoyatoa huwa ni ushahidi Tu, kusailisha watu ni kutimiza wajibu kwa ajili ya kuandika report, Ila tayar izo nafasi zinawatu wao, hapo ata kama wataitwa, watasailishwa na kazi watapewa wengine ambao hata hawajui kama kulikuwa na mchakato wowote, Mungu azidi kututetea jobless
 
Ila hili la taasisi kutangaza , kufanyisha usaili na kuajiri zenyewe ni maafa ya mwaka. Tayari inaelekea taasisi zitakuwa zinaajiri zenyewe bila kupitia PSRS kama wakala. Ubovu wa kule ni kwamba, wanataarifiwa tu kibinafsi wale waliofanikiwa kuwa shortlisted! Kwa hiyo ukiomba halafu ukasikia kimya kwa muda mrefu (kama ilivyotokea kwa TRA) ujue kuwa hujafanikiwa!! Nimeangalia kwenye tovuti ya TANROADS nikakuta hayo mambo!! Wadau hapa mnaangalia PSRS tu kumbe kazi kibao zilishatangazwa huko na unaomba kwa kuandika barua kwa mkono!! Hawataki online application!! Kwanza ni gharama, pili ni usumbufu!! Ni gharama kwa sababu ili uwe na uhakika kuwa barua yako itafika salama, inabidi uitume kwa regester au kwa EMS!! Kwa jinsi attachments zilivyo nyingi, itagharimu zaidi ya 10,000/= kwa kila application!! Waliokuwa wanaombea taasisi ziajiri zenyewe, maombi yao yamesikiwa!!

JOB OPPORTUNITIES
01st August, 2023
Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is vested with the responsibility of Maintenanceand Development of Trunk and Regional Roads Networks in Tanzania Mainland. It is alsoresponsible in conducting Axle Load Control Operations using weighbridges scales.The Regional Manager TANROADS Mbeya on behalf of the Chief Executive TANROADS islooking for suitably qualified and competent Tanzanians to fill vacant positions available for Engineers, Social Welfare Officer and Accounts Officer as follows;..........................................,

Means of Applications
Please send your handwritten application letter, academic and birth certificates as well as comprehensive Curriculum Vitae (C.V) to the address shown below. Your application must be submitted not later than 14thAugust, 2023. Only successful candidates will be notified and invited for Interview.
THE REGIONAL MANAGER,TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY (TANROADS),
P. O. BOX 258,
MBEYA.​
Kwa taarifa zaidi, link hii hapa: https://www.tanroads.go.tz/common/uploads/vacancy/x6f817346c82e8782ac0004479cc23bf.pdf

​
[emoji849]Inamaana TRA wameshaita watu usail...


Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Figisu figisu za taasisi kuajiri zenyewe ni kama inavyoonekana hapa TANROADS:
Tangazo la kazi limeandikwa tarehe 04/08/2023. Lakini linakuwa posted kwenye tovuti ya tanroads ili "walengwa" walisome tarehe 13/08/2023, lakini deadline ya maombi ni tarehe 17/08/2023. Halafu hauruhusiwi kutuma maombi kwa kutumia Email, itabidi ukaitumbukize posta!! Yaani kama ulifanikiwa kuliona tangazo siku linabandikwa unakuwa na siku 3 tu kabla ya deadline!! Na mwisho hata kama ukiomba watakaopewa taarifa kibinafsi ni wale watakaokuwa shortlisted tu, wengine mnabaki mnaulizana "vipi tanroads wameitisha interview au?" Kazi kwako!!! Jiridhishe mwenyewe hapa:


Lengo kama si kuwawekea vikwazo waombaji wasifanikiwe kuomba lengo lao ni nini? Karne ya 21 hutaki mtu aombe online na hutaki atume maombi kwa email!
Tuwe wa Pole tu Binafsi kuna kipindi niliandika sina Imani na Taasisi kufanya mchakato wa kuajiri Wenyewe kuanzia Mwanzo (Kutuma Maombi) mpk Mwisho (Kuajiriwa) Ila kuna watu walikuwa wabishi Sana na kutamani iwe hivi nakusahau Kabisa kuwa PSRS ulijitahidi sana kuwa wazi kuanzia Hatua za Awali mpk Mwisho.

Japo Sikuwai kupa Ajira kupitia PSRS lkn niliwaamini sana Kwa kuweza kupata nafasi za kufanya interview kuanzia Written mpk Oral Kwa sababu sina ninaemjua wala connection so kupata nafasi hizo kadhaa niliamini PSRS ndy watu Pekee wanaoweza kutetea Nafasi za Watoto Maskini.


