Huyu lermax3 mwanzilishi wa uzi naye alikuwaga analilia sana kipindi bado jobless saizi kama hayupo kabisa
Huyu alilamba asali akapoteaJamaa kawa dalali mkuu iphone ( winger) pale makumbusho hahaha
sema si mshahara atakua anaingiziwaSasa ukiskia watu Wana roho mbaya duniani ndo Kama huyo HR aliyemkataa mtumishi,
Ukiskia Dunia Ina watu wenye roho mbaya ndo wao mabosi wa hiyo sehemu,tangu lini watumishi wakazidi kwenye nchi yetu?mpk ofisi inamkataa,umeomba mmoja ukapewa wawili c Jambo la kumshukuru mno, au jamaa wameona atamaliza oxygen ukiangalia ofisi hailipi mshahara,mishahara yote inatoka hazina,aise jamaa ana nyota ya kukataliwa[emoji16]
Arudi sekretalieti ya ajira (PSRS) alipopewa hiyo barua na kuwajulisha kuwa kule mliponipeleka wamenambia nafasi imejaa.Duuh basi amtumaini Mungu kwakweli kama psprs wanaweza wakamsikiliza na kumsaidia, maana yawezekana huyo hr alishaweka mtu wake kwenye hiyo nafasi, Mungu amteteee tu, aende Dom akajaribu kuongea nao ikiwezekana akiona hawamsikilizi apande ngazi zaidi ili kilio chake kisikike maana ni maumivu ya Hali ya juu sana
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Daaah aisee. Ila bora alifanikiwa na TAWA ni bora kuliko HalmashauriHii iliwahi kujitokeza kipindi Cha nyuma,Kuna dogo mmoja alipangiwa halmashauri flan,Sasa alipoenda akakuta kwenye hiyo nafasi mtu mwingne amesharipot tyr,ilibidi arud Psrs,japo alikaa mno kusubir kituo kipya,akawa akawa anampigia simu waziri wa UTUMISHI kipindi hicho mchegerwa,lalamika mno mtaandaoni,kuwa haki yake imepokonywa,Ila baadae sana Psrs wakampangia TAWA
Ndio nasikia AmestaafuInawezekana kastaafu huyo kwahiyo Kaimu Katibu inabidi aupigwe mwingi ili awe promoted.
Muda wa mateso bila chuki,umeisha kwa walokuepo kwenye huu mkeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hongera kwa walopataKuna mkeka uko naona mwezi wa sita wameanza kuitwa, Mungu atukumbuke.
Amekula shavu utumishi wa uma amepata gari ya mkopo now ni mwendo wa kishoka hajui wala hajawahi kusikia kitu inaitwa Jamii forumHuyu lermax3 mwanzilishi wa uzi naye alikuwaga analilia sana kipindi bado jobless saizi kama hayupo kabisa
Halmashauri njaa Kali hatari mno,hata wizaran yake Yale tu naskiaDaaah aisee. Ila bora alifanikiwa na TAWA ni bora kuliko Halmashauri
Yap pazuri mnoMuda wa mateso bila chuki,umeisha kwa walokuepo kwenye huu mkeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hongera kwa walopata
Huku kumenijenga sana hasa nilipoona ile SELECT BOTH ..nikachek kwangu nikaona BOTH...na kweli ikawa..Msife moyo.Watu wakishalamba asali wanakimbia kabisa ...naona kidogo Mwifwa, Mnajimu nyota, Lidendec kidogo wanakumbuka walikotoka
Kumbe naye alishalamba asaliHuyu lermax3 mwanzilishi wa uzi naye alikuwaga analilia sana kipindi bado jobless saizi kama hayupo kabisa
Hiv kwenye Web wanaandika shortlisted au selected for oralHuku kumenijenga sana hasa nilipoona ile SELECT BOTH ..nikachek kwangu nikaona BOTH...na kweli ikawa..Msife moyo.
Kama ulifanya oral pekeake bila written wanaandika shortlistedHiv kwenye Web wanaandika shortlisted au selected for oral
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku imekata tukiwa bado majobless, no new updates today.
IT hadi muda huu kagoma kutufurahisha ngoja tusubiri dakika za nyongeza hiz had saa nne kama nyavu za placement zitatikisika.
IT unaanza kubadilika.
Nyumbani ni nyumbani hata kama ni poriniWatu wakishalamba asali wanakimbia kabisa ...naona kidogo Mwifwa, Mnajimu nyota, Lidendec kidogo wanakumbuka walikotoka
hhhhh tutausukuma hata tukiwa vitengo kama mwifwa haina shida[emoji3][emoji3][emoji3] Wewe inabidi uchelewe kidogo kupata placement ili usukume uzi sio kwa ubaya lakn au unasemaje kiongozi [emoji3]