Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 47,358
- 123,223
Ndio, unaweza kulamba kwenye taaasi badala ya ChuoKumbee hii inawezekana mkuu umenitia moyo sana
Ndio, unaweza kulamba kwenye taaasi badala ya ChuoKumbee hii inawezekana mkuu umenitia moyo sana
leo ni siku ya mapumzikoUmetuliaaa mkuu El l,unakula upepo wap
Uko sahihiAjira portal mfumo imezidiwa ume stack
Wanafanya maintenance tuUko sahihi
Au watu wanataka kuhack nn mjilambishe asali🤣Wanafanya maintenance tu
Kijilambisha asali haiwezekani...unaweza kwenda kweny taasisi uliojilambisha asali ukaaibikaAu watu wanataka kuhack nn mjilambishe asali🤣
Taasisi inapewa tu taarifa na psrs, wewe pia utaenda na barua ya psrs. Wewe kazi yako ni kupandisha tu majina IT atakuja kuprint!Kijilambisha asali haiwezekani...unaweza kwenda kweny taasisi uliojilambisha asali ukaaibika
Tuendelee kumuomba munguDAAAH KUMEKUCHA TENA KIKACHEROO
Embu andika vizuri uweleweke mzee.Jobless sijui tunafeli wapi yaani walioitwa usaili pdf la 26/5/2023 ni wachahche sana, halafu wote wanapiga oral tu. Halaf wengine wapo mtaani wanalalamika mambo ya ajira sijui connection lakin hawataki kuapply. Hebu fikiria yaani mwalimu kaitwa kwenye usaili mmoja tu. Halaf... Daah aisee walimu acheni uoga wa intavyuu.. 😂😂😂😂
Kasome pdf walioitwa usaili 26/05/2024 utaelewaEmbu andika vizuri uweleweke mzee.
Sasa mbona uliandika 2023....,Kasome pdf walioitwa usaili 26/05/2024 utaelewa
Sawa,mtoe wa kuelewek sasa itLeo mkeka 100%
Pinacodee see you, umewahi namba asubuhiSawa,mtoe wa kuelewek sasa it