Blueprint 9
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 776
- 1,344
Mwamba karudi kazini
😄😄😄 kitenge tena. Daaaaah pdf zitaanza kutoka kwa mwezi mara 2 😥View attachment 2717953
Mwamba karudi kazini
Thank u champMimi nasubilia sana ushuhuda wa rafiki angu wa jf mfwende sawa dogo Natumaini Mungu atamkumbuka au ameshamkumbuka Kila pdf ikitoka namuwaza ndugu yangu
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Je unajuaje ni Kitenge? Yawezekana ni katibu mwingine. Ilitia mashaka baada ya picha yake kuondolewa kwenye tovuti!! Ngoja tusubiri picha ya katibu ili tujue kinachoendelea!! Kuna picha moja alionekana kwenye tovuti wakaandika "aliyekuwa katibu wa Sekretarieti.....". Hapo wengi wakaamini Kitenge amekandwa kimyakimya!!View attachment 2717953
Mwamba karudi kazini
Sio kitenge ni kosa tu la kiuandishi yule mwamba katolewa paleJe unajuaje ni Kitenge? Yawezekana ni katibu mwingine. Ilitia mashaka baada ya picha yake kuondolewa kwenye tovuti!! Ngoja tusubiri picha ya katibu ili tujue kinachoendelea!! Kuna picha moja alionekana kwenye tovuti wakaandika "aliyekuwa katibu wa Sekretarieti.....". Hapo wengi wakaamini Kitenge amekandwa kimyakimya!!
La jana naibu katibu la leo katibu 😅😅 kitenge kakandwa kimya kimyaView attachment 2717953
Mwamba karudi kazini
wakirekebisha hili basi tena imeendaaaPamoja na PSRS kufanya kzi nzuri lakin utaratibu wa kutomjulisha msailiwa hatma yake baada ya oral SIO UTARATIBU MZURI mtu anakaa kuwaza muda mrefu kwa kweli linaumiza sana hasa kama mtu hana ramani mtaani
Database kiongozi
Kitenge alishaondoka tayari na sasa ameshapatikana mwingine ila bado kutangazwa publicJe unajuaje ni Kitenge? Yawezekana ni katibu mwingine. Ilitia mashaka baada ya picha yake kuondolewa kwenye tovuti!! Ngoja tusubiri picha ya katibu ili tujue kinachoendelea!! Kuna picha moja alionekana kwenye tovuti wakaandika "aliyekuwa katibu wa Sekretarieti.....". Hapo wengi wakaamini Kitenge amekandwa kimyakimya!!
Me nawaambia huyu ni mmoja wa majobless wenzetu aliyebahatika kupangiwa pale pssrs so hanajua Kila aina ya maumivu tuliyonayo.IT wa sasa ni hatari💥💥💥 habanii pdf zikiwepo hata tano anapost Zote
hongera nyingi wote mliolamba asali.
IT kanyaga twende.
Itakua vema sana kama watakua wanatoa matokeo ya oral mapema mtu ajue yumo au hayumo mapema kabisa kuepuka sonona zisina na ulazimaYaani kifupi nikwamba kwenye huu uzi,kuna jobless walio angukia sekretariet, tume ya maadili,tiss, wizara, halmashauri za mbwinde n.k
na mpaka sasa huu uzi umetazamwa na watu zaidi ya 2million sio mchezo, kilio chetu kinawifikia direct
kwa wageni wa huu uzi, wajue tu hata huyu muanzilishi wa huu uzi alikula ban kabisa ! soon later on sekretarieti wakafungua account hapa JF . kila tunalolisema linafika direct coz watu wa system wapo kila mahala
Hili nalo walione wakuu wetuItakua vema sana kama watakua wanatoa matokeo ya oral mapema mtu ajue yumo au hayumo mapema kabisa kuepuka sonona zisina na ulazima
Wnasherkea pipa la asali la MSD naona 😅Wakuu Leo hmna ushuhuda??
Hata mimi naona hivyoo. Sio kwa moto huu 🔥 hii august ni zaidi ya july aysee sizani kama hii speed ishawahi kutokea. Jamaa anatishaa.Me nawaambia huyu ni mmoja wa majobless wenzetu aliyebahatika kupangiwa pale pssrs so hanajua Kila aina ya maumivu tuliyonayo.
IT ni mpost tu matangazo sidhani kama anastahiki kusifiwa kiasi hiki....pongezi nyingi ziende kwa kaimu katibuHata mimi naona hivyoo. Sio kwa moto huu 🔥 hii august ni zaidi ya july aysee sizani kama hii speed ishawahi kutokea. Jamaa anatishaa.
IT shusha nyingine💥.
😀😀😀IT ni mpost tu matangazo sidhani kama anastahiki kusifiwa kiasi hiki....pongezi nyingi ziende kwa kaimu katibu