Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

ANOTHER BIG VERY BIG PROBLEM YET
Aise kuna jamaa kapangiwa placement. Kachukua barua kule PSRS DODOMA na kuipeleka kwa mwajiri alikopangiwa

Mwajiri kakataa kumpokea anasema wao walihitaji mmoja tu ila utumishi (psrs) wamepeleka zaidi ya mmoja

Ameshauri arudi psrs kule.
Now
Hiyo imekaaje?

Mwifwa , mfwende sawadogo Twinawe wizy
Ukipata placement lazima barua yako pia iende kwa mwajiri kumtaarifu sasa tujiulize.

Barua yake ilienda kwa mwajiri au ilienda ya mtu mmoja?

Kama ilienda sidhani kama mwajiri ana mamlaka ya kumkataa mtumishi aliyepangiwa kama taratibu na vigezo vyote vimetimia
 
💥💥💥ANOTHER BIG VERY BIG PROBLEM YET💥💥💥

cc.

CC. Mbinguninikwetu.
 
Vipi walipomkataa ni asali ya nyuki wadogo au asali ya kuchakachuliwa ???

Lakini binafsi naona hawezi kosa placement hata kama sio sehemu hiyohiyo ila anaweza kuwaste time kdg.
 
💥💥💥ANOTHER BIG VERY BIG PROBLEM YET💥💥💥
Aise kuna jamaa kapangiwa placement. Kachukua barua kule PSRS DODOMA na kuipeleka kwa mwajiri alikopangiwa

Mwajiri kakataa kumpokea anasema wao walihitaji mmoja tu ila utumishi (psrs) wamepeleka zaidi ya mmoja

Ameshauri arudi psrs kule.
Now
Hiyo imekaaje?

Mwifwa , mfwende sawadogo Twinawe wizy
Amepelekwa taasisi gani?
 
Mwajiri hana mamlaka yakumkataa mtumishi wa umma anapokuwa placed hapo inamaanisha Kuna gap na nafasi
 
Is this an actual problem au umekaa maghetoni ukajitungia. It’s very unlikely

Arudi PSRS, atasaidiwa. Ningekua mimi ningemwambia mwajiri ndio awasiliane na PSRS na sio kunisumbua mimi kusafiri huku na kule kwa uzembe (kama ni kweli) wa watu wengine
Kama akienda atunze tiketi ili akfanikiwa kurudi kwenye hiyo taasisi arudishiwe nauli yake lasivyo mwajiri ndo afuatilie mwenyewe
 
Is this an actual problem au umekaa maghetoni ukajitungia. It’s very unlikely

Arudi PSRS, atasaidiwa. Ningekua mimi ningemwambia mwajiri ndio awasiliane na PSRS na sio kunisumbua mimi kusafiri huku na kule kwa uzembe (kama ni kweli) wa watu wengine
💥🚨☢️🚨THE THING IS AS SERIOUS AS A HEART ATTACK☢️🚨💥 FOR REAL kabisa.
Yupo Dar, been advised kuenda pale psrs kivukoni for a starter.

Mwajiri kaisha wasiliana na psrs. HR he said this, kaulizwa kama psrs wamerespond akasema haihitaji.

Kusumbuliwa prove inevitable hapo inabidi kujipinda tu kufuatilia though going to be hard and gonna cost an entire arm and leg.

Blueprint 9 Ze Heby wizy Stelingi Twinawe

Pdf la july 29 that much detail please. Let conceal identity(taasisi, kada,JINA)for now ILA NI KWELI HIYO SITUATION IS ON THE TABLE🚨🚨💥💥☢️ barua ya psrs anayo na ina ule mhuri kama nukta za vipofu
 
Ukipata placement lazima barua yako pia iende kwa mwajiri kumtaarifu sasa tujiulize.

Barua yake ilienda kwa mwajiri au ilienda ya mtu mmoja?

