Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ahaa.Hivi mfano TRA mwaka jana si walitangaza kukusanya kodi nyingi nchini hadi kuvuka lengo.Ni kwa sababu ya wale vilaza wengi waliopelekwa huko na utumishi bila shaka?
Malengo anaweka nani? Kuna tatizo kubwa kwa taasisi zetu wanajiwekea malengo madogo ili waseme wamevuka lengo.
Kwenye Kodi, kama kukusanya nakuambia tunaweza kukusanya zaidi ya T 40 kwa mwaka.
 
Dah unasema vilaza toka Utumishi au toka Mitaani.
Mimi nishafanya interview nyingi tu za Ofisi hasa za Wazungu uko tofauti kabisa na usaili wa utumishi,hata vyeti huulizwi ni wewe kuonesha uwezo wako.
Mwisho mashirika kurudishiwa fursa ya kuajiri fursa kwa wenye koneksheni hakika nakuambia.
Msije mkalalamika ooh Tra imejaa watu wa Kaskazini
Nikuambie tu ukweli, hutoona watu wengi kutoka ukanda mmoja, Kabila, Dini wala mkoa mmoja.

Subiri uangalie usaili utakavyokuwa.
Udhibiti umefanywa kwa kiwango kikubwa.
 
Ingekuwa utumishi wanatoa placement mapema basi
Nikuambie tu ukweli, hutoona watu wengi kutoka ukanda mmoja, Kabila, Dini wala mkoa mmoja.

Subiri uangalie usaili utakavyokuwa.
Udhibiti umefanywa kwa kiwango kikubwa.
utamshikaje kuku kirahisi bila kumrushia mtama au mchele huku unaingia ndani.
 
Dah huu uzi nilikua sijausoma vizuri

  • Matapeli wamejaa humu tena wakutosha 😂😂
  • Ma jobless wapo pia
  • Waliopata ajira ila wanawachora na kuwa mislead wenzao wapo.
  • Mashushushu wa mataasisi wapo kupima upepo wa vijana, subira, uaminifu, kutoa info za interview,

Naendelea na uchunguzi wangu
 
Apo kwenye mashushu ~ MAWAKALA 🤣
 
Watu wanafanya usaili kama wanafanya UE? Unazungumziaje makampuni (top companies) duniani zinazoenda vyuoni kurecruit watabe wa UE?

With all due respect ukihitaji watu wawili kwenye 500 hata kama umewapa hayo maswali unayoyaita ya UE mtu akiibuka kidedea out of 500 candidates then ana kitu kichwani tena kikubwa tuu
What top companies Unaota? Taasisi zimeshasema hazitaki VILAZA na watahandle wenyewe kupitia Proffessional Recruitment procedures (standard Practice). Tafadhali hii haimaanishi waliofaulu ORAL ni vilaza ila Kuna Vilaza wengi kwenye watu waliofaulu ORAL.

Hapa hatubishani tunaeleweshana kama unaamini PSRS saili zao ni nzuri na zinafuata standards sikupingi ila I AGREE TO DISAGREE, case closed.
 
Nikuambie tu ukweli, hutoona watu wengi kutoka ukanda mmoja, Kabila, Dini wala mkoa mmoja.

Subiri uangalie usaili utakavyokuwa.
Udhibiti umefanywa kwa kiwango kikubwa.
Hiki ndicho kitatokea watadhibitiwa mno usahili utakuwa wa haki kabisa wala watu wasiogope sio kila siku ni jumamosi japo mapungufu huwa yapo lakini yatakuwa ni madogo madogo sana ambayo hata utumishi yatakuwepo tu
 
Kuna maswali kwenye usaili yanapima uelewa zaidi ya kukariri mkuu.

Mfano: TRA kwenye Panel, waulize hivi.

WAFANYABIASHARA WAMEANDAMANA WAKIPINGA KULIPA KODI, KAMA WEWE AFISA WA KODI, UTATUMIA MBINU GANI KUWASHAWISHI HAWA WAFANYABIASHARA WALIPE KODI NA KUSITISHA MGOMO WAO?

Hilo swali, msingi wake ni kutaka wewe ueleze umuhimu wa kodi kwa nchi na wafanyabiashara.
Lkn muundo wake unaweza usielewe.

