Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kiushauri labda huyo mtu angemwambia mwajiri ampe barua ya kuwajulisha psprs kwamba hawamuhitaji, kuliko kurudi hivihivi Bila uthibitisho wa mwajiri ya kwamba hawamuhitaji tena, maana psprs wanaweza kumwambia alichelewa kuriport kituo cha kazi ndio maana mwajiri amemkataa.maana katika hiyo barua ya mwajiri ndio ingekuwa na maelezo yote kwanini hawamuhitaji

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Huyo mtu kaomba instrument yoyote ya kupresent akirudi kule psrs Dom. Jamaa Hr akakaza . Muda wa kureport haujaexpire hadi ijumaa ya wiki hii ndo 14days zita lapse
 
Huyo mtu kaomba instrument yoyote ya kupresent akirudi kule psrs Dom. Jamaa Hr akakaza . Muda wa kureport haujaexpire hadi ijumaa ya wiki hii ndo 14days zita lapse
Duuh basi amtumaini Mungu kwakweli kama psprs wanaweza wakamsikiliza na kumsaidia, maana yawezekana huyo hr alishaweka mtu wake kwenye hiyo nafasi, Mungu amteteee tu, aende Dom akajaribu kuongea nao ikiwezekana akiona hawamsikilizi apande ngazi zaidi ili kilio chake kisikike maana ni maumivu ya Hali ya juu sana

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Sasa ukiskia watu Wana roho mbaya duniani ndo Kama huyo HR aliyemkataa mtumishi,

Ukiskia Dunia Ina watu wenye roho mbaya ndo wao mabosi wa hiyo sehemu,tangu lini watumishi wakazidi kwenye nchi yetu?mpk ofisi inamkataa,umeomba mmoja ukapewa wawili c Jambo la kumshukuru mno, au jamaa wameona atamaliza oxygen ukiangalia ofisi hailipi mshahara,mishahara yote inatoka hazina,aise jamaa ana nyota ya kukataliwa😁
Yaani HR anamkataa mtumishi kama vile yeye ndo analipa mshahara toka mfukoni mwake
 
💥🚨☢️🚨THE THING IS AS SERIOUS AS A HEART ATTACK☢️🚨💥 FOR REAL kabisa.
Yupo Dar, been advised kuenda pale psrs kivukoni for a starter.

Mwajiri kaisha wasiliana na psrs. HR he said this, kaulizwa kama psrs wamerespond akasema haihitaji.

Kusumbuliwa prove inevitable hapo inabidi kujipinda tu kufuatilia though going to be hard and gonna cost an entire arm and leg.

Blueprint 9 Ze Heby wizy Stelingi Twinawe

Pdf la july 29 that much detail please. Let conceal identity(taasisi, kada,JINA)for now ILA NI KWELI HIYO SITUATION IS ON THE TABLE🚨🚨💥💥☢️ barua ya psrs anayo na ina ule mhuri kama nukta za vipofu
Pia jamaa angu imetokea kwake mara mbili the situation is real sijui

Amelipoti hailmashauli wakamwambia wanataka mtu mwingine

Akasubili kupangiwa tena, kapangiwa kwingine anapigiwa simu asubili tena hawaitaji mtu Kama yeye

Yuko na stress hatari.
 
ANOTHER BIG VERY BIG PROBLEM YET
Aise kuna jamaa kapangiwa placement. Kachukua barua kule PSRS DODOMA na kuipeleka kwa mwajiri alikopangiwa

Mwajiri kakataa kumpokea anasema wao walihitaji mmoja tu ila utumishi (psrs) wamepeleka zaidi ya mmoja

Ameshauri arudi psrs kule.
Now
Hiyo imekaaje?

Mwifwa , mfwende sawadogo Twinawe wizy
Huyo Mwajiri hakupokea barua kutoka PSRS inayomjulisha kuwa kuna watumishi wapya wanaletwa kwake? Kama aliipokea ameikataa pia? Kama ameikataa ameirudisha PSRS?

Kuna udhaifu wa coordination baina ya hizi taasisi....

Naungana na ushauri wa huyo Mtumishi kurudi PSRS akaeleze alichokikuta kwa huyo mwajiri.

Mkuu tungependa kufahamu updates zote kuhusu hili jambo, bila shaka utaendelea kutujuza
 
Hii iliwahi kujitokeza kipindi Cha nyuma,Kuna dogo mmoja alipangiwa halmashauri flan,Sasa alipoenda akakuta kwenye hiyo nafasi mtu mwingne amesharipot tyr,ilibidi arud Psrs,japo alikaa mno kusubir kituo kipya,akawa akawa anampigia simu waziri wa UTUMISHI kipindi hicho mchegerwa,lalamika mno mtaandaoni,kuwa haki yake imepokonywa,Ila baadae sana Psrs wakampangia TAWA
 
Back
Top Bottom