HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
💥💥💥ANOTHER BIG VERY BIG PROBLEM YET💥💥💥
Aise kuna jamaa kapangiwa placement. Kachukua barua kule PSRS DODOMA na kuipeleka kwa mwajiri alikopangiwa

Mwajiri kakataa kumpokea anasema wao walihitaji mmoja tu ila utumishi (psrs) wamepeleka zaidi ya mmoja

Ameshauri arudi psrs kule.
Now
Hiyo imekaaje?

Mwifwa , mfwende sawadogo Twinawe wizy
 
Dah hii ni torture aisee, i hope PSRS Watampangia kituo cha kazi kingine huyu mlamba asali
 
[emoji95][emoji95][emoji95]ANOTHER BIG VERY BIG PROBLEM YET[emoji95][emoji95][emoji95]
Aise kuna jamaa kapangiwa placement. Kachukua barua kule PSRS DODOMA na kuipeleka kwa mwajiri alikopangiwa

Mwajiri kakataa kumpokea anasema wao walihitaji mmoja tu ila utumishi (psrs) wamepeleka zaidi ya mmoja

Ameshauri arudi psrs kule.
Now
Hiyo imekaaje?

Mwifwa , mfwende sawadogo Twinawe wizy
Ukipata placement lazima barua yako pia iende kwa mwajiri kumtaarifu sasa tujiulize.

Barua yake ilienda kwa mwajiri au ilienda ya mtu mmoja?

Kama ilienda sidhani kama mwajiri ana mamlaka ya kumkataa mtumishi aliyepangiwa kama taratibu na vigezo vyote vimetimia
 
💥💥💥ANOTHER BIG VERY BIG PROBLEM YET💥💥💥
Aise kuna jamaa kapangiwa placement. Kachukua barua kule PSRS DODOMA na kuipeleka kwa mwajiri alikopangiwa

Mwajiri kakataa kumpokea anasema wao walihitaji mmoja tu ila utumishi (psrs) wamepeleka zaidi ya mmoja

Ameshauri arudi psrs kule.
Now
Hiyo imekaaje?

Mwifwa , mfwende sawadogo Twinawe wizy
cc.

CC. Mbinguninikwetu.
 
Vipi walipomkataa ni asali ya nyuki wadogo au asali ya kuchakachuliwa ???

Lakini binafsi naona hawezi kosa placement hata kama sio sehemu hiyohiyo ila anaweza kuwaste time kdg.
 
💥💥💥ANOTHER BIG VERY BIG PROBLEM YET💥💥💥
Aise kuna jamaa kapangiwa placement. Kachukua barua kule PSRS DODOMA na kuipeleka kwa mwajiri alikopangiwa

Mwajiri kakataa kumpokea anasema wao walihitaji mmoja tu ila utumishi (psrs) wamepeleka zaidi ya mmoja

Ameshauri arudi psrs kule.
Now
Hiyo imekaaje?

Mwifwa , mfwende sawadogo Twinawe wizy
Amepelekwa taasisi gani?
 
Mwajiri hana mamlaka yakumkataa mtumishi wa umma anapokuwa placed hapo inamaanisha Kuna gap na nafasi
 
Back
Top Bottom