Sasa utumishi hawana aina hii ya maswali, hivyo unakuta huku kwenye Taasisi tunaletewa VILAZA.
Kumbe na we unaetoa hoja una shida.
Ss Swali km ilo unalenga kugundua nini?

Mfano. Kwa Mama Bonge aliekuwa anataka kufanya Objection Kwa CG kuhusu Makadirio ya Kodi aliyokuwa amekadiliwa kutokana na kuingiza Kontena kadhaa hapa Nchi na kufika Taxes ya 10B (Kwa madai yake)

Ss kuambiwa alipie 1/3 km sheria ya Kodi inavyotaka ili haweze kufanya Objection yake na km hatolizika tena aendelee na TRAB & TRAT . Mtu kagoma anataka atoe 150M ili aachiwe mzigo wake (Kuna sheria Gani ya hivyo)

Bado ukirudi kwenye Moja ya waliosimama kuongea Siku zile Kwa Waziri Mkuu alisema kuwa Rates na Gharama za Forodha ni Kubwa ndy maana wao wanatumia njia za kutoa hongo ili kupitisha mizigo Yao (Bado hapo ni Tax Evasion) unataka uishawishi Vipi Serikali Mbinu ya kupunguza Migomo ya wafanyabiashara wkt Migomo hiyo chanzo chake ni NON COMPLIANCE ambayo ni kosa kwny sheria za Kodi.

Bhs turud unakotaka wewe ilo Swali lako Lina Utofauti gani na Ways za kuincrease Voluntary compliance bado ni Maswali yake Yale ya UE tu.
 
What top companies Unaota? Taasisi zimeshasema hazitaki VILAZA na watahandle wenyewe kupitia Proffessional Recruitment procedures (standard Practice). Tafadhali hii haimaanishi waliofaulu ORAL ni vilaza ila Kuna Vilaza wengi kwenye watu waliofaulu ORAL.

Hapa hatubishani tunaeleweshana kama unaamini PSRS saili zao ni nzuri na zinafuata standards sikupingi ila I AGREE TO DISAGREE, case closed.
Hakuna kilaza anafaulu pepa za psrs elewa unachoelezwa.
ikitokea ni nadra sana.
 
Kumbe na we unaetoa hoja una shida.
Ss Swali km ilo unalenga kugundua nini?

Mfano. Kwa Mama Bonge aliekuwa anataka kufanya Objection Kwa CG kuhusu Makadirio ya Kodi aliyokuwa amekadiliwa kutokana na kuingiza Kontena kadhaa hapa Nchi na kufika Taxes ya 10B (Kwa madai yake)

Ss kuambiwa alipie 1/3 km sheria ya Kodi inavyotaka ili haweze kufanya Objection yake na km hatolizika tena aendelee na TRAB & TRAT . Mtu kagoma anataka atoe 150M ili aachiwe mzigo wake (Kuna sheria Gani ya hivyo)

Bado ukirudi kwenye Moja ya waliosimama kuongea Siku zile Kwa Waziri Mkuu alisema kuwa Rates na Gharama za Forodha ni Kubwa ndy maana wao wanatumia njia za kutoa hongo ili kupitisha mizigo Yao (Bado hapo ni Tax Evasion) unataka uishawishi Vipi Serikali Mbinu ya kupunguza Migomo ya wafanyabiashara wkt Migomo hiyo chanzo chake ni NON COMPLIANCE ambayo ni kosa kwny sheria za Kodi.

Bhs turud unakotaka wewe ilo Swali lako Lina Utofauti gani na Ways za kuincrease Voluntary compliance bado ni Maswali yake Yale ya UE tu.
Nani kakuambia ukigoma wanakupangia kiasi kingine cha kulipa? Unajua sheria ya kuagize VITENGE nchi hii?
Unaropoka hata ujui lolote.

Objection kutokana na aina ipi ya kodi? Sio kila bidhaa inatozwa kodi kubwa. Angeagiza matrekta aone kama angelipishwa kodi kubwa.
 
Bado unaendelea kuonyesha unashida Tu Bro.

Hapo ss tunazungumzia OBJECTION OF TAX DECISIONS kuhusu Kodi za vitenge sijui vitu gani hiyo ni Juu yake njoo kwenye Mada husika ni Sheria Zipi zinazohitajika mtu akitaka kufanya Objection sio uanze kuongea vitu ambavyo haviusiani na Objection.

