USishangae kuambiwa wameshaisha tayri 😒Paper Kafeli Mh.Mhagama aliyotoa !!!
Swali lenyewe sasa"Nitafutie wakandwaji 1700+ data base waliopita([emoji23][emoji23][emoji23]ukicheki IT kafuta majina yote ...)
Tuzidi kuomba Mungu ...Ipo siku atajibu maombi yetu hivi punde Uchungu wa mtoto ajuaye Mama)
Mama(Rais) anahuruma na wanae hawezi kuwalaza njaaView attachment 2710668
[emoji38][emoji38][emoji38]...watasema zipo ndani ya placement ile tuliotangaza PSRS 6000+ na zimeisha zote!!!USishangae kuambiwa wameshaisha tayri [emoji19]
Mkuu Tupungeze Ukali wa maneno hakuna mwanadamu mkamilifu...Sekretarieti ya Ajira ,hebu acheni mambo yenu ya kiseng€ hapa
Duh mkuu mbona jazba nyingi...punguza munkari wakti wako ukifika utapata t kaz mkuuSekretarieti ya Ajira ,hebu acheni mambo yenu ya kiseng€ hapa
Itakuwa labda wanataka wamalizane na viporo vya miezi ya nyuma kuaniza january mpaka may ili wakianza june watu watoke fasta mpaka wa july labda wamesikia kilio chetu wanasolve hili tatizo la kuchelewesha kwa placement kwa kuanza kushughulikia viporoKwa hiyo wamegoma kutoa mikeka ya MDA and LGA ya interviews za June au sio ?,
Kitenge kwa sasa hayupo PSRS sijajua kama atakua kastafu au katolewa, ukiangalia kwenye profile kuna moja ya picha utakuta wameandika watumishi wa Sekretariati ya ajira wakiwa na "ALIEKUA" katibu wa sekretariati ambae ni kitenge.Mbona ile picha ya kitenge imetolewa,bosi kabadilishwa nini?
duuhSekretarieti ya Ajira ,hebu acheni mambo yenu ya kiseng€ hapa
Inawezekana kastaafu huyo kwahiyo Kaimu Katibu inabidi aupigwe mwingi ili awe promoted.mwamba atakua amestafu au kachomolewa kimya kimya
angekua amestafu labda wangeandika katibu mstafu, huenda kachomolewa anasubiri kupangiwa kazi nyingineInawezekana kastaafu huyo kwahiyo Kaimu Katibu inabidi aupigwe mwingi ili awe promoted.
Interview zitakuja labda wanataka wamalize kwanza Placement ndio waanze kutangaza na kuita kwa kasi ya 4GIT YUKO FIRE[emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji868]
Upande wa INTERVIEW UMECHACHAView attachment 2710812
Mimi ni mkubwa kwenu nimeajiriwa halmashauri tangia 2013. Kipindi naanza kazi TGD ilikuwa laki 5.3
Mwaka wa 10 kazini nimetimiza June 2023. Niko kwenye huu Uzi kwasababu nataka kwenda kwenye asali zaidi sioni future huku halmashauri nilipo.
TANROADS inaonekana ni dude kubwa kumbe ukiwa nje! Hawa jamaa mishahara ni ya kawaida sana..Miradi ya halmashauri haimnufaishi moja kwa moja afisa wa kawaida. Hao uliotaja hapa fani zao zinawawezesha kupata hela nje ya ofisi kupitia wateja wao. Wanaonufaika na miradi ni Engineers, Procurement, Accountant na kidogo wachumi kupitia 10%.
Perdiem nanenane
Hapa unakuta mko maafisa kilimo 20 wilaya nzima wanatakiwa wanne waende nanenane hii huwezi kuiita asali sababu ni chance. Lakini kwenye baadhi ya taasisi utakuta Transport allowance 10%, housing allowance 13%, sikukuu mnadaka bonance. Watumishi mnakuwa level moja bila kujali huyu HR au huyu dereva.
Kwan TANROADS wanalipa mshahara kiasi gani kwa degree holder?TANROADS inaonekana ni dude kubwa kumbe ukiwa nje! Hawa jamaa mishahara ni ya kawaida sana..
Hongera sana Mkongwe Mwenzangu!Mimi ni mkubwa kwenu nimeajiriwa halmashauri tangia 2013. Kipindi naanza kazi TGD ilikuwa laki 5.3
Mwaka wa 10 kazini nimetimiza June 2023. Niko kwenye huu Uzi kwasababu nataka kwenda kwenye asali zaidi sioni future huku halmashauri nilipo.