Decisive
Member
- Aug 3, 2023
- 45
- 92
Duuuuh! au nisome tuition maana nimesahau kila kituKaribu jiandae kusoma sana kuweka miguu kwenye beseni huko maswali ni define na mention, tafuta handouts na compendium usome usisahau slides
Duuuuh! au nisome tuition maana nimesahau kila kituKaribu jiandae kusoma sana kuweka miguu kwenye beseni huko maswali ni define na mention, tafuta handouts na compendium usome usisahau slides
😂😂😂😂 kumention na kudefineKaribu jiandae kusoma sana kuweka miguu kwenye beseni huko maswali ni define na mention, tafuta handouts na compendium usome usisahau slides
naamkumention na kudefine
Kama upo dodoma njoo steve loquor area c nikupe mbinu za kuwakabiri wakandajiDuuuuh! au nisome tuition maana nimesahau kila kitu
Duuh basi amtumaini Mungu kwakweli kama psprs wanaweza wakamsikiliza na kumsaidia, maana yawezekana huyo hr alishaweka mtu wake kwenye hiyo nafasi, Mungu amteteee tu, aende Dom akajaribu kuongea nao ikiwezekana akiona hawamsikilizi apande ngazi zaidi ili kilio chake kisikike maana ni maumivu ya Hali ya juu sanaHuyo mtu kaomba instrument yoyote ya kupresent akirudi kule psrs Dom. Jamaa Hr akakaza . Muda wa kureport haujaexpire hadi ijumaa ya wiki hii ndo 14days zita lapse
Yaani HR anamkataa mtumishi kama vile yeye ndo analipa mshahara toka mfukoni mwakeSasa ukiskia watu Wana roho mbaya duniani ndo Kama huyo HR aliyemkataa mtumishi,
Ukiskia Dunia Ina watu wenye roho mbaya ndo wao mabosi wa hiyo sehemu,tangu lini watumishi wakazidi kwenye nchi yetu?mpk ofisi inamkataa,umeomba mmoja ukapewa wawili c Jambo la kumshukuru mno, au jamaa wameona atamaliza oxygen ukiangalia ofisi hailipi mshahara,mishahara yote inatoka hazina,aise jamaa ana nyota ya kukataliwa😁
Pia jamaa angu imetokea kwake mara mbili the situation is real sijui💥🚨☢️🚨THE THING IS AS SERIOUS AS A HEART ATTACK☢️🚨💥 FOR REAL kabisa.
Yupo Dar, been advised kuenda pale psrs kivukoni for a starter.
Mwajiri kaisha wasiliana na psrs. HR he said this, kaulizwa kama psrs wamerespond akasema haihitaji.
Kusumbuliwa prove inevitable hapo inabidi kujipinda tu kufuatilia though going to be hard and gonna cost an entire arm and leg.
Blueprint 9 Ze Heby wizy Stelingi Twinawe
Pdf la july 29 that much detail please. Let conceal identity(taasisi, kada,JINA)for now ILA NI KWELI HIYO SITUATION IS ON THE TABLE🚨🚨💥💥☢️ barua ya psrs anayo na ina ule mhuri kama nukta za vipofu
Hapo unakihoro Cha kuwa mtumishi tena, chochote utakachoambiwa ni sawa mkuu.Is this an actual problem au umekaa maghetoni ukajitungia. It’s very unlikely
Arudi PSRS, atasaidiwa. Ningekua mimi ningemwambia mwajiri ndio awasiliane na PSRS na sio kunisumbua mimi kusafiri huku na kule kwa uzembe (kama ni kweli) wa watu wengine
Jamaa karongwa siyo burePia jamaa angu imetokea kwake mara mbili the situation is real sijui
Amelipoti hailmashauli wakamwambia wanataka mtu mwingine
Akasubili kupangiwa tena, kapangiwa kwingine anapigiwa simu asubili tena hawaitaji mtu Kama yeye
Yuko na stress hatari.
Huyo Mwajiri hakupokea barua kutoka PSRS inayomjulisha kuwa kuna watumishi wapya wanaletwa kwake? Kama aliipokea ameikataa pia? Kama ameikataa ameirudisha PSRS?ANOTHER BIG VERY BIG PROBLEM YET
Aise kuna jamaa kapangiwa placement. Kachukua barua kule PSRS DODOMA na kuipeleka kwa mwajiri alikopangiwa
Mwajiri kakataa kumpokea anasema wao walihitaji mmoja tu ila utumishi (psrs) wamepeleka zaidi ya mmoja
Ameshauri arudi psrs kule.
Now
Hiyo imekaaje?
Mwifwa , mfwende sawadogo Twinawe wizy
Niko pande za kikuyu kaka nipe madiniKama upo dodoma njoo steve loquor area c nikupe mbinu za kuwakabiri wakandaji
Kama upo dodoma njoo steve loquor area c nikupe mbinu za kuwakabiri wakandaj
Una both selected for Oral lakn..Siku imekata tukiwa bado majobless, no new updates today.
IT hadi muda huu kagoma kutufurahisha ngoja tusubiri dakika za nyongeza hiz had saa nne kama nyavu za placement zitatikisika.
IT unaanza kubadilika.