Kdg napata Picha Kwann unachukia Interview za Utumishi
 
Hakuna kilaza anafaulu pepa za psrs elewa unachoelezwa.
ikitokea ni nadra sana.
Nani kakuambia? Mitihani ya Utumishi karibu yote inauzwa kabla ya kufanya usaili.

Wewe ndio umekosa hiyo channel, most guys hawana uwezo wa kujieleza wala kuelekeza mtu ikiwa amepatiwa Training fulani.

Waajiri wanataka Competent ya mtu, maswali ya uelewa ndio yanakupa picha halisi ya namna gani Kijana anaweza kufanya kazi fulani.

Maofisi mengi wameletwa vijana VILAZA, hawana uelewa wala weledi, kutatua changamoto kwa akili ya kawaida hawawezi.

Tunahitaji sasa Recruitment bora ambayo itampima mtu kwa uelewa not kukariri. Vilaza hawa ndio wanasababisha matatizo kwenye jamii zetu.

Watu wapimwe kwa uelewa, huku wakijua wanaenda kufanya nini, sio mention 5 characteristics za good taxation.

Utaongea sana ila VILAZA mmejaa makazini, hadi unajiuliza miaka 15 au 20 ijayo tutapataje MAKAMISHNA.
 
Bado unaendelea kuonyesha unashida Tu Bro.

Hapo ss tunazungumzia OBJECTION OF TAX DECISIONS kuhusu Kodi za vitenge sijui vitu gani hiyo ni Juu yake njoo kwenye Mada husika ni Sheria Zipi zinazohitajika mtu akitaka kufanya Objection sio uanze kuongea vitu ambavyo haviusiani na Objection.

Kdg napata Picha Kwann unachukia Interview za Utumishi
Sheria iko wazi, ukitaka kufanya Objection lazima ulipe 1/3 ya kiwango cha kodi ambacho Kamishna ameona kinastahili, then utalog file. Hiyo ni sheria, kwanza ukubali umeshaingiza mzigo, au umeshafanya biashara na faida imeonekana, au ulijaribu kudanganya na maofisa wameona hivyo kamishna amekuassess na kukupa kodi stahiki. Sasa unapotaka kupinga hukatazwi, ila anza kulipa 1/3 ya hayo madai ila mambo mengine yaendelee. Hii iko Worldwide, lengo kubwa ni Serikali kuendelea kukusanya kodi hata kama shauri lako likiwa linasikilizwa, hukumu ikitoka Adjustments zitafanywa.
 
Nani kakuambia? Mitihani ya Utumishi karibu yote inauzwa kabla ya kufanya usaili.

Wewe ndio umekosa hiyo channel, most guys hawana uwezo wa kujieleza wala kuelekeza mtu ikiwa amepatiwa Training fulani.

Waajiri wanataka Competent ya mtu, maswali ya uelewa ndio yanakupa picha halisi ya namna gani Kijana anaweza kufanya kazi fulani.

Maofisi mengi wameletwa vijana VILAZA, hawana uelewa wala weledi, kutatua changamoto kwa akili ya kawaida hawawezi.

Tunahitaji sasa Recruitment bora ambayo itampima mtu kwa uelewa not kukariri. Vilaza hawa ndio wanasababisha matatizo kwenye jamii zetu.

Watu wapimwe kwa uelewa, huku wakijua wanaenda kufanya nini, sio mention 5 characteristics za good taxation.

Utaongea sana ila VILAZA mmejaa makazini, hadi unajiuliza miaka 15 au 20 ijayo tutapataje MAKAMISHNA.

Kama hzi ajira mpya TRA hawa vijana hamna kitu kabisa. Unaona kabisa mtu yuko kazin kama anasubir mshahara, customer care hakuna kabisa.
 
Kama umehisi umeonewa, na una ushahidi then unaruhusiwa kuweka pingamizi, juu ya makadirio au ukokotaoji wa kodi. Na hii iko kwenye kifungu namba 408 ya rufaa ya kodi.

Inatambulika wazi kuwa Kamishna ni binadamu na anaweza kuwa upendeleo hivyo ukihisi au kuona hivyo unaruhusiwa kabisa kuweka pingimizi.

Ieleweke wazi kuwa KAMISHNA ndio anabeba dhamana ya taaisisi, hivyo makadirio yoyote ya kodi yanafanywa kwa niaba yake.
 
Back
Top Bottom