Kama ilienda sidhani kama mwajiri ana mamlaka ya kumkataa mtumishi aliyepangiwa kama taratibu na vigezo vyote vimetimia
Barua ipo cc, ps wizara utumishi, kamishna wa utumishi wa umma, na kwa top boss wa taasisi
 
Is this an actual problem au umekaa maghetoni ukajitungia. It’s very unlikely

Arudi PSRS, atasaidiwa. Ningekua mimi ningemwambia mwajiri ndio awasiliane na PSRS na sio kunisumbua mimi kusafiri huku na kule kwa uzembe (kama ni kweli) wa watu wengine
Ningemwashia moto huyo mwajiri aache kunizoea.

Ananieleza mambo ya kiofisi yeye ndo ilibidi awasiliane na utumishi .
 
Kiushauri labda huyo mtu angemwambia mwajiri ampe barua ya kuwajulisha psprs kwamba hawamuhitaji, kuliko kurudi hivihivi Bila uthibitisho wa mwajiri ya kwamba hawamuhitaji tena, maana psprs wanaweza kumwambia alichelewa kuriport kituo cha kazi ndio maana mwajiri amemkataa.maana katika hiyo barua ya mwajiri ndio ingekuwa na maelezo yote kwanini hawamuhitaji

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Sasa ukiskia watu Wana roho mbaya duniani ndo Kama huyo HR aliyemkataa mtumishi,
💥🚨☢️🚨THE THING IS AS SERIOUS AS A HEART ATTACK☢️🚨💥 FOR REAL kabisa.
Yupo Dar, been advised kuenda pale psrs kivukoni for a starter.

Mwajiri kaisha wasiliana na psrs. HR he said this, kaulizwa kama psrs wamerespond akasema haihitaji.

Kusumbuliwa prove inevitable hapo inabidi kujipinda tu kufuatilia though going to be hard and gonna cost an entire arm and leg.

Pdf la july 29 that much detail please. Let conceal identity(taasisi, kada,JINA)for now ILA NI KWELI HIYO SITUATION IS ON THE TABLE🚨🚨💥💥☢️ barua ya psrs anayo na ina ule mhuri kama nukta za vipofu
Ukiskia Dunia Ina watu wenye roho mbaya ndo wao mabosi wa hiyo sehemu,tangu lini watumishi wakazidi kwenye nchi yetu?mpk ofisi inamkataa,umeomba mmoja ukapewa wawili c Jambo la kumshukuru mno, au jamaa wameona atamaliza oxygen ukiangalia ofisi hailipi mshahara,mishahara yote inatoka hazina,aise jamaa ana nyota ya kukataliwa😁
 
Ningemwashia moto huyo mwajiri aache kunizoea.

Ananieleza mambo ya kiofisi yeye ndo ilibidi awasiliane na utumishi .
Inaonekana yeye mwajiri hana hatia. Amekua clear kwamba ali-request mtu moja tu. Psrs wakapeleka mtu zaidi ya tatu kwa post aliyoitaji mtu moja.
My thinking is: psrs kuna makosa yamefanyika au kama kibali kipo basi haja communicate na mwajiri. That is serious
 
Nimefurahi sana vijana wengi wamepata kazi nipo Dodoma ila sijawahi kuhudhuria usaili tangu nimalize mwaka 2014, ila sasa hivi lazima nijitahidi ku-apply maana nimechoka kufanya private sector.
Karibu jiandae kusoma sana kuweka miguu kwenye beseni huko maswali ni define na mention, tafuta handouts na compendium usome usisahau slides
 
Kiushauri labda huyo mtu angemwambia mwajiri ampe barua ya kuwajulisha psprs kwamba hawamuhitaji, kuliko kurudi hivihivi Bila uthibitisho wa mwajiri ya kwamba hawamuhitaji tena, maana psprs wanaweza kumwambia alichelewa kuriport kituo cha kazi ndio maana mwajiri amemkataa.maana katika hiyo barua ya mwajiri ndio ingekuwa na maelezo yote kwanini hawamuhitaji

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Huyo mtu kaomba instrument yoyote ya kupresent akirudi kule psrs Dom. Jamaa Hr akakaza . Muda wa kureport haujaexpire hadi ijumaa ya wiki hii ndo 14days zita lapse
 
Back
Top Bottom