HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hii ndio shida vijana hamtaki kuambiwa ukweli USAILI wa PSRS bado sana. Nilisema dunia ya leo wanatakiwa watu wenye skills na creative sio watu wanaofanya Usaili kama wanafanya UE. Mimi nafanya biashara nikitaka mtu wa Marketing siwezi kuita watu nikwaambia mention types of marketing, sijui components of marketing thats too theoretical .

I would need 'DOERS' watu wanajua dunia ya leo inataka nini sio unaita watu kwenye usaili wanakuja na madaftari WTF
Tuambie ukweli sasa tukuelewe.
kwenye post yako umesema

"I would need 'DOERS' watu wanajua dunia ya leo inataka nini sio unaita watu kwenye usaili wanakuja na madaftari WTF"

Utawapataje sasa, yaani utatumia mfumo gani?
 
Screenshot_20230531-084624.jpg

Makofia akitia neno
Screenshot_20230531-090420.jpg

Mwifwa kwenye 1&2👆
Screenshot_20230531-084124.jpg

Comrade KM👆
Screenshot_20230531-083928.jpg

Hekaya za Zumaradi 👆kituko Cha mwaka.
 
Tuambie ukweli sasa tukuelewe.
kwenye post yako umesema

"I would need 'DOERS' watu wanajua dunia ya leo inataka nini sio unaita watu kwenye usaili wanakuja na madaftari WTF"

Utawapataje sasa, yaani utatumia mfumo gani?
Kuna maswali kwenye usaili yanapima uelewa zaidi ya kukariri mkuu.

Mfano: TRA kwenye Panel, waulize hivi.

WAFANYABIASHARA WAMEANDAMANA WAKIPINGA KULIPA KODI, KAMA WEWE AFISA WA KODI, UTATUMIA MBINU GANI KUWASHAWISHI HAWA WAFANYABIASHARA WALIPE KODI NA KUSITISHA MGOMO WAO?

Hilo swali, msingi wake ni kutaka wewe ueleze umuhimu wa kodi kwa nchi na wafanyabiashara.
Lkn muundo wake unaweza usielewe.

Sasa utumishi hawana aina hii ya maswali, hivyo unakuta huku kwenye Taasisi tunaletewa VILAZA.
 
Kama amewahi kufanya interview atajua unaongelea nini.
 
Kuna maswali kwenye usaili yanapima uelewa zaidi ya kukariri mkuu.

Mfano: TRA kwenye Panel, waulize hivi.

WAFANYABIASHARA WAMEANDAMANA WAKIPINGA KULIPA KODI, KAMA WEWE AFISA WA KODI, UTATUMIA MBINU GANI KUWASHAWISHI HAWA WAFANYABIASHARA WALIPE KODI NA KUSITISHA MGOMO WAO?

Hilo swali, msingi wake ni kutaka wewe ueleze umuhimu wa kodi kwa nchi na wafanyabiashara.
Lkn muundo wake unaweza usielewe.

Sasa utumishi hawana aina hii ya maswali, hivyo unakuta huku kwenye Taasisi tunaletewa VILAZA.
Wanataka what is na mention 5
 
+
UTUMISHI hawafanyi usaili kupima uelewa wa mtu bali kukariri, hii inampa fursa hata kilaza akiotea amekariri points basi anatoboa, anakuja huku Kazini tunapata kazi kuelezana kila siku.
sasa kama unafeli maswali ya kumention hayo ya uelewwa utayawezea wap.

Na mimi binafsi watu ninaowajua waliotoboa interview za psrs ni watu wenye background nzuri academically yaani ni watu smart both darasan na ofisini.

Nimejaribu kufikilia nimkumbuke kilaza aliyepata kazi psrs nimekosa kabisa.
 
Uko ofisi gani? Sisi tunauzoefu kazini, na nikuambia sababu ya TRA kuomba wasaili wenyewe ni utitiri wa VILAZA kutoka UTUMISHI.
 
Hakuna mtu anayeingia kazin anapata tabu kujfunza kazi.. uelewa huko tofaut sio kwa sababu ya utumish. kuanza kuelezea watu wanatumia mda mwing kwa points ambazo hazina sababu na kizuri wanaondeshaga interview unakuta ni watu wa mashirika wakisimamiwa na watu wa utumish
kwanza kuhusu kupelekewa vilaza ni uongo.
Yaani wanaowaweka wao kwa njia za panya kwa kukimbia usaili sio vilaza.
Wanaofanya usaili wenye uwezo ndo vilaza. Hhhhhh wawe serious.

Let say wewe ni mtaalamu wa lab unaulizwa. Mention five secondary effects of a aboratory accident. unashindwa alaf unadai wanaopatia wamemeza. Haiingii akilini kabisa eti ushindwe kumention alafu uweze kuelezea.
 
Uko ofisi gani? Sisi tunauzoefu kazini, na nikuambia sababu ya TRA kuomba wasaili wenyewe ni utitiri wa VILAZA kutoka UTUMISHI.
Ulishahudhuria usahili wa utumishi au mnaandika tu hapa kujustify illogical things ?
Humo kwenye sahili za utumishi si huwa kuna maafisa wa taasisi husika ,na ndio wanawainterview hao candidates ? Mbona mnatufanya mataahira hapa ?

Hao maaafisa wanakuwa wapi kuwauliza candidates hayo maswali mnayodhani ninyi ni ya kupima vizuri umahiri wa candidates ? ,

Acheni ujinga ,hoja isiyo na kichwa wala miguu kabisa
 
Ho

Hao jamaa wanaobeza pspr wanauhakika wa connections kwenye mataasisi yenye asali nzuri ndio maana wanaponda sana utumishi kufanya saili.

Sio ajabu karibu wote walikwama kwenye saili za utumishi.
 
Ulishahudhuria usahili wa utumishi au mnaandika tu hapa kujustify illogical things ?
Humo kwenye sahili za utumishi si huwa kuna maafisa wa taasisi husika ,na ndio wanawainterview hao candidates ? Mbona mnatufanya mataahira hapa ?

Hao maaafisa wanakuwa wapi kuwauliza candidates hayo maswali mnayodhani ninyi ni ya kupima vizuri umahiri wa candidates ? ,

Acheni ujinga ,hoja isiyo na kichwa wala miguu kabisa
LOGIC
 
Nani kakudanganya? Wao ni waangalizi, maswali hawaandai wao. Maswali yote yanaandaliwa na UTUMISHI.

Makazini tunaletewa VILAZA tu, hatutaki sasa.
 
Back
Top Bottom