Wapo waliosema ooh PSRS wanachelewa kuita watu kipo wapi mpk sasa hata huko Taasisi ni Yale Yale tu Mwezi 3 sasa na haijulikani km kuna shortlisted au laasha.

Tuendelee tu na Maisha yetu mpk siku Zoezi litaporudi PSRS ndy tujiusishe na kutuma Maombi

Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
 
nadhani ni baadhi ya taasisi tu.kama hizo mda tu zilikua zinaajili zenyewe
Sio pressure aisee

TRA
TFS
TANROAD

wameanza kuajiri wenyewe wengine wanafuata nafikri Serikali inataka taasisi zijitegemee.

PSRS wana mapungufu yao ila wamefanikiwa sana especially ngwe hii ya mwis
Sio pressure aisee

TRA
TFS
TANROAD

wameanza kuajiri wenyewe wengine wanafuata nafikri Serikali inataka taasisi zijitegemee.

PSRS wana mapungufu yao ila wamefanikiwa sana especially ngwe hii ya mwisho.
 
Figisu figisu za taasisi kuajiri zenyewe ni kama inavyoonekana hapa TANROADS:
Tangazo la kazi limeandikwa tarehe 04/08/2023. Lakini linakuwa posted kwenye tovuti ya tanroads ili "walengwa" walisome tarehe 13/08/2023, lakini deadline ya maombi ni tarehe 17/08/2023. Halafu hauruhusiwi kutuma maombi kwa kutumia Email, itabidi ukaitumbukize posta!! Yaani kama ulifanikiwa kuliona tangazo siku linabandikwa unakuwa na siku 3 tu kabla ya deadline!! Na mwisho hata kama ukiomba watakaopewa taarifa kibinafsi ni wale watakaokuwa shortlisted tu, wengine mnabaki mnaulizana "vipi tanroads wameitisha interview au?" Kazi kwako!!! Jiridhishe mwenyewe hapa:


Lengo kama si kuwawekea vikwazo waombaji wasifanikiwe kuomba lengo lao ni nini? Karne ya 21 hutaki mtu aombe online na hutaki atume maombi kwa email!
CC; Hii aione Mh: waziri Nape Nauye.... Karne ya 21 how watu turudi tena enzi zile za kutuma makaratasi posta?? Yani ni sawa leo unaweza kutuma hela kwa simu, ila mtu aseme situmi nampa fulani akuleteee this is so sad
 
Je unajuaje ni Kitenge? Yawezekana ni katibu mwingine. Ilitia mashaka baada ya picha yake kuondolewa kwenye tovuti!! Ngoja tusubiri picha ya katibu ili tujue kinachoendelea!! Kuna picha moja alionekana kwenye tovuti wakaandika "aliyekuwa katibu wa Sekretarieti.....". Hapo wengi wakaamini Kitenge amekandwa kimyakimya!!
Kitenge amestaafu. Hayupo tena PSRS
 
Sio pressure aisee

TRA
TFS
TANROAD

wameanza kuajiri wenyewe wengine wanafuata nafikri Serikali inataka taasisi zijitegemee.

PSRS wana mapungufu yao ila wamefanikiwa sana especially ngwe hii ya mwisho.
Wasio na ajira Waombe Mungu wapate mapema kinyume na hapo baada ya mwaka huu halafu utaratibu huu ukaanza na kupewa baraka ni lazima wengi watalimia meno kabisa!

PSRS wana mapungu yao kama taasisi lakini ukifanya utafiti utagundua kuwa rushwa na upendeleo umepungua sana sana katika upatikqnaji wa ajira kwenye kila taasisi bila kujuana na bila upendeleo zaidi ya kuomba Mungu na kufaulu mitihani yao….

Mimi nina watu wa karibu zaidi ya wawili waliopata kazi TRA kupitia utumishi na wala hatuna watu tunawajua uko TRA au utumishi!

Hivi ni nani kampa Rais wazo la kuwapa taasisi power tena ya kuajiri wenyewe? Kwanini utumishi wasiongezewe nguvu na kusaidiwa? Mimi bado naamini kuna watu hutoa ushauri mbaya sana na huu ni mmoja wapo

Kama wanachelwesha majibu kwanini wasiwezeshwe na wqkapewa kila rasilimali?
 
Back
Top Bottom