We hujielewi ,una uhakika gani ni utumishi ndio wanaandaa hayo maswali , wewe unafanya kazi utumishi ?Nani kakudanganya? Wao ni waangalizi, maswali hawaandai wao. Maswali yote yanaandaliwa na UTUMISHI.
Makazini tunaletewa VILAZA tu, hatutaki sasa.
Jamaa miyeyusho huyo, ujuaji mwingi maswali hawaandai utumishi.We hujielewi ,una uhakika gani ni utumishi ndio wanaandaa hayo maswali , wewe unafanya kazi utumishi ?
Watu wanafanya usaili kama wanafanya UE? Unazungumziaje makampuni (top companies) duniani zinazoenda vyuoni kurecruit watabe wa UE?Hii ndio shida vijana hamtaki kuambiwa ukweli USAILI wa PSRS bado sana. Nilisema dunia ya leo wanatakiwa watu wenye skills na creative sio watu wanaofanya Usaili kama wanafanya UE. Mimi nafanya biashara nikitaka mtu wa Marketing siwezi kuita watu nikwaambia mention types of marketing, sijui components of marketing thats too theoretical .
I would need 'DOERS' watu wanajua dunia ya leo inataka nini sio unaita watu kwenye usaili wanakuja na madaftari WTF
Subjective questions marked by different markers with different perspectives cannot do justice!! But objective questions can do!!Wanataka what is na mention 5
Maswali hawaandai Utumishi? You must be a dumb... Kuna idara inayohusika na Mitihani hapo utumishi, kama unadhani mitihani inaandaliwa na Taasisi basi umejidanganya.Jamaa miyeyusho huyo, ujuaji mwingi maswali hawaandai utumishi.
Kula chuma ichoMtu mwenye tangazo la ajira za MDA&LGA lililotangazwa mwaka jana mwez wa 5 naomba ,please.
Panel ikiwa inatunga maswali hao TRA wanakuwa hawapo?Kuna maswali kwenye usaili yanapima uelewa zaidi ya kukariri mkuu.
Mfano: TRA kwenye Panel, waulize hivi.
WAFANYABIASHARA WAMEANDAMANA WAKIPINGA KULIPA KODI, KAMA WEWE AFISA WA KODI, UTATUMIA MBINU GANI KUWASHAWISHI HAWA WAFANYABIASHARA WALIPE KODI NA KUSITISHA MGOMO WAO?
Hilo swali, msingi wake ni kutaka wewe ueleze umuhimu wa kodi kwa nchi na wafanyabiashara.
Lkn muundo wake unaweza usielewe.
Sasa utumishi hawana aina hii ya maswali, hivyo unakuta huku kwenye Taasisi tunaletewa VILAZA.
Dah unasema vilaza toka Utumishi au toka Mitaani.Uko ofisi gani? Sisi tunauzoefu kazini, na nikuambia sababu ya TRA kuomba wasaili wenyewe ni utitiri wa VILAZA kutoka UTUMISHI.
Niko nmekaa pale akikujibu nishitueWatu wanafanya usaili kama wanafanya UE? Unazungumziaje makampuni (top companies) duniani zinazoenda vyuoni kurecruit watabe wa UE?
With all due respect ukihitaji watu wawili kwenye 500 hata kama umewapa hayo maswali unayoyaita ya UE mtu akiibuka kidedea out of 500 candidates then ana kitu kichwani tena kikubwa tuu
Ahaa.Hivi mfano TRA mwaka jana si walitangaza kukusanya kodi nyingi nchini hadi kuvuka lengo.Ni kwa sababu ya wale vilaza wengi waliopelekwa huko na utumishi bila shaka?Kuna maswali kwenye usaili yanapima uelewa zaidi ya kukariri mkuu.
Mfano: TRA kwenye Panel, waulize hivi.
WAFANYABIASHARA WAMEANDAMANA WAKIPINGA KULIPA KODI, KAMA WEWE AFISA WA KODI, UTATUMIA MBINU GANI KUWASHAWISHI HAWA WAFANYABIASHARA WALIPE KODI NA KUSITISHA MGOMO WAO?
Hilo swali, msingi wake ni kutaka wewe ueleze umuhimu wa kodi kwa nchi na wafanyabiashara.
Lkn muundo wake unaweza usielewe.
Sasa utumishi hawana aina hii ya maswali, hivyo unakuta huku kwenye Taasisi tunaletewa VILAZA.
AsanteKula chuma icho
Malengo anaweka nani? Kuna tatizo kubwa kwa taasisi zetu wanajiwekea malengo madogo ili waseme wamevuka lengo.Ahaa.Hivi mfano TRA mwaka jana si walitangaza kukusanya kodi nyingi nchini hadi kuvuka lengo.Ni kwa sababu ya wale vilaza wengi waliopelekwa huko na utumishi bila shaka?
Nikuambie tu ukweli, hutoona watu wengi kutoka ukanda mmoja, Kabila, Dini wala mkoa mmoja.Dah unasema vilaza toka Utumishi au toka Mitaani.
Mimi nishafanya interview nyingi tu za Ofisi hasa za Wazungu uko tofauti kabisa na usaili wa utumishi,hata vyeti huulizwi ni wewe kuonesha uwezo wako.
Mwisho mashirika kurudishiwa fursa ya kuajiri fursa kwa wenye koneksheni hakika nakuambia.
Msije mkalalamika ooh Tra imejaa watu wa Kaskazini
Nasubiri siku ya kutoa faraja, nitatimiza jukumu langu.Mwifwa Njoo huku utoe maelezo maana naona baba kantuma wamevamia humu
utamshikaje kuku kirahisi bila kumrushia mtama au mchele huku unaingia ndani.Nikuambie tu ukweli, hutoona watu wengi kutoka ukanda mmoja, Kabila, Dini wala mkoa mmoja.
Subiri uangalie usaili utakavyokuwa.
Udhibiti umefanywa kwa kiwango kikubwa.